uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maombi ya Uhamisho wa kubadilishana yamekwama muda mrefu TAMISEMI, kwanini?

    Nafanya kazi kama Mwalimu wa Shule ya Msingi katika Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, kero yangu kubwa ni kuhusu kuchelewa kwa vibali vya uhamisho wa kubadilishana kwa watumishi wa kada mbalimbali nchini. Nimekuwa nikifuatilia uhamisho wa kubadilishana sababu familia yangu ipo Singida. Nilianza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO ESS sio msaada, ni changamoto kwa Watumishi. Wakurugenzi wanaficha barua, mfano Tandahimba na Newala

    Watumishi wa Umma tumefunguliwa Mfumo wa ESS ambao tumeambiwa ndio suluhisho la Watumishi lakini mfumo huu bado ni changamoto, Mtumishi anaomba uhamisho kwenye mfumo mpaka unafika TAMISEMI halafu baada ya hapo status inafutika. Hakuna majibu yoyote ukiuliza TAMISEMI wanasema barua zimetumwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu "Destination Already Filled" kwenye mfumo wa ESS na nini kinaweza kusababisha ombi kurudi tena hatua ya Accounting Officer

    Niliomba uhamisho bila kuomba vacancy request, lakini katika mlolongo wa mchakato kuna kipengele kilichoonesha: Vacancy Request Not Budgeted / Destination Already Filled – hali hii ilikaa kwa muda mrefu, baadaye ikaendelea. Accounting Officer Allowed Accounting Officer Naomba kufahamu, kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vibali vya uhamisho

    Wakuu niliwahi kuona taarifa ya katibu mkuu TAMISEMI na katibu mkuu utumishi, Juma Mkomi ila sikuielewa vizuri alisema vibali vya uhamisho kila QUARTER sasa siajelewa hiyo QUARTER anayoizungumzia ni zipi naomba ufafanuzi mkuu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Leo nataka niwaeleweshe juu ya ishu ya "vacancy not budgeted" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe

    LEO NATAKA NIWAELEWESHE JUU YA ISHU YA "VACANCY NOT BUDGETED" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe
  6. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya kupeana updates za vibali vya uhamisho kutoka Utumishi

    Kama wewe ni Mtumishi wa Umma na Umeomba uhamisho kutoka Taasisi Moja na kwenda nyingine basi tukutane hapa kwa ajili ya kupeana updates, najua kuna watu maombi yao yamefika Utumishi siku na miezi mingi imepita bila majibu basi tuzidi kupeana infos hapa ili kama wewe mwenzetu umefanikiwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya uhamisho kutoka mkoani kwenda halmashauri inaweza kukuhamisha?

    Habar za mda huu wadau, Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa, Ikawa kimya miezi nikaamua kwenda halmashaur kuulizia chenga zikawa nyingi saana hatimaye mwsho wa siku ps...
  8. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Habari wa ndugu .... Iko hivi ... Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua. Nikaondoka bila ruhusa yake. Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa. Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Ushetu Idara ya Elimu ya Sekondari wanachelewesha sana fedha za uhamisho

    Watumishi wa Idara ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu wanaendelea kukumbwa na ucheleweshaji wa malipo ya fedha za uhamisho. Licha ya kupewa ahadi mara kwa mara kuwa malipo yatafanyika, hadi sasa hakuna utekelezaji. Kinachozua maswali ni kwamba watumishi tuliopangiwa uhamisho...
  10. MWL WALTER

    JamiiForums Tanzania Uhamisho

    Ndugu Admin, Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho. Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA DC Mimi nije katika idara ya elimu ya msingi, hususan katika wilaya za Morogoro:🔴 GAIRO🔴 KILOSA🔴...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu, walimu ni wa watanzania wote acheni kuwabania uhamisho, kama mtu amekizi vigezo na sababu anazo aruhusiwe kuhama

    Mwalimu anafanya kazi kituo kimoja mpaka anafanana na wanakijiji akiomba kuhama anaambiwa watumishi hawaatoshi 1. Huyo mtumishi amekaa kituo kimja zaidi ya miaka kumi, anaomba uhamisho tena anajigharamia mwenyewe na amekizi vigezo vya kukaa kituo kimoja zaidi ya miaka mitano. Hapewi na wakati...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutoka halmashauri ya Busokelo, sijalipwa fedha zangu za uhamisho wala posho ya likizo tangu 2021

    Mimi niliajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo mwaka 2021, nikifanya kazi katika Hospitali ya Wilaya. Baada ya miezi miwili nilipewa barua ya kuhamishwa kituo cha kazi, hivyo nikaandika barua ya kuomba posho ya uhamisho. Hata hivyo, hadi leo sijalipwa. Nimekuwa nikiandika barua za...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya RAS mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho muda mrefu bila kufafanyia kazi

    Ofisi ya RAS Mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho ya watumishi zaidi ya wiki mbili sasa bila kuyapitisha kwenye mfumo wa ESS. maombi yangu ya uhamisho toka tarehe 1/6/2026 hadi leo bado yanasomeka yapo kwenye ofisi yake. NInaomba kama RAS atakua amempatia mtu jukumu hilo la kimfumo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watumishi wa Umma waendelea kulalamika kukosa madaraja kutokana na changamoto za mfumo wa PEPMIS

    Kero yangu inahusu baadhi ya watumishi wa umma ambao tumekosa kupandishwa madaraja kutokana na changamoto zinazotokana na matumizi ya mfumo wa PEPMIS na uzembe wa baadhi ya wakuu wa vituo. Baadhi yetu tulihama vituo vya kazi, lakini taarifa katika mfumo zinaendelea kuonesha vituo vya zamani...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumetimiza vigezo vya kuhama lakini DED anagoma kutupa kibali Watumishi Halmashauri ya Korogwe Vijijini

    Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa. Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Napenda kuwasilisha changamoto ambayo imekuwa ikiwakabili baadhi ya watumishi wa umma wanaotafuta uhamisho kutoka taasisi moja kwenda nyingine kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Katika hali yangu, niliwasilisha maombi ya kuhamia katika taasisi niliyoona inafaa kulingana na mahitaji na mazingira...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dada yangu alipata ajali ya gari, hali ya hewa inamtesa kiafya, ameomba uhamisho Moshi DC amenyimwa

    Naomba msaada kwa ajili ya dada yangu, ambaye ni mtumishi wa umma kwa sasa. Anapitia hali ngumu sana kiafya na kiutumishi, na hadi leo hajapatiwa msaada unaostahili. Alipata ajali mwaka 2024 mwezi Oktoba akiwa anafanya kazi katika kiwanda cha vyombo vya plastiki Kibada, Kigamboni, ambapo mkono...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Nanyumbu tunadai stahiki za Uhamisho za tangu Mwaka 2023

    Mimi ni mmoja wa walimu waliopata uhamisho katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara. Uhamisho wa kwanza ulifanyika mwezi Desemba 2023 kwenda shule mpya za Mkapa Wasichana Sekondari na Rukumbi Sekondari. Baadaye, mwezi Julai 2024, kulikuwa na uhamisho mwingine kwenda shule za...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Juma Mkomi: Kuzuia barua za uhamisho wa Mtumishi ni uhalifu, Hilo si jukumu la Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kosa linalokiuka taratibu za utumishi wa umma, amesungumza hayo Mei 26, 2026...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao. Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao. Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
Back
Top Bottom