Ndugu wadau, habari zenu.
Kinacho mbana lisu ni matokeo ya kauli zake, hakuonesha au kusema wafuasi wake watatumia njia gani kuzuia uchaguzi usifanyike na hilo lipo wazi.
Matokeo yake Sasa, yaliyotokea siku ya uchaguzi yanaipa nguvu serikali kusema yalichochewa na kauli za lisu. Mfano ukisema...
Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake..
Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea mashahidi wenzake na Lissu kukubali kirahisi tu kwani ni hatari kwake iwapo cross examination ya hao...
Serikali haina nia ya kuendelea na kesi. Sasa dhamana inatoka wapi tena? Unampa mtu dhamana mtu aliye na kesi inayoendelea as far as I know.
Masharti yanatoka wapi ya kuripoti kila friday ya mwisho wa mwezi for a year wakati kufutiwa kesi siyo kifungo cha nje. Kuna vitu haviko sawa. peter...
Dunia Inahitaji Kujua Kinachoendelea, Sio Kilichotokea
Katika ulimwengu wa teknolojia ya sasa, upatikanaji wa taarifa za moja kwa moja (live) na kwa wakati halisi bado ni changamoto. kutokana na uhaba wa teknolojia hiyo imechangia.
Matukio mengi yanayoripotiwa kwa jamii kupitia vyombo vya...
Mi huwa naendesha gari ya shule frani iv iko maeneo ya kinyerezi leo katika mizunguko yangu ya kila siku bhna nikakutana na mwalimu mkuu nilivyo nishamaliza kuwafikisha wanafunzi nataka kupark gari. Akanambia toa gari kunasehmu nataka twende unisindikize tukaenda njiani akawa anani shawishi...
Wanabodi
Leo usingizi umekatika usiku wa manane, na saa hizi ninapoandika hapa, nasikia adhana ya swalaa swalaa, yaani tayari ni alfajiri, nilikuwa nasikiliza mahubiri fulani online, mara nikaisikia ile sauti toka ndani yangu ya The Voices From Within, ikaniambia, kuwa kilichotokea ile...
Tumeshuhudia wanavyonyukana kugombea nani awe na mamlaka ya mali ya umma
Hili ni janga la Afrika ndio maana hadi leo hakuna muungano unaoeleweka
Yale yale ya ukawa na siasa za Tanzania
Bora kubaki na CCM kuna aina fulani ya utu na uungwana kuliko kilichotokea Chadema
Lossu, Heche na...
Asalam waleku
Wandugu waJF hapa nataka nijulishe kwamba kule china mambo yameenda ndivyo sivyo.
Kwa maana mapatano ya ajenda zote yapo PENDING
Kwa hali ilikuwa kwamba ni mbinu za kimkakati ziliandaliwa kuingia na devices zao kuiba some information na kuzi export kwenye mashine zao ila ngoma...
Huyu binti nikimpigia, sio mara zote anapokea lakini akipokea anaongea kawaida na anajikuta ananiheshimu hadi kwa vitendo
Nikichokishuhudia leo:
Leo nimemshuhudia akiwa barabarani anaongea kwa simu, lakini body language yake ndio iliyonitanya niwaletee mrejesho huu.
Japo alikua amebeba mzigo...
Umofia Wadau.
Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA"
Labda wale wa Rohoni mnipe tafsiri sahihi ya hili bila kujali Imani ya Dini zenu:-
1. Kila mtu aitii Mamlaka iliyo kuu;kwa maana...
Mimi nipo Swedeni ila kuna jamaa Mtanzania mwenzangu alichukua uraia wa Usa anasema kwa hotuba iliyotolewa jana na Samia.
Kunawezekana kuibuka maandamano makubwa Marekani. Bei ya mafuta kumbe imekuwa kubwa sana kuliko wakati wowote ule toka Dunia iwepo. Na hawakuwa wakijua mpaka Samia...
Kwa ufupi sana kipindi majanga yanatokea hapo mgodini MSASA GEITA nilikuwepo na niliona kila kitu hadi jioni inafika nilikuwepo kuangalia kila hatua iliendelea...
Itoshe kusema taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari viliangalia mambo mengi sana hadi kusema hakukuwa na vifo, ila sisi...
Kufuatia tukio la mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Murieti Jijini Arusha, aitwae Daniel Jeremia (15), kutoweka nyumbani kwao January 26, 2026, nakuacha ujumbe unaosema kuwa anamuonea mama yake huruma kwa namna anavyomuhangaikia maishani, hatimaye leo January 31...
https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI
MAAZIMIO YA MAZUNGUMZO YAWAZEE KUHUSU UJENZI WA AMANI, UMOJA NA HAKI NCHINI
TAREHE: 22 JANUARI 2026
MAHALI: DARES ES SALAAM, UKUMBI WA
MWALIMU NYERERE FOUNDATION
Imewasilishwa na:
Mzee Joseph W. Butiku, M/Kiti Bodi ya Wadhamini,Mwalimu Nyerere...
Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji mkono wa kutosha ndani ya nyumba yako -- wananchi, jeshi, na vyombo vingine vya usalama.
Huo utatu wa...
Asilimia kubwa ya hawa watu kwanza ni watu wazima inaweza umri wao ni kuanzia miaka arobaini au kuanzia miaka hamsini kuendelea,
Tangu yatokee mauaji ya maelfu ya watanzania kuanzia Octoba 29 na kuendelea nimeona ID za platinum member nyingi zikitoa michango hapa JF kuliko wakati wowote ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.