Swali kwa Waziri wa Mazingira, Dkt Suleiman Jaffo: Watumishi wa umma 333 wamefuata nini kwenye mkutano wa COP28 huko Dubai?

Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,021
2,478
1701896871476.png

Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo,
Waziri wa Mazingira,

Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023.

Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka serikali ibane matumizi.

Tanzania imewakilishwa na watu 764. Watu wapatao 391 kati yao ni watumishi wa umma. Watu baki wametoka sekta binafsi.

Jedwali lifuatalo hapa chini linaonyesha mchanganuo wa wajumbe wa Tanzania. Na faili kamili la MS Excel limeambatanishwa hapa chini kwa ufafanuzi zaidi.

1701900770054.png

Kwa wale wanaotaka ulinganisho mpana, pia tumeambatanisha Jedwali kamili ya wajumbe wote duniani waliohudhuria COP28.

Kwa mujibu wa Jedwali hili, Kidunia nchi zenye wajumbe wengi ni UAE (4,409), Brazil (3,081), China (1,411), Nigeria (1,411), Indonesia (1,229), Japan (1,067) na Turkey (1,045).

Na kwa upande mwingine, kidunia nchi zenye wajumbe wachache ni North Korea (2), Nicaragua (6), Eritrea (7), Liechtenstein (8) na Moldova (8).

Katika Bara la Afrika, nchi ya kwanza kwa wajumbe wengi ni Nigeria(1411), Ya pili ni Morocco (823), Ya tatu ni Kenya (765), Ya nne ni Tanzania (764), Ya tano ni Ghana (618), ya sita ni Uganda (606). Zingine ni DR Congo (590), Rwanda (223), Burundi (172), na South Sudan (158).

Tunaelewa kwamba kila Taifa linayo Kamati yake ya kupima, Kuripoti na kuthibitisha taarifa juu ya mabadiliko ya tabianchi.

Yaani, "National Measurement, Reporting, and Verification Framework" au "National MRV Framework" kwa kifupi. Mfano wa National MRV Framework" unaonyeshwa hapa chini katika picha.

1701913123066.png

Kamati hii ya MRV katika ngazi ya kitaifa ndiyo huripoti kwenye mkutano wa COP28. Ukubwa wa timu ya wawakilishi wake unategemea nguvu za kiuchumi za nchi husika. Maswali muhimu hapa ni haya:
  1. Je, kwa sasa "National MRV Framework" ya Tanzania inao watu wangapi?
  2. Je, Kama Kamati ya MRV ya Tanzania inao wajumbe pungufu ya watu 391, ambayo ni idadi sawa na Bunge zima la Tanzania, kwa nini Tanzania imewakilishwa na ujumbe mkubwa hivi?
  3. Je, wakati dunia ya leo inaendeshwa kwa kutumia kanuni za demokrasia ya uwakilishi vikao cya COP vinatumia kanuni za demokrasia ya moja kwa moja?
  4. Na je, ijapokuwa "COP’s Rules of Procedure" hazisemi kiwangocha chini cha wajumbe wa lazima kutoka nchi mwanachama wa Mkataba wa Kudhibiti Mabadiliko ya Tabianchi, sisi kama Taifa tunapaswa kutumia vigezo gani kuamua juu ya suala hili, na vigezo hivi vimezingatiwa kwa kiasi gani?
Watanzania wengi wanauliza maswali haya, na ni muhimu kwa serikali kuyajibu.

1701964360209.png

Vinginevyo mikutano ya COP sasa itaonekana kama ziara binafsi za kuwapa wajumbe nafasi ya utalii binafsi wa kimataifa kwa kutumia fedha za umma pasipo ajenda yoyote ya maana kwa Taifa.

Tunapaswa kujifunza kutokana na sakata la Rais Mwinyi na Bi Mkubwa baada ya Earth Summit, yaani Mkutano wa Mazingira uliofanyika huko Rio de Janeiro mwaka 1992.

Katika ziara hiyo, Tanzania ilihusisha watoto wa shule, akiwemo mwanafunzi mmoja aliyejulikana kama Bi Mkubwa Rajab, binti yake Mzee Kitwana Kondo.

Binti huyu alimletea msukosuko Rais Mwinyi wakati ule. Vijiweni Dar es Salaam kulizuka kejeli kuwa Rais Mwinyi alikweda kwa Mzee Kitwana Kondo kuchumbia akitumia maneno haya: "Bi Mkubwa anifaa sana, maana anayo miaka yoye ya CCM na mitano juu."

Uvumi ulizagaa. Ilifika hatua mpaka Rais akaitisha mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja kukanusha uvumi.

