uganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huyu Mganga wa Ufaransa mbona ana fanya uganga wa kizamani hivyo?

    Duh huu uganga ni fashion ya kizamani mno.. Zamani mno enzi Mr. Noah bado yupo ndani ya safina. Mbappe wa kwanza kuingia uwanjani , Mbappe wa kwanza kutoka uwanjani. Uchawi kama wa Simba na Yanga.. Uchawi wa kitoto kwelikweli Ufaransa wamepigwa 😁😁. Anyways kesho QATAR wagomee mechi, nimeona...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uganga Unalipa: Nimejionea Malawi!

    👉Kumbe kazi ya uganga wa kienyeji inalipa kuliko nilivyokuwa nikifikiria hapo awali. 👉Ndani ya wiki mbili pekee nimeona uhalisia wa biashara hii ulivyo. 👉Nimegundua vijana wengi wa Malawi wanatafuta utajiri wa haraka bila kutaka kupitia jasho la kazi. 👉Wengi wao wanaamini...
  3. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwa kurejelea Biblia na Quran Tukufu, inawezekana kwa shetani kupitia uganga na uchawi kumpa mtu ugonjwa na akaugua hata kufa?

    Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu. Katika vitabu...
  4. Etwege

    JamiiForums Tanzania Elimu ya uganga na uchawi kutoka kijiji cha Gamboshi

    Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Atangaza kuacha kazi ya Uganga haina faida

    Kijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa ibada maalum ya kuwapokea watu walioamua kuacha mambo ya kishirikina na kumrudia Mungu Akizungumza...
  6. Stability

    JamiiForums Tanzania Mwamba kajichanga pesa za uganga, huyooo! Sasa hivi kanunua basi. MGANGA HAJIGANGI KWELI??🤣

  7. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi. Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama...
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Naona mtume kaanza kufanya uganga hadharani? taratibu mtanielewa, anagawa mchanga wa baraka huko Arusha.

    Wakuu kwema? Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani. Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

    Kwema Wakuu! Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA. Ungeelewa Kwa nini hata Mchumba wake alimbwaga. Kajamaa kalikuwa kamejichokea haswa. Moja haisomi Mbili haikai. Sasa...
  10. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Nasema ukweli kuhusu uganga

    Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga. Baada ya kupewa...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Shahada ya Uzamili ya Uchawi kutolewa chuoni Uingereza

    Uchawi sasa hivi unaenda kuwa kitu cha kawaida sana Duniani. Kozi mbalimbali zimeanza kuanzishwa zikifundisha uchawi na uganga wa jadj. Nchi ya uingereza inaweza ikawa nchi ya kwanza ya kutoa Elimu ya juu ya uchawi. Vivyo hivyo Sahada ya Uzamili ya uchawi itakayoanza kutolewa mwaka 2024...
  12. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Walokole wenzangu, kutumia mitishamba sio uganga

    Tumepewa roho na mwili, kwahiyo usiishi kiroho zaidi ukasahau kuwa una mwili, unatakiwa kubalance vitu hivi viwili. Si mara moja, si mara mbili, walokole wengi wako radhi AfE kuliko kutafuna mzizi, hao hao ukiwapa vidonge wanashukuru. Sio kwa ubora wa dawa za kizungu bali baadhi yetu wanaamini...
  13. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa uganga na hivi vitu?

    Habarini wakubwa, Kuna mzee mmoja huwa anapendelea sana kununua daftari lile lisilo na mistari (la kuchora),Marker pen nyekundu na udi. Mwanzo sikuelewa nikaamua nimuulize jamaa Fulani hivi wa hapa mtaani ,akaniambia ni Mambo ya uganga. Je,ni kweli hivyo vitu tajwa hapo juu vina uhusiano na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Utata: Mtuhumiwa adaiwa kujinyonga kwa Nguo ya Ndani akiwa Kituo cha Polisi

    Nimeona heading Kwenye gazeti la Nipashe kwamba kuna kifo cha kutatanisha cha Mfugaji aliyefia Mahabusu Polisi wamedai amejinyonga kwa kutumia Chupi yake Ngoja nilisake gazeti nilete habari yote! --- MFUGAJI aliyetambulika kwa jina la Samweli Bulunde, anadaiwa kufariki dunia baada ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Bashe na Mwigulu ni mawaziri mizigo. Wanaumiza wananchi. Amwaga machozi kwa kutukanwa kujadili uganga.

    Video hii hapa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanaokwenda kwa waganga wana hoja, wasibezwe

    Jumatano njema! Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha. Wana hoja, miaka ya leo utapeli umekuwa mwingi. Mchungaji anafukuza muumini kwa uzinifu wakati mwenyewe anazini. Watu...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwigulu anawadharau na kuwaona Watanzania wajinga? Alituambia tuhamie Burundi sasa hivi anadai tujadili uganga

    Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga. Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi. Leo hii mfumuko wa bei upo juu na watu wanakula mlo mmoja yeye anadai eti tujadili uganga. Maana yeye ni mchumi pekee hapa...
  18. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu uchawi na uganga

    Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo. Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni jamaa mmoja wa shinyanga alikua akitoa ushuhuda , wa jinsi alivyomtumikia shetani kama mganga wa...
  19. Dr wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Naacha chuo kwa muda, naenda Sumbawanga kujifunza uganga

    Habari JF, Baaada ya maisha ya chuo kuwa magumu hapa Dar es Salaam, sasa nimeamua kupostpone masomo mpaka second semester Next Year, pia nimepostpone pesa HESLB mpaka Next Year. Ajira hakuna, so chuo ntamalizia mwakani, Ila kwa sasa naenda kujifunza uganga short course miezi 6. Babu yangu...
  20. Daktari W Sindabhalla

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

    Habari Waheshimiwa wa JF. Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa. Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa...
Back
Top Bottom