unafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Huruma za Watanzania juu ya MAKONDA na MSIGWA ndiyo zinazotuumiza leo na zitaendelea kutuumiza sana, tuache huruma za kijinga

    Mimi kuna mda akili hua ina niambia Lissu atuache kutupambania sisi watanzania tulio wengi ni wajinga sana. Tulia nikupe mfano mzuri tu hapa utakumbuka vizur na nahisi utakubaliana na Mimi. Mama alivyoingia tu akafanya Uteuzi wa Zuhura Yunus kua Msemaji wa Serikali.. Unakumbuka watanzanoa...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa kisiasa unavyotukwamisha Watanzania kuwa Taifa bora, imara na serikali inayowajibika

    Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo. MAJUKWAA YA GIZA: Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
  3. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumfukuza Said Issa Mohamed ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA

    JMT! Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali.. hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa watu wanaopinga ushoga katika nchi za kihafidhina

    Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga? Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wana economic cooperation with China? Dunia ina unafiki sana

    Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka. Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania na unafiki wa kimkumbo

    Nimekuwa mkubwa sasa na ninaweza kuyaona mambo kwa upande wa nyuma tofauti na wengi wanavyotazama Matango pori ninayang'amua mapema kabla hayajaniteka kama baadhi ya Watanzania wa sasa walivyo. Wanapenda kucheza midundo ambayo hata hawajui uelekeo wake ni upi, lakini unaweza kuwaelewa kwa...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa Syria na kiongozi wa zamani wa ISIS kucheza wimbo wa rapper wa Marekani Missy Eliot?

    haya hao ndizo leaders wa islam ambao wanachapa wengine viboko kwa kuvaa suruari, wanakataza watoto wasiende shuleni kwa sababu ni elimu wa "mfumo Kristo", kwamba wakakariri Kurani madrasa, sasa angalia yeye mkuu wa al-qaida na raisi wa mpito wa siria ahamed huseni Al-sharaa akijiburudisha na...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya Marekani na Washirika wake dhidi ya Iran ndio imeonyesha siasa ni unafiki duniani kote

    Ukiziondoa nchi Kama Spain,India,Brazil na South Africa ambazo zimejitenga na uongo na unafiki wa dunia. Nchi nyingi duniani zimeonyesha unafiki na mnafiki mkuu wa hii duniani ni Marekani. Imagine nchi inayoitwa ya kidemocrasia baba wa democracy mpaka Sasa vita mwezi kafukuza majenerali 8...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siku nikifa kama nilihusika kwenye kuwadhulumu na kuwatesa furahini na wekeni sherehe. Msilete unafiki wa kijinga kwamba marehemu hasemwi

    Hamjambo Wote! 1. Sijui kama naeleweka. Yaani nikuumize, nikutese, nikuharibie maisha alafu Siku yamenipata ulete ngonjera za ajabuajabu. Sijui UTU. Sijui Imani! 2. Aiseeh! Hakuna cha utu kwa mtu asiye na Utu. 3. Hakuna cha staha sijui stara kwa watu waliokosa stara na stags. 4. Hakuna cha...
  10. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Guest na Lodge wamezijaza wao lakini kwa unafiki wataanza memes za kuwasema waislam

    Shalom shalom Nipo kwenye group ambalo members wake asilimia 99 ni makafiri huku kobaz tukiwa wawili tu. Vilevile huo mkoa asilimia kubwa ni hawa ndugu zetu katika imani asilimia 99 Chakushangaza washaanza memes za kudai kobaz wapunguze oda za Lodge na guests wakati kuhalisia hata kobazi wa...
  11. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mach 17 kesho tunaenda kushuduia unafiki wa kiwango cha kupitiliza cha wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kesho Machi 17 kwenye kumbukumbu ya Hayati Magufuli tutashuhudia unafiki wa wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao...
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Dini ndio chanzo cha unafiki Mashariki ya kati?

    There is something wrong somewhere! Watu wengi huangalia juu juu tuu. Shida kubwa duniani ni UNAFKI. Haswa unaotokana na imani. Imani ni kama kutu, inakula tuu! Kuna vitu vilipaswa kuisha. Kama fujo za Palestine na Israel. Lakini, dini na watu wa dini ndio fujo.. Palestine ISSUE" Fatah ndio...
  14. Red black

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki mtu usiku kucha umekesha unakula vyakula vya kutosha halafu next day unajifanya saumu imekaza😆

    Binadamu always ni mnafiki,
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ona unafiki wa hawa Maayatollah na wizi wao kwa kutumia dini

    Hii ni picha ya kaburi la ayatollah Ruhollah Khomeini lillilogharimu takriban dola bilioni mbili. Halafu wanakwambia kuwa hakuna shirk wala kuabudia sana au kufanya israfu au matumizi mabaya. Hii kama siyo israfu na shirk ni nini jamani? Hicho ndicho kitovu cha jengo lote hilo. Waislam...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako. Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
  19. hamis77

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

    Wakuu, Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?" Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za...
Back
Top Bottom