jaffo

Laurent Mayaba D'Jaffo (born 5 November 1970) is a retired Beninese football player.
D'Jaffo was born in France but moved to Africa at the two years old. He moved back to France when he was fourteen where he signed with Montpellier at age sixteen.D'Jaffo has also played for Mansfield (where he scored on his debut against Hull City), Aberdeen, Ayr United, Bury, Stockport County and Sheffield United. D'Jaffo since retired and is now working as a football agent, assisting Sheffield United with their scouting.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Utekelezaji wa Amri hii ya Mh Jaffo utaanza lini ?

    Kama kuna anayefahamu tarehe ya utekelezaji wa jambo hili atueleze ili tujipange tusije kuingia matatizoni .
  2. Mama Amon

    Swali kwa Waziri wa Mazingira, Dkt Suleiman Jaffo: Watumishi wa umma 333 wamefuata nini kwenye mkutano wa COP28 huko Dubai?

    Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo, Waziri wa Mazingira, Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023. Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka...
  3. Suzy Elias

    Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

    Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
  4. Q

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  5. robinson crusoe

    Ufafanuzi mbovu wa Profesa Manyele, NEMC mko wapi? Waziri Jaffo huitendei haki wizara, JIUZULU

    Natoa wito Waziri Jaffo ajiuzulu. Mstaafu Mwinyi aliwahi kusema kichaa akichukua nguo zako, busara ni kuchutama (loosely) Waziri Jaffo na watalaamu wake wa mto Mara wanagoma kuchutama, na kadri wanavyogeuza ripoti wizara inazidi kupoteza pesa kwa waandishi habari na kuanza kueleza mambo ambayo...
  6. Eric Cartman

    Kipimo cha dharau ni kumuweka Bashungwa TAMISEMI na mchapakazi kama Jaffo mazingira

    Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala. Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane. Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa. Hawa jamaa wanatudharau sana,
  7. L

    Ikulu haijatambua PhD za Biteko na Jaffo?

    Naona Majina yao hajaanza na Dr. Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili
  8. B

    #COVID19 Majaliwa, Jaffo na Vigogo Afya Waachie Ngazi

    Ni jambo la kheri kuwa sera rasmi kuhusiana na Covid-19 hatimaye imebadilika uelekeo kwa nyuzi 180. Kwamba kama uelekeo ulikuwa mashariki, tumegeuka nyuma kuelekea magharibi. Mwanga mpya wa matumaini unaanza kujitokeza. Chanjo toka kwa wahisani tuliowaanzishia mabeberu zimeanza kutufikia bila...
  9. J

    Suleiman Jafo, Kanisa la Askofu Gwajima ni kero kwa wananchi waishio Mazizini Ukonga, Dar es Salaam

    Sisi wananchi tuishio mazizini Ukonga, tunaomba msaada wako kwa sababu ya mitetemo na vipaza sauti, hili kanisa limejengwa makazi ya watu. Ibada zao zipo siku ya Jumatatu, Jumatano, Ijumaa, kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 2:30 hadi saa 3 usiku, Jumapili saa 2 asubuhi mpaka saa 9. Na Kila siku...
  10. J

    Maisha yanaenda kasi; Jaffo kutoka kusimamia bajeti ya Tsh 3 trilioni TAMISEMI hadi 28 bilioni Muungano na Mazingira

    Ni kweli kuna Wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni. Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri...
  11. Mlaleo

    Janga la Kimbunga Mh. Jaffo katuacha solemba watu wa Pwani

    Tanzania tushazoeshwa na Mambo ya Kishirikina na kienyeji tushakuwa wabishi tu na kuwasingizia Wazungu kuwaita Mabeberu.. IImekuja Corona tumeambiwa Nyungu hadi kukawa na wiki za Nyungu... Sasa hili la Kimbunga ndio tuendeleze Nyungu na kujifukiza au kuna linginelo la kienyeji Maana tumesoma...
  12. J

    Matumizi ya nguvu badala ya akili ndiposa Dr Kigwangala akawipigisha push up watendaji Jaffo akamtisha mkandarasi hadi akazimia!

    Mambo ya kitemi na kutishana sasa mwisho ni lazima watendaji watende kwa mujibu wa sheria. Dr Kigwangalla kawaombe radhi wale askari wanyama pori uliowapigisha push ups ( mzaha siyo mzaha) vinginevyo utaendelea kudata. Jaffo kamwombe radhi yule mkandarasi uliyemfokea hadi akazimia...
  13. Queen Esther

    Ushauri kwa Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo

    Waziri Kijana Mhe. Selemani Jafo nimekusoma kuhusu taarifa ya kuwaondoa Wakurugenzi waliopata hati chafu. Nakupongeza kwa uamuzi huo ingawa naomba kukushauri yafuatayo:- 1. Kuna Majiji, Manispaa au Halmashauri zimepata hati safi sababu ya kutoa rushwa kwa timu ya CAG!!! Tafadhali chunguza...
  14. msovero

    Suleiman Jaffo wa TAMISEMI ni overrated

    Huwa nashangaa pale watu wanapo msifia jaffo kwamba ni mchapa kazi, nabaki najiuliza huo uchapa kazi anaosifiwa nao unatokana na nini na ni mambo gani hasa amefanya huyu kijana kwenye wizara ya tamisemi hadi asifiwe kwamba ni mchapa kazi? Kwa miaka mitano mfululizo hakuna ubunifu wala cha maana...
  15. T

    Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe) Ushauri. Mh Seleman Jafo jipange...
  16. B

    Maajabu ya msiba, Halima avunja ukimya

    Mabibi na mabwana msiba wa mzee baba umekuwa na maajabu yake. Ilikuwa Jaffo na sasa bi Halima au sauti ya zege: Kutokea kwenye kuvunjwa mkono hadi kwenye mahaba niue, kweli siku hazigandi. Kalale pema peponi JPM.
  17. B

    Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

    Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana. Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi: Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu. Tusiwe ving'ang'anizi kama luba. Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
  18. J

    Je, mawaziri Jaffo na Aweso wataendelea na mikwara ile ile ya kutumbua na kufokea watendaji hadi wanazimia?

    Kila kitabu na zama zake ndio maana tulio wengi tunaona ni vema Rais SSH akateua baraza lake la mawaziri watakaoendana na maono na kasi yake. Fikiria utendaji wa mawaziri Jaffo na Awesu ambao wametumbua na kukerehesha wengi , je wataendelea na mzuka ule ule? Au watabadili voco kulingana na...
  19. J

    Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

    Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo? Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu. Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo...
  20. J

    Waziri Jafo: Kila manispaa mkoani DSM itarithi mali za Jiji la Dar es Salaam lililovunjwa zilizo katika maeneo yao

    Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala. Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
Back
Top Bottom