Fei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
Natumaini muwazima wote. Kwa wale ambao wanachangamoto za kiafya, kiuchumi na nk. Mungu afanye njia kila Mtu awe kwenye hali anaipenda. Twende kwenye mada yeti.
Leo nimekumbuka baadhi ya adha nilizopitia hasa kwenye presentation hii ni kutokana kufuatilia taarifa au hotuba za kiranja mkuu wa...
Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha...
Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana nchini.
Katika barua hiyo iliyotolewa hivi karibuni, jukwaa...
Kifo cha Mohamed Mohamed Kisingwe kimeibua mjadala mzito miongoni mwa wananchi kuhusu uhusiano kati ya vyombo vya dola na usalama wa raia. Tukio hilo, linalohusishwa na operesheni ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), limeacha maswali mengi yasiyo na majibu na hisia...
Kwa miongo kadhaa, Tanzania imejengwa na kutambulika kama moja ya shule bora za diplomasia barani Afrika. Kuanzia harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, ushiriki thabiti katika Umoja wa Mataifa, hadi kusimama kama taifa lisilofungamana na upande, Tanzania iliweka alama yake...
Imeshakuwa ni jambo la kawaida watu waliovaa kiraia na gari la kiraia kuondoka na mtu kisha baadae mnaambiwa alikuwa polisi. Wengine wanapotea kauli inatoka waliomkamata hawakuwa polisi. Huu mkanganyiko ni kwa kuwa mara nyingine inakuwa shida kutofautisha watu hawa, na itakuwa matokeo ndio...
Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula...
Matokeo ya kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mfenesini mjini hapa yamechelewa kutangazwa kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kutokana na kura kudaiwa kuongezeka. Idadi ya wajumbe walikuwa 472 lakini baada ya kura kuhesabiwa zikafikia 528, sawa na ongezeko la kura 56...
Katika Hali isiyo ya kawaida baada ya walimu wanachama wa CHAKUHAWATA kujikuta wamekatwa mara mbili kwenye mishahara yao ya mwezi huu JULY baada ya MAMA kufanya yake,walimu hao wamejikuta wanakatwa vyama vyote ada ya uanachama yaani CWT na CHAKUHAWATA ilihali walishahama chama hicho ( CWT) kwa...
Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi.
Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
Habari zenu Watanzania wenzangu,
Mwanzoni wakati najiunga na Jamii Forum nilitumia jina la Bheka jina hili lenye asili ya Kizulu lenye maana ya Ulinzi lakini watu wa humu wakalibadili na kuniita Bakari nilikwazika kwa kuharibiwa jina na maana na pia kupewa jinsia isiyo yangu, haya sasa...
Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
askofu gwajima
barua
fake
gwajima
halali
hisia
kanisa
kanisa la askofu gwajima
kanisa la gwajima
kibatala
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mitandaoni
moderator
ndani
peter kibatala
sakata
sintofahamu
thread
waziri
yangu
Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa.
Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul.
Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje.
Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
Majeraha ya mara kwa mara yanayomkumba nyota wa soka Neymar sasa yamezua sintofahamu kubwa juu ya hatima yake katika klabu ya Al-Hilal. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Fichajes, klabu hiyo ya Saudi Arabia inaangalia uwezekano wa kumuuza mchezaji huyo wa Brazil ambaye amekuwa...
17 October 2024
Geneva, Switzerland 🇨🇭
KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA
https://m.youtube.com/watch?v=LAYwfFWdwDI
Mabibi na Mabwana nawashukuru sana , Hakika mambo ndani ya bunge yalikuwa moto, pia mgawanyiko...
Kutoka katika Ukumbi wa JKCC uliopo jijini Dodoma, mawakili wa Tanzania Bara wamekusanyika kwa ajili ya zoezi muhimu la kupiga kura kuchagua Rais, Makamu wa Rais, na viongozi wengine wa Chama cha Mawakili Tanzania bara(Tanganyika Law Society - TLS). Matokeo ya uchaguzi huu yanatarajiwa kutolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.