Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,629
- 15,562
INTRODUCTION:
Hapa sizungumzii wizi wa fedha au mali za Umma pekee ila nazungumzia wizi wote wa MUDA na FEDHA.
Nimekuwa nikiona na kusikia watu wengi sanaa wakiponda juu ya wizi fedha za uma kwa watumishi.
Nimekuwa nikiona na kusikia raia wengi sanaa wanalalamika kwamba wakienda ofisi fulani kumfata Afisa fulani huwa hawamkuti,
Sawa wako sahihi kabisaa, Ila juu ya yote nauliza "HII SERIKALI KWA MSHAHARA HUU BILA KUIBA UTATOBOA KWELI?""
BODY:
Mi binafsi ni mtumishi wa Umma wa zaidi ya miaka 11 sasa nikiwa na miaka yangu 33 niliyoishi duniani najiuliza "Hivi bila kuibia hii serikali, NITAFANIKIWA KWELI??""
SCENARIO:
MWIZI WA KWANZA.
Paul ni mshikaji wangu
Yeye ni Expenditure Accountant wa Halmashauri X.
Kulingana na mambo ya malipo ya Halmashauri huyu jamaa akikaa(ga) kwenye kiti chake cha uhasibu saa 2:30 asubuhi basi kuamka ni saa 2 au 3 usiku na muda mwengine saa 4 usiku kabisaa.
Ila huyu jamaa Hana CPA(T) hivyo mshahara wake ni TGS D (750K)
Huyu jamaa ana mke, watoto, gari na ndugu wanaomtegemea.
Huyu jamaa ukimcheki Hana muda wa kufanya jambo lolote (side hustle) zaidi ya kazi ya Halmashauri.
Kwahiyo, Paul ametengeneza mazingira kwenye meza yake ya kwamba; ili malipo yako yafanikiwe kwake una option mbili 1. Umpe 10% ya malipo yako au 2. Kwenye dokezo lako na yeye umuweke
Bila kuchagua option moja wapi hapo juu "Aisee malipo yako hayatoboi kabisaaa kwenye MUSE"
Sasa unadhani atatumia njia gani kutoboa maishani zaidi ya wizi wa fedha kwa maana hana hata muda wa kwenda kumsalimia ndugu, Je huo wa kuanzisha biashara au side hustle yoyote "Atautoa wapi?"
Lakini pia Paul ni mtaalamu sanaa wa kutengeneza madokezo hewa..!!! Hivyo ni ni MWIZI WA FEDHA ZA UMMA
MWIZI WA PILI.
John ni Afisa Maendeleo wa Halmashauri B, Kaimu mkuu wa Idara mwenye mshahara wa TGS E.
Huyu jamaa ana staili moja hivi ya kufanyia kazi ambayo nimeielewa sanaa.
Kutokana na kwamba yeye ni Mkuu wa Idara, basi ame "fight" mpaka akapata vijana wa kujitolea watatu kwenye ofisi yake, na kwa kumrairai Mkurugenzi wake basi boss wake amekubali kuwalipa hawa wanaojitolea 300k kwa mwezi kila mmoja.
Na kafanya hivi kwasababu ofisini kwao wapo wawili tu yeye na mtumishi mwenzake mmoja.
Hivyo basi kwasasa John anawatumishi wa4 chini yake.
Anachofanya sasa ....
Ye huwa kila mara ana aga anaenda field ila kiuhalali kabisa John huwa anashinda kwenye biashara zake.
Ukimuhoji kwanini ushindi ofisini, majibu yake "Braza mi nina raia kibao wananitegemea, nikisema nishinde kwenye ile halmashauri ya kijijini iliyo na njaa vile nitapata wapi maokoto?""
Hivyo John yeye ni MWIZI WA MUDA.
Lakini si mshahara mdogo ndio Unamfanya afanye hivi?
CONCLUSION.
Wote Hawa wawili ni washkaji zangu na ukiwa angalia kwa umakini "WOTE NI WEZI"
Paul ni mwizi fedha za umma na John ni mwizi wa muda wa Umma
Ila sasa unadhani bila kufanya haya wanavyofanya WATATOBOA KWELI?
ASANTENI.
Watumishi wa Umma tuendelee kutafuta hela na tena tuzitafute hasaaa, maana msisahau Kuna kustaafu ndugu zangu.
Utazipaje hela utajua mwenyewe uwe JOHN au PAUL.
Mi binafsi nimebakiza miaka 27 ya kustaafu na siku zotee ""Fainali huchezwa uzeeni""
If you think money can't buy happiness, go and ask the homeless and the Jobless.
YANGA BINGWA.