upungufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi haina upungufu wa Umeme, Ina ziada—Changamoto ipo kwenye Uimarishaji wa Gridi

    "Sasa hivi nchi yetu haina upungufu wa umeme, ina ziada ya umeme. Na kama kuna eneo umeme bado unakatika-katika, tatizo sio upungufu. Sasa tatizo lililopo ni kwamba, gridi ile ilitengenezwa kwa ajili ya mtawanyo mdogo. Tulivyoongeza mtawanyo, tumeongeza na uzalishaji, lazima pawe na uimarishaji...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwananyamala Hospital iongezewe Madaktari, foleni ni kubwa kumuona daktari

    Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri. Nimefika hapa tangu saa mbili asubuhi, lakini hadi kufikia saa 8:20 mchana hatukuwa na uhakika wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wakati wa upungufu wa umeme kuna walioshauri tulete mitambo ya kukodi, kumbe walitaka wakutane nazo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  4. H

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa machawa kwa Sasa haupo ,tunaomba Sasa watu wenye kutuambia ukweli maana ndio wakutusaidia ,na nyie wasema ukweli muwe na staha!

    Katika mazingira yoyote ya kazi au jamii, maendeleo ya kweli huanza pale tunapojenga utamaduni wa kuambizana ukweli kwa nia njema na kwa heshima. Ni muhimu kuelewa kwamba uchawa uliopitiliza haujengi, bali hudhoofisha misingi ya uongozi na kuua ubunifu pamoja na uwajibikaji. Pale ambapo watu...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa maadili ni ishara kuwa taasisi ya dini imeanguka

    Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utashuhidia lugha chafu zisizo na staha pamoja na matusi mazito ya nguoni. Hii ni ishara ya kuwa ushawishi wa taasisi zetu za dini kwa jamii umeshuka sana na upo ICU. Ina maana watoto hawana mafunzo ya chuo(madrasa) au mafundisho na hivyo hawaoni kutenda...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Muhamad aliona wanawake wana upungufu wa akili

    Na siwezi mlaumu. Kama kwa usiku mmoja alilala nao wote 9 akawadinya wakawa wanakubali tu lazima aliona hawana akili. Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 2658, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Shahādāt" (Kitabu cha Mashahidi): Tafsiri: Anasema Abu Sa’id al-Khudri (RA): Mtume ﷺ...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi bado hawana utimamu wa kukubali kuwa hakuna aliejiumba. imekuwa kawaida sana kudhalilishana kwa mionekano ya miili (Body shaming)

    Imekuwa ni kawaida sana hapa Tanania kuaibisha au kutania watu kwa nia ya dhati ya kuwaaibisha kwa maumbile yao ya miili Mtu awe na pua kubwa ataitwa mapua, atataniwa pua yake kama nguruwe, Mtu awe na masikio makubwa ataitwa popo, ataniwe masikio kama sahani Mtu awe na lips kubwa ataitwa domo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Nyasa awataka Wananchi kutambua umuhimu wa Lishe Bora, asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi kutambua umuhimu wa lishe Bora kwa afya ya mwili wa binadamu kwani ni Msingi wa mambo mengi ikiwemo kufanyakazi na kufikiri sawasawa. Mhe.Magiri ameyasema hayo wakati wa kikao cha tathimini ya lishe kilichofanyika mwanzoni mwa juma...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini

    Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Maeneo ya Milimani Mwanza hukumbwa na upungufu wa maji kutokana na msukumo mdogo

    Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana aliandika ~ Mwanza: Mtaa wa Kaseze, Nyamagana hatuna maji, badhi ya Wananchi wanajisaidia vichakani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imepa majibu Mwananchi...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi, hisabati 17,354

    SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312. Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Zainabu Katimba wakati akijibu swali la...
  12. mfuaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

    Iko hivi! Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa. Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania DAWASA yakanusha taarifa za upungufu wa Maji Mto Ruvu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa hali ya maji katika Mto Ruvu ni ya kutosha, hivyo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wasiwe na hofu ya upungufu wa maji. Mhandisi Bwire ameyasema hayo leo, Machi 11...
  14. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Upungufu Wa Damu Kwa Mjamzito

    Upungufu wa damu kwa mjamzito ni hali inayotokea wakati kiwango cha hemoglobini katika damu kinapungua chini ya kiwango kinachohitajika (<11 g/dl), hasa wakati wa ujauzito. Hemoglobini ni protini inayopatikana kwenye seli nyekundu za damu na inasaidia kusafirisha oksijeni mwilini., hivyo...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili

    Hatimaye bunge la Iraq limepitisha rasmi sheria ya ndoa kuwa miaka 9.. Kwamba mtoto wa kike akifikisha miaka tisa basi ni ruhusa kuolewa Ndoa ninini!? Wengine watakwambia ni ndoano.. Lakini ndoa ni mapatano/makubaliano ya kuishi pamoja watu wa jinsia mbili tofauti kama mke na mume kwa muktadha...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MOI: Mkitembelea Wagonjwa waleteeni Vyakula vya kuongeza damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini

    Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye kuongeza damu kutokana na mahitaji makubwa ya damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini...
  17. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna upungufu wa IQ

    Ukitaka kujua akili ta watanzania wengi ilivyo na shida, subiri foleni. Yani kuna foleni badala watu wakae kwenye line yao wanahamia kwenye line ya magari yanayoelekea uelekeo mwingine. Mwishowe foleni haiendi si kwa magari yanayokwenda wala kurudi. Sijui watanzania tuna shida gani. Kuna...
  18. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa Hostels kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu ni janga jipya, Serikali ichukue hatua

    Hii naomba Serikali kupitia @wizara_elimutanzania , @owm_tz @ormipango_uwekezaji waone hili. Nchini Tanzania sasa hivi kuna tatizo kubwa sana la upungufu wa Accomodation Hostels kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu. (Nyumba za Malazi kwa Wanafunzi). Hii ina maana ya kwamba vyuo vingi nchini vina...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Utafahamuje kama una upungufu wa madini na virutubisho mwilini?

    Kuna vipimo vya kimaabara vya kubaini hayo? Vinapatikana kwenye hospitali zipi, kubwa tu au hata vituo vya afya? Mara nyingi watu wamesisitizwa kula matunda na mboga za majanikwa wingi kwa kuwa ni miongoni mwa vyakula vyenye utajiri mkubwa wa vitamini na virutubisho mbalimbali, jambo ambalo ni...
  20. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

    Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
Back
Top Bottom