Viongozi wetu wa serikali Tunaomba muwapiganie watumishi wa umma wenye Masters/PhD ili waweze kutambulika kimuundo na kimaslahihi

Kikwava

JF-Expert Member
Sep 6, 2015
1,121
527
Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili.
"Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
 
Inabidi itambuliwe kwa output sio makaratasi maana hata mkurugenzi wa tanesco nae ana PhD
 
Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili.
"Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
Tuseme ukweli jamani, kufundisha watoto wa Vidudu hadi Darasa la Sita na wale wa Kidato cha kwanza hadi Sita, Workload yake haiihitaji PhD wala Master Degree mkuu. Hivi kitendo cha kushika Chaki unataka uwe na PhD
 
Mseme ukweli na nani Sasa🤣 kwani sifa ya kufundisha watoto inahitaji kiwango gani Cha Elimu
 
Tuseme ukweli jamani, kufundisha watoto wa Vidudu hadi Darasa la Sita na wale wa Kidato cha kwanza hadi Sita, Workload yake haiihitaji PhD wala Master Degree mkuu. Hivi kitendo cha kushika Chaki unataka uwe na PhD
Walimu pekee ndo huonekana wanalalamikia Sana maslahi ya kimishahara, na ww mchangiaji una mentality hiyo.
 
Kusoma PhD kwa lengo la kupanda daraja kazini ni wrong reason ya kupata PhD.

Ukiwa na PhD wala hata huitaji kupiga kelele za kupandishwa daraja. Hiyo tayar ni exposure ya kupata maslahi makubwa.

Kama hujui how... basi hukustahili kuwa nayo
Changia hoja usiattac watu
 
masters na phd ni academic qualifications zina uzito kwenye kazi za lecturing vyuoni, research na uongozi.

huku kwengine unahitaji professionall qualifications, ukimaliza chuo uende bodi ya taifa ya taaluma yako ufanye mitihani, ukifaulu mitihani uwe mwanachama wa bodi na uhudhurie semina.

hizi ni bodi kongwe hapa nchini na zipo karibu kila nchi
  • wahasibu wa Tz wana bodi yao ya Nbaa, kuwa mwanachama inabidi ufaulu mitihani yao ya cpa, huwezi kutambulika ni muhasibu hata uwe na phd kama huna cpa,
  • engineering wana bodi yao erb,
  • law wana law school,
  • udaktari wana bodi yao

bodi zingine za ziada zilizoanzishwa hapa kwetu Tanzania miaka ya karibuni
  • procurement wana bodi yao psptb,
  • banking wana bodi yao cpb
  • na nyingine zipo kwenye mipango ya kuanzishwa
 
masters na phd ni academic qualifications zina uzito kwenye kazi za lecturing vyuoni, research na kazi za uongozi.

kazi nyingine zinahitaji professionall qualifications, ukimaliza chuo uende bodi ua taifa ya taaluma yako ufanye mitihani, ukifaulu mitihani uwe mwanachama wa bodi na uhudhurie semina za kitaaluma ili uwe updated.

  • wahasibu wana bodi yao ya Nbaa, kuwa mwanachama inabidi ufaulu mitihani yao ya cpa, huwezi kutambulika ni muhasibu hata uwe na phd kama huna cpa,
  • engineering wana bodi yao erb,
  • law wana law school,
  • udaktari wana bodi yao
  • procurement wana bodi yao psptb,
  • banking wana bodi yao cpb
  • n.k.
Chemists hawana Bodi. What a shame?
 
Chemists hawana Bodi. What a shame?
taaluma chache sana zina bodi zao, kila nchi ukienda lazima kuwe na bodi ya engineers, law, doctor na uhasibu.

kwa hapa tz hizo bodi za ziada zimeanza miaka ya hivi karibuni, bodi ya kemia inabidi nayo ianzishwe.
 
Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili.
"Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
Haya ma PhD ya watu wanapata kazini kwa matakwa yao yasiwasumbue kabisa. Hayana tija kabisa zaidi ya kuongeza misifa na kiburi kwa aliye na makitu hayo. Kwenye kazi za mawizara na mashirika utendaji wa mtu uwe ndiyo kigezo cha kupanda mshahara kupitia OPRAS.

PhD kwenye taasisi za utafiti na vyuo vikui ni sawa. Kwenye mawizara na mashirika kama mwajiri atataka PhD basi atampeleka mwenyewe akamsomeshe.

Imagine mtu ana PhD ya records management. Unadhani performance yake itamzidi yule aliye na Bachelors degree?
 
Back
Top Bottom