Ni zaidi ya mwaka sasa Serikali yetu inalalamika upungufu wa Dollar Kwa ajili ya kuagizia bidhaa na kulipa mikopo na mahitaji mengine muhimu.
Safari za nje Kwa viongozi wa umma, Hazina yetu ya dollar hutumika, hivyo nashauri tuanze na kufuta safari za nje za viongozi Ili kutunza akiba ya pesa za kigeni kiduchu zilizopo.
Wakati hatua za mwanzo zikiendelea kuchukuliwa.
Tuwaombe viongozi wetu wa Dini wawaombe viongozi na wafanyabiashara wanaosemekana wameficha dollar majumbani wazitoe, walioficha ktk mabenki ya nje warudi kuwekeza nchini.
Mikutano na vikao na mataifa ya nje itumike video conference kama kipindi cha corona.
Magu alisema TUTAMKUMBUKA!
Tusione haya kujisahihisha.
Karibuni🙏