Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri.
Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu?
Pili, nikajiuliza mbona watu wa zamani wake kwa waume walivaa mavazi ya aina moja mfanano na magauni au tuseme madera. Nadhani hoja wasivae suruali za kubana makalio.
Mambo ya kusema suruali dhambi kwa mwanamke ni upotofu. Vazi la suruali ni ubunifu tu wa mwanadamu.