Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
Enyi Wana WA Nuruni
Naomba mje mnisaidie hii kitu

Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka?

Maana me nimetongozwaga zamani,

Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa Kuongea

Na dating NI mchana sehemu ya public

Hamna Ku kiss wala ku du

Sasa sijui skuhizi mnatongozanaje

Naombeni kujua jamaa
 
Wazee wa kanisa tu,wazee wenu walikua hawahusiswi kwenye maswala ya ndoa zenu?
 
Enyi Wana WA Nuruni
Naomba mje mnisaidie hii kitu

Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka?

Maana me nimetongozwaga zamani,

Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa Kuongea

Na dating NI mchana sehemu ya public

Hamna Ku kiss wala ku du

Sasa sijui skuhizi mnatongozanaje

Naombeni kujua jamaa
Kwa mtu mwenye hofu ya Mungu ya kweli hufuata utaratibu ambao huweza kutofautiana kidogo.Lakini baada ya kijana kumpenda binti na kujiridhisha atamwomba binti appointment na mara nyingi ni Kanisani sehemu ya wazi ili kumwambia ombi lake la kutaka awe mwenzi wake,wengine hukutana kwa mzee wa Kanisa.Baada ya kukubaliwa ombi lake huenda kwa Mchungaji,wanaitwa taratibu za kujitambulisha na mahari hufanyika pamoja na kupima afya.
Japo siku za leo wenye kula kimasihara na kuonjana kabla ya ndoa ndio wako kila kona.
 
Kwahiyo. Utaratibu WA zamani basi haujabadilika sio?
 
Back
Top Bottom