Msaada: Uhamisho kwa watumishi wa umma

Mzee wa old school

JF-Expert Member
May 16, 2021
508
831
Wakuu, habarini,

Naomba kupata elimu kidogo naamini humu wataalamu wapo.

Je, mtumishi wa umma aliyepewa ruhusa ya kwenda masomoni (mafunzo ya muda mfupi yasiyo zidi mwaka) anaweza kuomba uhamisho kwenda taasisi nyingine ya umma na akahamishwa kwa kipindi ambacho yupo masomoni?

Tafadhali naomba hiyo elimu kutoka kwenu wajuzi, naamini humu wataalamu wapo.
 
Back
Top Bottom