watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu: Tunatambua kuna watumishi wa umma wazembe na wala rushwa tutashughulika nao

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari leo Novemba 25, 205 amesema kuwa serikali inatambua uwepo wa Wafanyakazi wa umma wanaofanya kazi kwa weledi inayochangia maendeleo ya miradi ya nchi lakini pia wanatambua uwepo wa...
  2. John Sin

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa watumishi wa umma mbalimbali waliothibitishwa wana elimu za hapa na pale au elimu mbalimbali

    Habarini Naomba huu uzi uwe ni daraja la kuwatumbua wote wenye elimu za kuunga unga ili iwe kama tahadhari kwa wanaowateua na kuwapa nafasi. Hapa zitawekwa CV zao na itakua kama database ya wenye elimu za hapa na pale wote Tanzania nzima Karibu
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaotaka kutugawa kupitia Imani za dini zetu tuwakatae. Hoja za Udini hazina tija, tunawakosoa sababu ni watumishi wa Umma

    WKumekuepo na hoja za Udini hizi ni hoja mfu ambao wanaozitumia ni wale walioishiwa hoja na uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho au hawajui wa nachokisema Binafsi mimi naamini MUNGU yuko lakini sio kupitia hawa matapeli wa hizi dini zote Wanachokihubili hawakiishi Utapeli mtupu walio wengi...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Nchemba: Lazima twende na gia ya kupandia mlima, watumishi wa umma, wavivu, wazembe na wala RUSHWA kufekwa

    Leo, tarehe 13 Novemba 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ametuma salamu kwa watumishi wa umma waliokuwa wavivu, wazembe na wala rushwa, akiwahakikishia kuwa watakabiliwa na mkono wa sheria. Akiwa Bungeni Jijini Dodoma, katika hotuba yake ya kwanza baada ya...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Chukueni orodha ya waandamanaji wote ili wasiwe na sifa ya kuajiriwa na kuwa Watumishi wa umma

    Tunaomba kuwaondolea sifa ya kuajiliwa waandamaji wote waliobainika kuleta vurugu tarehe 29/10/2025. Hivyo basi utumishi chukueni orodha za waandamanaji kutoka Polisi then zitunzeni kwenye data zenu ili wote walioshawishi/ KUSHIRIKI wizi na uharibifu wa miundombinu na Mali za watu binafsi na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yawataka watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani Oktoba 30

    Msigwa amewatangazia Watumishi wote wa Umma kutotoka nyumbani kesho
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkomi: Watumishi wa umma tujitokeze kwa wingi siku ya Oktoba 29 kwenda kupiga kura

    Hapa naweza kusema ni kama imetoka oda fulani kwa watumishi wote wa Umma. Na kuwaza kwa ndani kabisa inawezekana ikawekwa lokoo watakapiga kura na wasio piga kura halafu wasiopiga kura kitawalamba! ================= Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  8. stevenkatalas

    JamiiForums Tanzania Kubalisha vituo vya kazi kwa watumishi wa Umma

    Mtumishi wa Umma Anayetaka kuhamia mkoa wa pwani kutoka mikoa yote Tanzania kasoro kigoma, katavi na shinyanga ila hususani Tanga, fani ni mechanical engineer karibu tubadilishane
  9. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA waliogombea nafasi za ubunge CCM, waunga mkono NRNE

    Nina marafik zangu ambao ni watumishi wa Umma kama wanne walichukua fomu CCM kugombea Ubunge 2025 katika majimbo na viti maalumu, ila kura hazikotosha na wengine Kamati Kuu haikuwateua Sasa serikali imewaweka benchi mpaka Leo hawajapewa kibali cha kurudi kwenye utumishi, zaidi ya mishahara...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Mtwara wakamata Viongozi AMCOS na Watumishi wa Umma kwa wizi wa Pembejeo za Korosho zaidi ya Milioni 15

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa huo SACP Issa Sulemani amesema mnamo Agosti 29, 2025 polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Umma wenye mahitaji maalum tunapangiwa sehemu zisizo rafiki, tukiomba uhamisho hatupati

    Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea tunafuatilia uhamisho barua zinapokelewa Kama ushahidi TU hazifanyiwi kazi. Mara nyingi tunapofuatilia...
  12. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma jiongezeni kivingine kwenda kwa waganga na majungu kazini ni maisha ya kujifariji tu

    Kwanza niwaambie, sisi Gen Z hatuna cha kupoteza na tuko tayari kufanya chochote ili tuingize pesa. Hiki kizazi chetu ni kizazi cha kufa na kupona, yaani afe kipa au beki lazima ushindi upatikane. Sasa narudi kwenu, nyie brothers na sisters kizazi cha 80’s. Wengi wenu mlipata bahati ya kusoma...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watumishi wa umma Tanzania-je inaweza kuamua mshindi?

    Kwa mujibu wa takwimu idadi ya watumishi wa umma ni kati ya laki tano na laki 6 ...Je idadi hii inaweza kuwa na maamuzi ya kumchagua Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa kutumia kura zao? Jibu...HAPANA ...lazima ridhaa ya watanzania wengi zaidi sana ipatikane. Assumption 1: ondoa kura za...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia Democratic Party (DP); Nitafuta mfumo wa kikokotoo kwa watumishi wa umma

    Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea nafasi hiyo, kipaumbele chake cha kwanza kitakuwa kushughulikia na kufuta mfumo wa kikokotoo kwa watumishi wa umma. Mluya ametoa kauli hiyo leo...
  15. Madihani

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal). Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo. Na gharama zingine kama bima ni kubwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi: Ili mtumishi athibitishwe au kupanda daraja atalazimika kufanya mtihani kupima uwezo wake

    Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi. Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
  17. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma leo naona ni vicheko tu huku mtaani, kuna siri gani?

    Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba. Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka. Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!! Leo kuna siri gani huko?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wanaosimamia mfumo wa ESS Utumishi (Watumishi Portal), hawajaona busara ya kutoa taarifa kwa watumishi wa umma juu ya kusitisha baadhi ya huduma?

    Katika hali ya kawaida, unapositisha huduma kwa watu unowahudumia au ambao ndio wanakufanya uwe kazini na upate kipato, busara inaelekeza utoe taarifa kwao tena uombe na radhi na utamke bayana ni lini unatarajia huduma zitarudi kama kawaida. Cha ajabu, wenzetu wa ofisi ya Raisi Utumishi...
  19. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania ESS ni janga kwa watumishi wa umma si msaada siku ya tano mfumo haupo hewani, na hakuna tarifa rasmi

    Pamoja na serikali kupambana katika kuboresha maslahi ya watumishi kuna huu mfumo unaitwa ESS unaoshughulikia mambo mbalimbali ya kiutumishi kwa watumishi aisee hiki ni kimeo tena kimeo kikubwa tu baada ya kupunguza migogoro sasa kinaongeza migogoro kwa mtumishi na mwajiri wake hasa serikali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

    Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
Back
Top Bottom