mmomonyoko wa maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Mwaramutse nshuti, Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate. Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
  2. Roving Journalist

    Waziri Ulega ashiriki Mkutano wa 52 wa Ahmadiyya, asema mafunzo ya Dini yatumike kuondoa mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Kilimo na Mifugo, Abdallah Hamis Ulega ameyasema hayo wakati alipomuwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko kwenye Mkutano wa 52 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya uliofanyika Kitonga, Msongola, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam. Amesema Mkutano huo...
  3. Roving Journalist

    Mufiti na sheikh Mkuu wa Tanzania awataka Masheikh na Maimamu wote Nchini wakemee mmomonyoko wa Maadili

    Mufti Zubeir awataka Masheikh wa Mikoa, Wilaya, Kata na Maimamu wakemee mmomonyoko wa Maadili Akizungumza katika tukio la Kumbukumbu ya Miaka 8 ya Mufti Dkt. Abubakar Zubeir, leo Juni 22, 2023 katika Ukumbi wa Mfalme Mohammed Vi, kiongozi huyo amesema Sikukuu ya Eid Kitaifa inatarajiwa...
  4. Mwesiga frolian

    SoC03 Mwarobaini Mmomonyoko wa Maadili

    UTANGULIZI Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo vya ushoga, uasherati na uzinzi, wizi, ulevi, uvutaji bangi na matumizi ya dawa za kulevya ambavyo...
  5. MamaSamia2025

    Acha makasiriko tafuta hela": kauli inayochochea mmomonyoko wa maadili

    Kwa wakati huu wakati taifa linakabiliwa na tatizo kubwa la kukosa maadili kumetokea pia namna nyingi za shetani na wafuasi wake kuwakatisha tamaa wale wote wanaopigania maadili mema. Imefikia wakati mtu ambaye anashauri kuhusu mwenendo mzuri kwenye jamii kudhalilishwa na kuonekana mjinga na...
  6. NetMaster

    "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
  7. Mr Why

    Shule za bweni kwa wavulana ni tishio katika mmomonyoko wa maadili

    Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika suala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika suala zima la mmomonyoko wa maadili.
  8. Kiboko ya Jiwe

    Mmomonyoko wa maadili chanzo ni wazazi na walezi kwa 99.9%

    Habari! Kuna vitu vinatokea tunaanza kumsingizia shetani au makundi. Hayo makundi mabaya yanaundwa na wanyama? Ni watu ambao wazazi na walezi wao wameshindwa kuwaonyesha njia. Kitaalamu tunasema tabia ya mtoto inajengwa shule, nyumbani na barabarani. Tone la bahari ukitia kwenye mto wa maji...
  9. Mkulungwa01

    Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

    Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers? Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri...
  10. Daudi1

    Mada: Kwanini tumefika hapa?

    Umofia kwenu!!!!!1 Kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya 2022, ni muda mrefu kidogo nimekuwa ndugu mtazamaji lakini kwa leo naomba nilete hili kwenu. Kwanza kabisa ijulikane taasisi ya mahusiano na ndoa ndio taasisi mama katika kuishape jamii, kumbuka taasisi hii ndiyo inayozalisha...
  11. M

    Mmomonyoko wa maadili: Nimevifuma vitoto kichakani vinafanyana

    Ni Vitoto vya Umri wa kati ya miaka Mitano hivi ila sijajua ni wapi vimejifunza aina ya Ngono niliyowafuma nayo wakifanya Kichakani. Kweli kama Baba ( Mzazi ) nilipowabamba nilipandwa na Hasira Kali na kutaka Kuwaadhibu ila kwa ule Ufundi niliowakuta wakiuonyesha ilinilazimu tu niwaamuru...
Back
Top Bottom