Taarifa zinasema kuwa, siku hiyo Rais Mwinyi aliwauliza mabinti wa shhule ya Jangwani, "Eti Mie Nimemwoa mwenzenu?"

Tunayoyasema kuhusu Tanzania yanazihusu nchi zingine pia. Mikutano ya COP haipaswi kuwa sababu ya kufuja fedha za umma pasipo ajenda ya umma inayoeleweka.

1701964442070.png

Taarifa hizi zimechakatwa na:

Mama Amon
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
SLP P/Bag
"Sumbawanga Town"
Sumbawanga
 
Attachments

  • List of Tanzanian Attendees of COP 28.xlsx
    58.4 KB · Views: 3
  • Global List of COP28 Delegates.xlsx
    4.5 MB · Views: 4
Kwanza elewa nchi ya kwanza kwa delegates wengi kwa Africa ni Nigeria(1411), Ya pili ni Morocco (823), Ya tatu ni Kenya (765), Ya nne ni Tanzania (764), Ya tano ni Ghana (618), Ya sita ni Uganda ((606). Hapa ndo ujue Africa matumizi ni zaidi ya mapato. Kama wamekaribishwa na wanalipiwa kila kitu bado hawaoni aibu kwamba wanatumia pesa za sponsor bila aibu
 
View attachment 2835179

Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo,
Waziri wa Mazingira,
Seriously?
Hii serikali ina tutafuna tungali hai.
Unaweza kukuta hao watumishi wa UMMA walipelekwa kufanya lobbying ya misaada, Nnchi inaongozwa na wanasiasa ambao wanaamini rasilimali zetu zinapaswa kushikwa na wageni kwa maslahi mapana ya maendeleo ya kiuchumi...

Watupe maelezo kwa kweli
 
View attachment 2835179

Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo,
Waziri wa Mazingira,

Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023.

Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka serikali ibane matumizi.

Tanzania imewakilishwa na watu 764. Watu wapatao 391 kati yao ni watumishi wa umma. Watu baki wametoka sekta binafsi.

Jedwali lifuatalo hapa chini linaonyesha mchanganuo wa wajumbe wa Tanzania. Na faili kamili la MS Excel limeambatanishwa hapa chini kwa ufafanuzi zaidi.

View attachment 2835194

Kwa wale wanaotaka ulinganisho mpana, pia tumeambatanisha Jedwali kamili ya wajumbe wote duniani waliohudhuria COP28.

Kwa mujibu wa Jedwali hili, Kidunia nchi zenye wajumbe wengi ni UAE (4,409), Brazil (3,081), China (1,411), Nigeria (1,411), Indonesia (1,229), Japan (1,067) na Turkey (1,045).

Na kwa upande mwingine, kidunia nchi zenye wajumbe wachache ni North Korea (2), Nicaragua (6), Eritrea (7), Liechtenstein (8) na Moldova (8).

Katika Bara la Afrika, nchi ya kwanza kwa wajumbe wengi ni Nigeria(1411), Ya pili ni Morocco (823), Ya tatu ni Kenya (765), Ya nne ni Tanzania (764), Ya tano ni Ghana (618), ya sita ni Uganda (606). Zingine ni DR Congo (590), Rwanda (223), Burundi (172), na South Sudan (158).

Tunaelewa kwamba kila Taifa linayo Kamati yake ya kupima, Kuripoti na kuthibitisha taarifa juu ya mabadiliko ya tabianchi.

Yaani, "National Measurement, Reporting, and Verification Framework" au "National MRV Framework" kwa kifupi.

View attachment 2835261

Kamati hii ya MRV katika ngazi ya kitaifa ndiyo huripoti kwenye mkutano wa COP28. Ukubwa wa timu ya wawakilishi wake unategemea nguvu za kiuchumi za nchi husika.

Swali ni kwamba, Kamati ya MRV ya Tanzania inao wajumbe 330, ambayo ni idadi sawa na Bunge zima la Tanzania? Watanzania wengi wanauliza swali hili, na ni muhimu kwa serikali kulijibu.

Vinginevyo mikutano ya COP sasa itaonekana kama ziara za kuwapa wajumbe "exposure" ya kimataifa pasipo ajenda yoyote ya maana kwa Taifa.

Tusisahau yale ya Mkutano wa Rio de Janeiro mwaka 1992 ambapo ziara ya Tanzania ilihusisha watoto wa shule, akiwemo mwanafunzi mmoja aliyejulikana kama Bi Mkubwa Rajab.

Binti huyu alimletea shida Rais Mwinyi wakati ule, mpaka Rais akaitisha mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja kukanusha uvumi.

Taarifa zinasema kuwa, siku hiyo Rais Mwinyi aliwauliza mabinti wa shhule ya Jangwani, "Eti Mie Nimemwoa mwenzenu?"

