ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
 1. ROBERT HERIEL

  Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

  MAMBO YANAYOFANYA VIJANA WA KARNE YA 21 WASIENDE KANISANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Anayeandika hapa ni kijana msomi mbobevu wa Biblia, na vitabu mbalimbali. Mbali na hivyo ni msomi wa ngazi ya shahada. Hivyo anaandika akiwa na Uelewa wa kiwango cha juu wa kile akisemacho. Vijana hawaendi...
 2. A

  Hivi kuna kipengele chochote cha Katiba au Sheria kinatoa tafsiri ya neno 'Dini' na 'Ibada'?

  Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee. Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya kiingereza. Nilitatajia nikute katiba ya kiingereza ikitamka maneno haya; Our state has no official...
 3. Bujibuji Simba Nyanaume

  Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

  Mwenge ni mungu wa Tanzania Ndio maana wanamuomba alete Amani na kuna sala maalum huitwa sala ya mwenge. Hebu tuone kitabu cha Isaya 50:11 unavyosema. Kumbe ndio maana tuna utajiri mkubwa wa rasilimali na mali zetu zinaliwa kirahisi na wageni
 4. M

  POLISI KUINGIA KATIKA NYUMBA ZA IBADA KUSIKILIZA NA SI KUSALI IMEKAAJE.

  Mimi mtotot wa nchungaji nimepata wasiwasi sana baada ya kupata taarifa hii kutoka kwa mtu mwenye dhamana ya ulinzi na usalama wa raia wa taifa hili IGP. Inamaana kanisa nyumba ya Mungu si salama kuliko nje.
 5. J

  IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

  IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada. Chanzo: Swahili times My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti. === Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
 6. Erythrocyte

  Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

  Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam Mungu ibariki Chadema
 7. Tulimumu

  Kamati ya Amani ipo wapi wakati huu Polisi wakivamia makanisa na kuvuruga ibada?

  Nauliza viongozi wote wa dini pamoja na ile inayojiita kamati ya amani iliyojitokeza kupiga marufuku matumizi ya neno mwendazake wako wapi muda huu ambapo polisi wameanza kuvamia makanisa na kukamata watu kwa kisingizio kuwa wamevaa nguo za CHADEMA. Toka lini ikawa ni utaratibu kwa polisi...
 8. Mama Amon

  Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

  Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu...
 9. J

  #COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

  Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona. Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
 10. The Palm Tree

  Bishop Rev. Josephat Gwajima kusema neno tena kesho. Unakaribishwa katika ibada kanisa la Ufufuo na Uzima....!

 11. Erythrocyte

  Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

  Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania. Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
 12. Pdidy

  #COVID19 RC Makalla, Mwamposa anamaIiza ibada 12 jioni, kuna Kanisa wanatoka saa 6 usiku huko Temboni mpo kimya! Tutaponaje na COVID-19?

  Dkt. Mwamposa aliwahi kuonywa hili, tunashukuru amekuwa msikivu Ukisikiliza matangazo yake aliwakuwa anatangaza wanaingia saa sita wanatoka 6pm mwisho akanza toa watu saa 3 usiku Vibaka walijazana sana sana wakaripoti husika, dk anaenda sawa 6pm kwenu Kuna kanisa Temboni Mh. Makalla, watu...
 13. D

  #COVID19 Serikali: Ibada za misiba zisizidi dk 30 mpaka saa moja, zingatieni Social Distancing

  Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema “Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
 14. Miss Zomboko

  #COVID19 Ibada ya Hajj yafanyika kwa utaratibu mpya kufuatia COVID-19

  Maelfu ya mahujaji waliochomwa chanjo ya COVID-19 wamekusanyika mji mtakatifu wa Mecca kwa ibada ya Arafa, huku Wakizingatia umbali wa mtu na mtu na kuvalia barakoa wakati virusi vya corona vikiiathiri kwa mwaka wa pili mfululizo ibada ya Hijja. Ibada hiyo iliyokuwa inawaleta pamoja mahujaji...
 15. Tango73

  Shule zote, Vyuo vikuu na Nyumba za Ibada, zipewe Ulinzi wa kutosha

  Imefikia mahala lazima serikali ijihami ipasavyo kulinda raia zake baada ya magaidi wa Al shaabab kuweka kambi nchi ya jirani msumbiji. Uharibifu wa mali ya uma,, wingi wa vifo na kutimuliwa katika makazi yao raia wa msumbiji si kitu cha kusikiliza kama mechi ya soka bila kukifanyia kazi na...
 16. S

  Ibada ya kuaga mwili wa TB. Joshua inaendelea muda huu

  Ibada inaendelea mda huu wageni toka sehemu mbalimbali duniani wamehudhuria, kwa hapa Tanzania inaonyeshwa kupitia wrm TV ya Chief suguye ambayo inapatikana kwenye kisambuzi cha startimes, tuendelea kufatilia ibada hii ya kusherekea maisha yake.
 17. Erythrocyte

  Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya kumuaga Prof. Mwesigwa Baregu

  Mbowe ameshiriki Ibada hiyo katika Kanisa la KKKT usharika wa Kunduchi Beach. Hayati Mzee Baregu alikuwa Mjumbe Mstaafu wa Kamati kuu ya Chadema.
 18. TheDreamer Thebeliever

  Covid 19: Saudi Arabia yafuta ibada ya hijja

  Habari wadau..! Ni mwaka wa pili sasa wale ndugu zangu waislam hawataweza kutekeleza ile nguzo muhimu ya uislam yaani ibada ya hijja. Watanzania hawataweza kwenda hijja mwaka huu ,tangazo limetolewa na shekhe mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zuberi Ally leo hii.
 19. beth

  #COVID19 Mufti Zuberi: Ibada ya Hijja imefutwa kwa sababu ya Virusi vya Corona

  Serikali ya Saudi Arabia imefuta ibada ya hija kwa mwaka 2021 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona. Hii ni mara ya pili kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutotekeleza ibada hiyo kutokana na gonjwa huo ulioanza kutikisa mwishoni mwa mwaka 2019. Akizungumza na...
 20. Shombe la Kisomali

  Ibada kuu ya Eid el Fitr Morogoro Municipal

  Habari za majukumu JF members wote. Mungu ni mwema na hatimaye yamebaki Masaa tu kama sio dakika tuimalize Ramadhan ambayo imechukuwa Siku takribani 30. Ni furaha ilioje kwa Waislam wote na wasio Waislam kesho kusheherekea sikukuu ya Eid baada ya kumaliza Mfungo salama salimini. For now nipo...
Top Bottom