psssf

  1. Mkalukungone Mwamba

    Kuporwa kwa uwanja wa michezo wa Sahara uliopo Ubungo ni uthibitisho tosha la jinsi wananchi wanavyokosa watetezi wa haki

    Kuporwa kwa uwanja wa michezo wa Sahara uliopo kata ya Mabibo, Ubungo—ambalo ni eneo la wazi la umma—ni uthibitisho tosha la jinsi wananchi wanavyokosa watetezi wa haki zao pale CHADEMA wanapokuwa nje ya vyombo vya maamuzi. Wananchi wa eneo hili sasa wapo hatarini kupoteza kabisa ardhi hii ya...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Bodi ya PSSSF Yakataa Kutoa Sh. Bilioni 362 kwa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Serengeti

    Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), imegoma kuidhinisha mabilioni ya shilingi yaliyolenga kutumika kujenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Serengeti, mkoani Mara, MwanaHALISI limeelezwa. Vyanzo vya taarifa kutoka wilayani Serengeti na makao makuu ya...
  3. K

    KERO Mafao yangu ya 'Special Lumpsum' yamekuwa kero badala ya haki yangu, nazungushwa

    Ni miezi sita kasoro sasa tangu ajira yangu ya mkataba Serikalini ikome. Mwezi wa nne nilifanya maombi ya mafao ya special lump sum nikiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzangu, ambao baada ya takribani mwezi mmoja tu walifanikiwa kupata mafao yao. Changamoto ni kwangu tu, sijui kuna shida gani...
  4. R

    Bodi ya PSSSF kutenguliwa: Kama hii ni kweli, we need to do more!

    Samia amevunja bodi ya wadhamini ya PSSSF kwa sababu iligoma kupitisha kutoa fedha za wastaafu kwenda kujenga uwanja wa ndege Serengeti ili kuboost biashara zake na mtoto wake. Bodi ilikataa kwa kudai mradi huo hauwezi kurejesha hizo fedha wakati kuna wastaafu wengi wanadai hela zao na...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia avunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Dar es Salaam 14 Mei, 2026 YAH: KUVUNJWA KWA BODI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
  6. R

    PSSSF tafuteni njia ya kuweza kuhakiki kitumia simu za wateja weni ( wastaafu)

    Tufuteni APP yenu ambayo mstaafi anaweza kuhakiki kutumia smart phone. Ni usumbufu usio kifani kukaa ofisini masaa 3 au zaidi uko kwenye foleni eti unahakiki Lifikirie hilo
  7. Mafyangula

    Uteuzi: Fortunatus Makore ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF, Plasduce Mkeli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TANESCO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:- (i) Bw. Fortunatus Makore Magambo ameteuliwa...
  8. R

    PSSSF kulikoni mwezi huu?

    Au makali ya uchaguzi ndiyo yanaanza. Kulikoni?
  9. Roving Journalist

    PSSSF: Kwa TEHAMA yetu ofisi zetu nchini pote zinaweza kumhudumia mteja bila kulazimika kwenda Makao Makuu

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
  10. M

    PSSSF Sio mfuko rafiki kwa watumishi. Wanufaika wanahangaika

    Habarini za wakati huu wanajukwaa. Marakadhaa PSSSF wamekua wakilalamikiwa kama huduma zao ni mbovu Ukipiga simu kwa mhudumu A atakupa majibu tofauti na mhudumu B. Mfano mhudumu A atakuambia taarifa zako zinafanyiwa kazi piga wiki ijayo na wiki ijayo ukipiga simu anatokea mpuuzi mmoja sijui...
  11. M

    PSSSF kulipa fao la wategemezi kwa warithi walio chini ya miaka 18 ni dhuluma kubwa

    Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025. Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu . Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya...
  12. R

    Mfuko wa Hifadhi ya jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) yasajili Askari wapya 4,800

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesajili Askari Polisi watarajiwa 4,800 wanaokaribia kumaliza mafunzo yao katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro. Kabla ya zoezi la usajili, maafisa wa PSSSF wakiongozwa na Meneja wa Kanda ya Kati Dodoma, Michael Bujiba walitoa...
  13. R

    Ndugu Rhimo Simeon Nyansaho Mkurugenzi mpya PSSSF mtazame vizuri huyo mhasibu hapo ofisini

    Kwanza kabisa nikupongeze kwa kuamininiwa na mh. Rais kuisimamia taasisi hiyo nyeti inayohusika na maslahi ya watu wanaotaabika kwa miaka kibao. Kumekiepo na malalamiko dhidi ya mtangulizi wako kwani alishindwa aidha nguvu na hao watumishi wa ofisi au ilikua ni maelekezo yake. Mambo yalikua...
  14. M

    Kongole Rais kwa kumuondoa Abdu -Razak Badru pale PSSSF

    Nikienda kwenye mada mojakwa Moja. Nichukue fursa hii kumshukuru sana Mh. Rais Kwa kuondoa huyo mzee mzembe,kiburi,asiyejali maslahi ya wenzake. Watu wamekua wakimlalamikia muda mrefu sana lakini hajali. Huduma mbovu sana, wale watu wake wanaopokea simu wanajibu wanavyotaka,mtu anafuatilia...
  15. N

    Naomba ufafanuzi wa michango ya PSSSF

    Hivi hii michango ya watumishi wa umma ya PSSSF huwa ina riba au ulichochangia ndicho utakuja kupewa ukistaafu? Kuna mshikaji amechangia Mil.99 na atastaafu miaka miwili ijayo, sasa yuko stressed kwamba watampa kiinua mgongo cha mil 33 kwa mkupuo mmoja na pensheni ya mil 1.5 kwa mwezi kwa...
  16. Pdidy

    PSSSF hizi Pesa za pole kwa wafiwa zinaendaga wapi?

    Mkurugenzi Polen na KAZI Bwana Yesu asifiwe na asllam alyekum KUNA MSIBA umetutokea. Marehemu n member WENU Wakati WA MSIBA akatokea NDUGU MMOJA na kusema Pssf wanatoa pole kwa marehemu mkirudi dar mwende kuulizia Mzee akafika ofisini kwenu. Wana siku kama 43 tu. Akaambiwa zile pesa zote...
  17. ThisisDenis

    Hivi PSSSF kwa nini usimamizi wenu unalega lega ?

    Inakuaje unafanya kazi na kila mwezi unapokea pesa na makato yako ya hifadhi hayawekwi ? PSSSF shida ni nini ?
  18. N

    Leo nawapa maua yao PSSSF

    PSSSF (Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma PSSSF) unatekeleza huduma bora kwa wastaafu kwa kuhakikisha wanapata mafao yao kwa wakati na kwa urahisi. Huduma hii inaboresha maisha ya wastaafu kwa kuwapa uhakika wa kipato, hivyo kuwasaidia kupanga maisha yao ya kila siku bila wasiwasi...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 PSSSF na AICC kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KMICC) kati ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma...
  20. R

    Mkurugenzi PSSSF acha dharau na mazoea kwenye haki za watumishi

    Wanajukwaa habari za wakati huu. Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF anadharau juu ya haki za watumishi wenzake ambao wanadai haki zao. Ajue na kuelewa maana ya haki. Hapo...
Back
Top Bottom