mitishamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo

    #AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari hizo ataishia kuhitaji huduma za Kusafishwa Damu (Dialysis). Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na...
  2. Melki the Storyteller

    Dawa muhimu na dawa za mitishamba

    Uko upande upi? Binafsi nazikubali dawa muhimu kwa kuwa ni uhakika kupona unapozitumia, zimeundwa kwenye Right Proportion (Composition), pia wataalamu wamekaa maabara miaka na miaka kuzifanyia utafiti, ni rahisi kutumia n.k
  3. Kizibo

    Watalaamu wa uchawi, mitishamba na tiba asilia naombeni msaada wa kuelewa

    Heshima kwenu wakuu. Katika kutafuta maarifa huku na kule, nikapata RITUAL moja hivi kwenye website fulani. Hiyo ritual ina maelekezo katika vipengele 11. Katika hivyo vipengele 11 kuna ambavyo nashindwa kuelewa ndio nimekuja kuomba msaada kwenu watalaam wa mambo ya kiroho na watalaamu wa...
  4. Gaddaf i06

    Walokole wenzangu, kutumia mitishamba sio uganga

    Tumepewa roho na mwili, kwahiyo usiishi kiroho zaidi ukasahau kuwa una mwili, unatakiwa kubalance vitu hivi viwili. Si mara moja, si mara mbili, walokole wengi wako radhi AfE kuliko kutafuna mzizi, hao hao ukiwapa vidonge wanashukuru. Sio kwa ubora wa dawa za kizungu bali baadhi yetu wanaamini...
  5. CAPO DELGADO

    Msaada dawa ya mitishamba ya appendix

    Habari wataalamu wa Afya, Nina Mgonjwa Anasumbuliwa sana Na Appendex. Hayupo tayari kufanyiwa Operation. Kulingana na Athari za Operation kwenye mwili. Japo ni operation ndogo lakini amekataa katakata kufanyiwa Operation. MSAADA KWA MTU ANAYEWEZA KUTUSAIDIA KUPATA DAWA ZA MITISHAMBA ZENYE...
  6. M

    Vyakula sio tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo ni kudharau mitishamba inayosafisha mfumo wa mwili

    Mitishamba ipo na huwa inafanya kazi. Mitishamba ilitumiwa na mababu zetu enzi na enzi na ndio maana walikuwa na wake zaidi ya wawili na shoo za ukweli zilipigwa. Leo hii nashangaa kawama inakuwa mara vyakula. Sasa kama vyakula vimeharibu mwili kwa nini usitumie miti shamba kurekebisha mwili?
  7. Raphael Thedomiri

    Dawa hii ya meno, ya mitishamba ipo wapi tena?

    Kuna dawa za mitishamba zinauwezo mkubwa sana. Kama kuna dawa ilikuwa inaitwa ngetwa dfp kama nitakuwa nimekumbuka vizuri, sijui hii dawa imepotelea wapi, iliokoa jino langu. Nilikwenda hospitali ya meno, dokta akaniambia hili jino ni la kung'oa, ilikuwa miaka kadhaa iliyopita na upachikaji wa...
  8. Nyankurungu2020

    Kumbe Tanzania tuna mitishamba. Tulikuwa tupigwe nne kabisa

    Ni nguvu ya mitishamba imetuokoa na hii ni wazi kuwa Tanzania tupo vizuri kwa mawitchdokta. Kupunguza goli nne mpaka moja.
Back
Top Bottom