waislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  2. M

    Waislam waruhusiwe kwenda Msikitini leo Ijumaa

    Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na...
  3. sanalii

    Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

    Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam. Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani. Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12...
  4. Mohamed Said

    Kitendawili cha BAKWATA na Serikali BAKWATA na Waislam 1968 - 2024

    Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika. Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS. Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
  5. Rorscharch

    Ndugu zangu waislam nina maswali

    Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu...
  6. G

    Kwenu waislam wenye majina ya kiarabu, Haya ndiyo majina yenu original yenye asili ya kiyahudi

    Majina haya ya kiarabu asili yake original ni ya wayahudi yenye lugha ya kihebrania, Kama una majina haya basi tambua kwamba asili ya jina lako ni kwa wayahudi Shlomoh - Suleyman (Sulemani) Mosheh - Musa Amram - Imran Chanokh - Idris Dawid - Dawud Yishmaʿel - Yahya (Yahaya) HaSatan - Shaytan...
  7. narudi kesho

    Kwanini Waislamu wengi wanaonekana mafukara kuliko Wakristo?

    binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti, haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu unasema pale si chini ya milion 1, njoo huku kwa waislamu unakuta sheikh anachangisha sadaka kwenye...
  8. Roving Journalist

    Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania: Haki za Binadamu zinapozingatiwa amani inaendelea kustawi katika Jamii zetu

    Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini. Akizungumza Septemba 24, 2024 ikiwa kuelekea mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 - 29...
  9. Azarel

    Wakristo wengi kuhudhuria Mikutano na Hafla za Waislam / Kiislam

    Habarini Wadau, Hiki ninachokiandika nina uhakika na Ushahidi nacho, Juzi...kama two weeks ago au mwezi kulikuwa na Tamasha kubwa sana la Kiislam lililohusisha Watu wa jinsia zote...na Walialika Wasomi wakubwa wa Dini ya Kiislam kutoka pande mbalimbali duniani ikiwepo Europe, Miongoni mwa...
  10. M

    Wasiokuwa waislam, hamtaki maisha haya?

    Pepo (Jannah) ni sehemu ya maisha ya akhera katika imani ya Kiislamu, inayotambuliwa kama malipo ya mwisho kwa wale waliotenda mema na kumcha Mwenyezi Mungu katika maisha yao ya dunia. Nani Atakayeishi Peponi? Wale Walio Na Imani na Watendaji Wema: Katika Qur'an, watu wa Peponi wanatambulika...
  11. Mlaleo

    Ukomo time kukemea waongo wote kusema Jerusalem ni hollyland ya Waislam, enough is enough

    Kwa Wapenda Amani Duniani wakiwemo Vioongozi wa Nchi za Kiislam au zenye waislam wengi na wacheche waache uongo mara moja Dunia imechoka na uongo ambao unasababisha kutokuwepo na Amani... news za vifo zinachosha.. issue ni kwa Iblis ndio anatusumbua mno... kawashika watu kawajaza uongo wapo...
  12. M

    Je, Wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama Waislam?

    Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16. SWALI Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam? kwa waislam hili limewekwa wazi pamoja na faida yake Sura ya An-Nisa...
  13. M

    Swali kwa wasiokuwa waislam? Haya hamutaki kuyapata?

    Mithali 19:20 (Biblia ya King James) MAISHA BAADA YA KUFA Katika Uislamu, maisha baada ya kifo yanaelezwa kwa maelezo mawili makuu: Pepo (Jannat) na Moto (Jahannam). Hali ya maisha ya mtu baada ya kifo inategemea matendo yake, imani yake, na tabia yake. Pepo (Jannat) Picha ya Pepo: Hali ya...
  14. Kinyungu

    Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

    Wakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea kichapo. Hali ya machafuko tayari imeikumba miji ya Liverpool, Belfast, Southport, Bristol na...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

    Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi. Nimemaliza
  16. C

    Aliyetoka kwenye mkesha wa Mwamposa Dar afia ndani

    Kwa Kisiri Sanawari katika wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, jioni hii ya 11/7/2024 umepatikana mwili wa mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 akiwa amefariki ndani. Kwa mujibu wa taarifa ya mkewe imeeleza kwamba mume wake alikuwa anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu na...
  17. Technophilic Sentinel

    Kwanini Waislam wa Africa hutawakuta wanapaza sauti kupinga mauaji ya waafrica wenzao wanauliwa na RSF kundi la kiarabu?

    Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan. Na hawa ni waislam wenzao
  18. Ojuolegbha

    Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

    Na Mwandishi wetu. Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema...
Back
Top Bottom