Hivi walokole mna shida gani?

David Harvey

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
2,679
5,221
Katika dhehebu linastahili kufutwa ni walokole, mtu umekaa unafurahi zako mkeka umetiki anatokea mlokole anakuambia hiyo furaha unayofurahia bila kuokoka ni kazi bure.

Muda huu nipo kazini nasalimiana na mfanyakazi mwenzangu anatokea mlokole anamwambia mfanyakazi mwenzangu asichangamane na watu wa misri.
 
Kuna dada nlimuuliza unaitwa nani? Akasema Mimi ni mtumishi flani , kanisani kwetu Kuna ibada tunakukaribisha sana siku ya jumapili.

Nikasema hii, kwani huyu haelewi swali au?
Si ulitaka kumjua kakupa jibu la kumjua hadi utakapomkuta na muda anaokuwa eneo.hilo

Kama wewe una pepo la ukware kuuliza uliza majina ya akina dada kwa la ukware wako sasa nenda mkaongee huko kanisami siku ya mida ya ibada aliyokwambia mtaongea na maombi utaombewa na hilo.pepo lako kware litashughulikiwa kikamilifu

Usiwe na shaka ndio maana kakukaribisha kanisani
 
Hao sio walokole! Ukiona mtu anajifanya na kujiita mlokole alafu huna amani kukaa naye huyo sio mlokole! Hata hivyo kibiblia walokole ni wachache!

Mt 7:14​

Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
Marko 20:23-47

Kuokoka duniani haiwezekani
 
Katika dhehebu linastahili kufutwa ni walokole, mtu umekaa unafurahi zako mkeka umetiki anatokea mlokole anakuambia hiyo furaha unayofurahia bila kuokoka ni kazi bure.

Muda huu nipo kazini nasalimiana na mfanyakazi mwenzangu anatokea mlokole anamwambia mfanyakazi mwenzangu asichangamane na watu wa misri.
Usiwachukie.. Neno linasema mpe kilevi mwenye shida anywe alewe asahau shida zake
Siku nyingine mshike mkono umsogeze pub ya karibu umtoe lock asahau shida zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom