watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliojichagua wenyewe wanapata wapi nguvu za kufokea wananchi au watumishi wa Umma wananchi sio wajinga kama wanavyozani

    Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi wa Umma hayaendani na gharama halisi za nauli kwenye soko la sasa

    Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka. Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze watumishi wa umma PAYE, huwezi kuwa mwaminifu ukiwa na njaa

    Waziri mkuu tengeneza mfumo unaofanyakazi wenyewe hukohuko makazini bila wewe kulazimika kuzunguuka n kutatua kero za wananchi kwenye ziara zao. Watanzania wooote wanazo kero zao lakini ama hawana muda wa kuja ofisini kwao, ni wengi kuliko muda ulionao wa kueleza kero zao au hujafika kwao waseme...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais kwa watumishi wa umma

    Je, uamuzi wa Mh. Rais katika rufaa za watumishi wa umma unaweza kuombewa mapitio (review) kwenye ofisi hiyo kutokana na Mwajiri kushindwa kupeleka baadhi ya vielelezo vya ushahidi mwanzoni vilipohitajika? Naomba msaada katika hilo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais kwa watumishi wa umma

    Je, Mwajiri anaweza kuomba Mapitio (review) ya uamuzi wa Mh. Rais kwa Mh. Rais huyo huyo kwa kutaka kuongeza vielelezo ambavyo hakuviwasilisha kabla ya uamuzi, ambapo iliamriwa na Mh. Rais kwamba mtumishi arejeshwe kazini na kulipwa stahili zake zote?
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Likizo ya Watumishi wa Umma Liwale - Lindi, Idara ya Elimu hayatoki kwa wakati, kuna muda yanachukua hadi miaka miwili

    Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata malipo. Hata wakiomba kiwango fulani cha nauli, wahusika wanaolipa na malipo wanachofanya ni kukadiria...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma, nani awajibishwe?

    Mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma umekua na changamoto za mara kwa mara ..mara nyingi unakua down,je wanao simamia au walioleta huu mfumo hawakujua unyeti wa hili wanalo anzisha ? Hawakujua kuwa mfumo unapaswa kuwa bora sana kuliko ulivyo sasa .. Kumbuka huu mfumo ndio unaonesha uwajibikaji...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa afya matatani tuhuma za rushwa, Shinyanga

    Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi. Hatua hiyo...
  9. idiomer

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo yanahitaji kuangaliwa upya ili kulinda maslahi ya watumishi wa umma.Kama wewe ni mtumishi au mtu yeyote mwenye kuamini katika mabadiliko

    Mambo ambayo yanahitaji kuangaliwa upya ili kulinda maslahi ya watumishi wa umma. Kama wewe ni mtumishi au mtu yeyote mwenye kuamini katika mabadiliko chaya soma ujumbe huu kisha sambaza kwa wenzako lengo ni kufahamu na kuleta mabadiliko chanya kwa ustawi wa taifa letu sio chuki. Hakika kuna...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma kulipia ushuru bandarini na kuagiza magari toka nje ya nchi

    UZI MAALUMU WA MIKOPO KWA WAFANYABIASHARA, WATUMISHI WA UMMA, KUAGIZA MAGARI TOKA NJE YA NCHI NA KULIPIA USHURU BANDARINI. Habari Katika utafutaji wa maisha wa kila siku pesa limekuwa jambo kuu na la msingi ambalo mtu analihitaji katika kutimiza shida zake na mipango yake. Kwa kulitambua hilo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  12. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Nashauri OWM-Tamisemi ifungue ofisi za kanda watumishi wa umma chini ya Tamisemi ni kama mayatima

    Solidarity forever. Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa watumishi wa umma: Waislam tuwe na tahadhari vikao vya saa 6 siku ya Ijumaa

    Siku ya ijumaa ni siku bora kwa muislam. siku ya Ijumaa ni siku bora kuliko siku zote katika Uislamu. Mtume Muhammad (ﷺ) amesema: “Siku bora ambayo jua limechomoza ni siku ya Ijumaa.” Sababu Zinazofanya Ijumaa Iwe Siku Bora Matukio Makubwa ya Kihistoria 1. Adam (a.s.) aliumbwa siku ya Ijumaa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tuwe tunajiandaa kustaafu mapema kabla ya miaka 55 au 60. Ujumbe huu muhimu kwa walimu

    Jiandae kuwa mjasiria mapema kabla ya kustaafu. Manyanyaso na majungu ya watumishi wenzako iwe chachu ya wewe kujiandaa kustaafu ili uweze kuwa huru. Sina la nyongeza. Ila Walimu zingatieni huu ujumbe.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu: Watendaji na Watumishi wa umma acheni tabia ya kuzoea matatizo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi. Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
  17. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania Mikopo isiyo na Riba kwa watumishi wa umma

    Habari ndugu watumishi wa sasa na wale watarajiwa Serikali huwa inatenga kiasi cha pesa kwa ajili ya kuwakopesha watumishi wake. Mikopo hii haina riba kabisa (ukiacha gharama kidogo sana za kuprocess). Lengo la mikopo hii ni kuwasaidia watumishi kupata fedha za kujenga nyumba, kununua usafiri...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso amsamisha kazi Meneja wa DAWASA Kibamba kwa kutoridhishwa na utendaji wake

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya nafasi ya Meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa mkoa wa kihuduma Kibamba kutokana na kutoridhishwa na utendaji wake. ‎ ‎Mabadiliko hayo ameyafanya Novemba 28, 2025, baada ya kufanya ziara ya kikazi katika...
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Siri za serikali zinavuja mtandaoni, hii ni kuonyesha baadhi ya Watumishi umma hawana maadili

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema kumekuwa na mwenendo mbaya wa baadhi ya Watumishi wa umma wasiokuwa na maadili wa kuvujisha taarifa nyeti na siri za serikali na za watu binafsi kupitia mitandao ya kijamii. Ametoa wito...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu: Tunatambua kuna watumishi wa umma wazembe na wala rushwa tutashughulika nao

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari leo Novemba 25, 205 amesema kuwa serikali inatambua uwepo wa Wafanyakazi wa umma wanaofanya kazi kwa weledi inayochangia maendeleo ya miradi ya nchi lakini pia wanatambua uwepo wa...
Back
Top Bottom