Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,280
Moja ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa demokrasia nchinina kitendo cha Tume kutumia watumishi wa umma katika michakato ya kiuchaguzi.
Kwa mujibu wa kifungu cha 21 cha Mswada, Tume itaendelea kutumia aukuazima watumishi wa umma kuwa wasimamizi wa uchaguzi, kwa lugha nyingine wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Mamlaka za Miji Midogo, Mamlaka za Miji, Manispaa na Majiji, Watendaji wa Kata, walimu na watumishi wengine wa serikali wataendelea kuwa sehemu ya wasimamizi wa uchaguzi ingawa neno lililotumika ni kuazima lakini ukweli ni kwamba watumishi wa umma wataendelea kuwa sehemu ya Tume kinyume na matarajio ya wadauwalio wengi.
Uchaguzi Huru na wa Haki utabaki kuwa Historia ya Mdomoni kwa namna hii!