kutumika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Responded Msigwa: Tunajenga viwanja vikiwa na running track kwa sababu vinakuwa ni vya olimpiki ili viweze kutumika mashindano yote

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi sababu za serikali ya Tanzania kupitia wizara kuendelea kujenga viwanja vya olimpiki licha ya kuwepo kwa wapenzi wa soka wanaotamani viwanja hivyo vijengwe maalum kwa ajili ya soka...
  2. lord atkin

    JamiiForums Tanzania AI: Kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa

    Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia. Ingawa harakati ni muhimu sana katika kuamsha umma, kupigania haki fulani, au kuanzisha mapinduzi ya kisiasa, zikitumika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Papa hawapati saratani hivyo wanaweza kutumika kama tiba ya saratani?

    Kumekuwa na taarifa kuwa samaki aina ya Papa ana uwezo wa kuzuia saratani na anaweza kutumika kama tiba ya saratani. Ni upi uhalisia wake?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haitoshi kulipenda gari lichunguze linachukuliwaje na jamii, kuna magari ambayo yamejipatia umaarufu kutumika na watu tofauti na ulivyo

    Toyota IST, Raum - Moja kwa moja unaonekana ni mtu unaebana sana pesa, kama huna taabu kuonekana hivyo si mbaya ila ndivyo utavyochukuliwa Toyota Altezza - gari iliyojipatia umaarufu kutumiwa na vijana wadogo hasa miaka 18 hadi 26 wanaopenda drifting, kelele nyingi na kukimbiza barabarani, hawa...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

    Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa. Naona Kuna kundi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali inaenda kutumika katika matumizi yasiyo ya uhalisia, matumizi mengine ni utapeli tu

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekosoa vikali muundo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akidai kuwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kinapotea kwenye matumizi yasiyo na uhalisia na ukopaji usio na tija. Akizungumza leo Juni 23, 2026...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini Mkataba wa Ujenzi wa Barabara ya Njia Sita Dodoma–Chamwino Ikulu, Bilioni 241 kutumika

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa upanuzi wa barabara ya Dodoma Mjini–Chamwino Ikulu yenye urefu wa kilometa 32 kuwa ya njia sita, mradi utakaogharimu takribani shilingi bilioni 241 hadi kukamilika kwake. Mkataba huo umesainiwa kati ya TANROADS kwa niaba...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (LINDI) ni mbaya na haifai kutumika, Waziri aje aione

    Mimi ni Mwananchi wa Manispaa ya Lindi, Mtaa wa Jangwani, kero yangu ni kuwa Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (mahala tunapopata huduma zetu za kila siku) imeharibika haifai kwa matumizi ya kiangazi hata masika. Kibaya zaidi mamlaka inalitambua hili tokea Mwaka 2023, ila...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Majina ya kichaga yatakayoanza kutumika 2027

    Wachagga kuanzia mwaka 2027 , wamekubaliana watakuwa wanatumia majina ya kiasli yenye maana na kuachana na haya majina ya Mabeberu yasiyo na maana. Wazazi Gen Z wamekuja na majina yasiyo na maana na mengi ya majina yamebeba laana, mfao mtu anamuita mtoto , Lyyn , Ashley , gynna, vicious, Ammy...
  10. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi haifai hata kidogo kutumika ila hatuna jinsi

    Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa mibovu hali. Hali hiyo inasababisha utoaji wa huduma katika kituo hicho kutokuwa rafiki hasa...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hasara za kutumika

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza kuchukua hatua za kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao katika maeneo yasiyo rasmi, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, wakati wa ufunguzi wa Soko Kuu la Kariakoo. Akizungumza katika...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana

    Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo kama wa Gen Z asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Billion 25 kutumika kuwekeza kwenye startups

    https://x.com/moodewji/status/1998734094558179556?s=20
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Vijana ,umasikini usiwafanye Mkatumiwa na CCM kwenye Maovu yao, Kwa CCM ukikubali Kutumika, ni kusaini Kifo chako Kwa siku zijazo !!

    Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃 Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuorodheshe taasisi na watu wanaoungana kutumika kuhujumu nchi

    Hapa tunaweka kumbukumbu zote sawa . Tuwataje watu binafsi na taasisi zinazotumika kuihujumu Tanzania ili vizazi vijavyo viwakumbuke na kuwashughulikia
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mababa Askofu msiwajibu Masheikh wanaotumikia mfumo, waoneeni huruma maana kula yao inatokana na wao kutumika

    Mababa Askofu. Nakuandikieni barua hii kuwaombeni kuwa msihadaike, msishawishike na wala msiingie msukumo wa kujibishana na masheikh wanaotoa matamko ya kuwashambulia. Hao masheikh wengi wanaowashambulia ni masheikh wa mfumo, wapo kimkakati, wapo kazini. 1. Kazi ya Masheikh hao ni kutumika...
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 BAKWATA yakana kutumika na Serikali

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu ya Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) itaendelea kusimamia maslahi ya Nchi ambapo ametoa wito kwa watanzania kuendelea kuwa wazalendo na Taifa lao pamoja na kuilinda amani. Mufti ameeleza hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya...
  20. Surya

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwatawala Watu, Dini na Serikali kutumika vibaya

    Mifumo ya kidini inaingiliana sana na serikali, Kwa vile serikali inalipa wafanyakazi pesa mwisho wa mwezi basi na Makanisa yakaona kutoza fungu la Kumi kila mwezi huwenda ni tamaduni tumeiga kutoka kwa watu fulani, nafikiri fungu la kumi kutoa nikwa waajiliwa tu, kwa wafugaji sijajua inakuaje...
Back
Top Bottom