Taarifa hizi zimechakatwa na:

Mama Amon
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
SLP P/Bag
"Sumbawanga Town"
Sumbawanga
Kuna bwana yule alikwenda Marekani akiongozana na viongozi wa dini, wauza mayai na wengine wengi tukiacha aliyewabeba akina Nyerere wa kuchonga.
 
Vinginevyo mikutano ya COP sasa itaonekana kama ziara za kuwapa wajumbe "exposure" ya kimataifa pasipo ajenda yoyote ya maana kwa Taifa.
Hapo kwenye nyekundu Itakuwa ni kuwapa per-diem ya kimataifa, mwisho wa mwaka huu , lazima boxing day🎁 wavimbe
 
Afrika na Tanzania ndiyo sehemu yenye Binadamu wenye akili ndogo na tumegoma kuepukana na umasikini.Utajiri unaanzia katika nidhamu ya matumizi ya fedha,huwezi kutumia zaidi ya unachoingiza alafu ukawa tajiri,zaidi utaishia kukopa ili kukidhi mahitaji ya starehe.
Wafanyabiashara wakienda Benki kuchukua fedha za kigeni wanaambiwa fedha za kigeni hamna,sasa hao Wajumbe wote walikuwa wanalipa madafu?
Kwanini huyo Mama asipishe mtu mwingine mwenye uwezo aongoze nchi?maana naona tuendako ni giza nene sana!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2835179

Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo,
Waziri wa Mazingira,

Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023.

Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka serikali ibane matumizi.

Tanzania imewakilishwa na watu 764. Watu wapatao 391 kati yao ni watumishi wa umma. Watu baki wametoka sekta binafsi.

Jedwali lifuatalo hapa chini linaonyesha mchanganuo wa wajumbe wa Tanzania. Na faili kamili la MS Excel limeambatanishwa hapa chini kwa ufafanuzi zaidi.

View attachment 2835194

Kwa wale wanaotaka ulinganisho mpana, pia tumeambatanisha Jedwali kamili ya wajumbe wote duniani waliohudhuria COP28.

Kwa mujibu wa Jedwali hili, Kidunia nchi zenye wajumbe wengi ni UAE (4,409), Brazil (3,081), China (1,411), Nigeria (1,411), Indonesia (1,229), Japan (1,067) na Turkey (1,045).

Na kwa upande mwingine, kidunia nchi zenye wajumbe wachache ni North Korea (2), Nicaragua (6), Eritrea (7), Liechtenstein (8) na Moldova (8).

Katika Bara la Afrika, nchi ya kwanza kwa wajumbe wengi ni Nigeria(1411), Ya pili ni Morocco (823), Ya tatu ni Kenya (765), Ya nne ni Tanzania (764), Ya tano ni Ghana (618), ya sita ni Uganda (606). Zingine ni DR Congo (590), Rwanda (223), Burundi (172), na South Sudan (158).

Tunaelewa kwamba kila Taifa linayo Kamati yake ya kupima, Kuripoti na kuthibitisha taarifa juu ya mabadiliko ya tabianchi.

Yaani, "National Measurement, Reporting, and Verification Framework" au "National MRV Framework" kwa kifupi.

View attachment 2835261

Kamati hii ya MRV katika ngazi ya kitaifa ndiyo huripoti kwenye mkutano wa COP28. Ukubwa wa timu ya wawakilishi wake unategemea nguvu za kiuchumi za nchi husika.

Swali ni kwamba, Kamati ya MRV ya Tanzania inao wajumbe 330, ambayo ni idadi sawa na Bunge zima la Tanzania? Watanzania wengi wanauliza swali hili, na ni muhimu kwa serikali kulijibu.

Vinginevyo mikutano ya COP sasa itaonekana kama ziara za kuwapa wajumbe "exposure" ya kimataifa pasipo ajenda yoyote ya maana kwa Taifa.

Tusisahau yale ya Mkutano wa Rio de Janeiro mwaka 1992 ambapo ziara ya Tanzania ilihusisha watoto wa shule, akiwemo mwanafunzi mmoja aliyejulikana kama Bi Mkubwa Rajab.

Binti huyu alimletea shida Rais Mwinyi wakati ule, mpaka Rais akaitisha mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja kukanusha uvumi.

Taarifa zinasema kuwa, siku hiyo Rais Mwinyi aliwauliza mabinti wa shhule ya Jangwani, "Eti Mie Nimemwoa mwenzenu?"

Taarifa hizi zimechakatwa na:

Mama Amon
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
SLP P/Bag
"Sumbawanga Town"
Sumbawanga
Kwa hiyo ulitaka wasiende kupata "exposure"?
 
Back
Top Bottom