kukabiliana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu

    Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya. Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024...
  2. Suley2019

    Waziri Mkuu Majaliwa ataka sheria kali ziundwe kukabiliana na Unyanyasaji wa Kijinsia

    Serikali inatarajia kuweka sheria kali dhidi ya wanaofanya ukatili wa kijinsia kwenye Jamii ili kuondoa na kupungunguza wimbi la ukatili linaloendelea kwenye Jamii. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema hayo leo April 18,2024 wakati wa majibu ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu akijibu...
  3. Dalton elijah

    Riba ya Benki Kuu yaongezwa hadi 6% kukabiliana na Mfumuko wa Bei

    Katika hatua muhimu ya kukabiliana na shinikizo la mfumuko wa bei linalotokana na mwenendo wa uchumi duniani, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza ongezeko la Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 hadi asilimia 6. Uamuzi huu, umefikiwa wakati wa kikao cha MPC...
  4. Roving Journalist

    Kukabiliana na Wanyama waharibifu, TAWA yaua Mamba 3 na Boko 2 Bwawa la Mtera

    MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA TAARIFA KWA UMMA HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA TAWA KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAMBA NA BOKO KATIKA BWAWA LA MTERA Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu wakiwemo mamba na boko kujeruhi na wakati...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Changamoto za kuingia utu uzima nimeanza kukabiliana nazo

    CHANGAMOTO ZA KUINGIA UTU UZIMA NIMEANZA KUKABILIANA NAZO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nikiwa bado nipo kwenye sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa na kuingia katika utu uzima, hata masaa 24 hayajaisha nimeanza kupata joto la jiwe. Nahisi moyo unapanuka, nahisi kichwa kinapasuka, nahisi pua...
  6. Mvinyo mpya

    Naweza vipi kukabiliana na hali ya kujisikia hatia (guilty conscience)?

    Nimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on... Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
  7. joyce123

    Jinsi ya kukabiliana na janga la kamari za mitandaoni Kwa vijana tunaotafuta mafanikio

    Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila kitu katika maisha yangu, kuanzia kwenye kazi nzuri, akiba, duka, gari, viwanja na madeni juu na...
  8. Raphael Alloyce

    Kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana kunahitaji njia kamili na yenye kujitahidi kutoka kwa Serikali

    HATUA MADHUBUTI YA SERIKALI Katika upeo wa kisasa wa uchumi wa dunia leo, mojawapo ya changamoto kubwa inayokabiliwa na serikali ni kushughulikia ukosefu wa ajira kwa vijana. Tatizo hili siyo tu linaathiri watu binafsi bali pia lina athari kubwa kwa ustawi wa jamii na utulivu wa kiuchumi. Ili...
  9. Alwaz

    Misri yapeleka Jeshi mpakani kukabiliana na uchokozi wa Israel

    Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom. Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya...
  10. U

    Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

    Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife. Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza...
  11. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Ukuta Nungwi Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi

    Serikali Kujenga Ukuta Nungwi Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi Serikali imesema imeanza hatua za kujenga ukuta katika eneo la Nungwi Zanzibar kwa ajili ya kusaidia kuzuia maji ya bahari kuingia kwenye makazi kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Naibu Waziri Ofisi ya...
  12. L

    Tani Elfu 50 za sukari kuingizwa nchini kukabiliana na upungufu uliopo

    Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi. Mkurugenzi huyo ameelezea...
  13. Roving Journalist

    Katavi: Mpanda yajipanga kukabiliana na magonjwa ya mlipuko

    Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imejipanga kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ambayo yanaweza kulipuka katika kipindi hiki cha msimu wa mvua. Hayo yamesemwa katika kikao kazi maalumu kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kikiwa ni sehemu ya kuweka mikakati mahsusi ya...
  14. Yoyo Zhou

    Jumuiya yenye hatma ya pamoja: China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
  15. Mama Amon

    Mwitiko wa Serikali Kuhusu Maporomoko ya Katesh-Hanang: Matumizi ya 'kanuni ya sera duni' katika kukabili maafa yameonekana, yapongezwe, yaendelezwe!

    https://youtu.be/FHNY4s5ekxk "Mnamo saa kumi na mbili asubuhi, nilikuwa nimelala ndipo mume wangu aliponiamsha, akiuliza, 'hilo si tetemeko la ardhi?' Mimi na watoto wetu tulianza kukimbia nje, lakini tulijikuta tumezungukwa na matope kila mahali, na yalianza kutuburuta. Tulikwama kwa saa...
  16. TTCC_TECNO

    Jinsi unaweza kukabiliana na changamoto za kazi baada ya kuhitimu

    Safari baada ya chuo kwa wahitimu inaweza kuwa na furaha na changamoto kwa pamoja. Unapojitosa katika ulimwengu wa kitaaluma, moja ya changamoto kubwa mtaani kwa wahitimu ni kazi hapa kuna vidokezo muhimu vya kukusaidia kufanya mabadiliko na kujenga mustakabali wa mafanikio. Maisha baada ya...
  17. Tlaatlaah

    Nakutakia maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya 2024 in advance

    Mpendwa, Mary Christmas 🎄 and Happy New Year in advance. Tunapoelekea sikukuu muhimu za Christmas na Mwaka mpya 2024, nachukua fursa hii kukuombea Baraka na Neeema za Mwenyezi Mungu ziambatane nawe katika kila unachokifanya kujiandaa na sherehe hizi pendwa na muhimu, mathalani unajipanga...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

    Kwema Wakuu! Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili. Kwa mfano, Kitendo cha Hamas kuvamia Israel na kuua Raia wasio na hatia ni kitendo cha kigaidi. Na Waisraeli...
  19. P

    Nawezaje kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta? Ikiwa mimi natumia gari?

    Leo tena Tanzania imeshuhudia kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na kerozini. Haya ni maumizi kwa wananchi na serikali haina namna ya kufanya kuleta aueni kwa wananchi. Bei ya mafuta kote duniani haijatulia kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine. Swali la kujiuliza ikiwa mishe zako...
  20. R

    UZUSHI Daktari aliyemkosoa Rais wa Burkina Faso kushindwa kushughulika na ugaidi apelekwa kukabiliana na ugaidi huo

    Wakuu, Habari hii imesambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba huyu Daktari baada ya kumkosoa Rais wa Burkina Faso Kpt. Ibrahim Traore kuhusu kushindwa kupambana na magaidi, alikamatwa, akavishwa magwanda kwenda kupambana na magaidi hao kwakuwa yeye analiweza suala hilo kuliko jeshi. Hii...
Back
Top Bottom