Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.

misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.

Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.

Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.

Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
  • Kwamba huyu kaenda kanisani hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine ?
  • anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
  • Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vimini na body taiti ?
  • Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara ?
  • je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
  • Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
  • Kwani padre akiwaambia wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?

Pindi tunavyotoka nikawa sambamba na rafiki yangu ila yeye naona alikuwa bize anasalimiana na wengine, yule binti alitupita nikaona wacha nichukue picha ya maajabu niliyokutana nayo, nilimuaga rafiki naenda chooni mara moja, sehem ile ilikuwa na watu wengi ilikuwa ngumu kupata picha, binti nikawa namfuata kwa nyuma, tukafika sehem haina watu wengi nae akasimama, nikaongeza mwendo nikaweza kumpiga picha, hebu jionee mwenyewe hio picha nimeicrop na kuiambatanisha

Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na wenzao wa jumamosi ?

IMG_20230409_120124.JPG
 
Usihukumu wewe hata mmoja coz kipimo upimacho na wewe utapimiwa.Sioni ajabu huyo muumini kuvaa hivyo kama alikwenda kutafuta maslahi yake yakuhusu Nini wewe .

Mbona wewe Nia Yako ya kwenda kanisani ilikuwa ni kumpa rafiki yako kampani na sio kwenda kula chakula Cha kiroho?
 
Leo asubuhi niliweza kwenda kanisani kumpa kampani rafiki yangu,

Nikiwa ndani ya kanisa mojawapo maarufu hata kwa hapa duniani kuna binti aliingia kiukweli nilistushwa kwa namna ya vazi alilovaa lilivyomchora maumbile yake...

Uliwauliza wakakwambia Mungu anangalia roho?

Ni kweli Mungu anangalia roho, ila matokeo ya roho nzuri ndani ya mtu yenye matendo yenye kibali cha Mungu haiwezi vaa hivo.
 
Leo asubuhi niliweza kwenda kanisani kumpa kampani rafiki yangu,

Nikiwa ndani ya kanisa mojawapo maarufu hata kwa hapa duniani kuna binti aliingia kiukweli nilistushwa kwa namna ya vazi alilovaa lilivyomchora maumbile yake.
...
Mashallah Mungu ameumba walah
 
Mbona mnafanya Mambo kuwa magumu. Hapo nyuma mbona binadamu alikuwa uchi kabisa Ni kangozi tu kaliziba uchi tu hapa mbele. Mpaka Leo Kuna jamii zinatembea bila ya nguo.

Yaani Kuna jamii bado ukienda titi liko wazi na washkaji wanaona kawaida.

Yaani watu waliozaliwa 1940+ wamekuta watu takio,titi,diki wakiwa wazi na maisha yalienda.

Ila waafrika kwa kweli wazungu walitukamata pabaya mno kwenye akili,yaani Hawa waarabu na wazungu walaaniwe Leo watu wanauana wanatengana, wanachukiana kisa tu tamaduni zao hao jamaa. Wazungu Wana tamaduni ya Aina moja,waarabu, wachina, waarabu, wajapan,bwakorea sema sie waafrika our brains was cheap to be seduced by Arabs and Europeans.

Ni sawa na kumdanganya masikini aje kanisani ama kwa sangoma kuwa ndio atatoboa yaani uanwapata wengi mno. Hujiulizi why kapri point,oyster Bay,masaki nk hakuna matangazo ya waganga wa kienyeji ama haya makanisa ya kuwapa watu upako.

Afrika mie naombeni tuamke tuwe na dini yetu.


Yaani Kuna mtu anajiona fahari kuwa ama kwenda uarabuni,ulaya,kuongea lugha yao,kuvaa mavazi yao,kujiita majina yao na ilhali hao jamaa wenyewe Wana majina yao ya asili huwezi msikia mchina mhindi mjapan mkorea akiitwa Mohamed, John nk.
 
Leo asubuhi niliweza kwenda kanisani kumpa kampani rafiki yangu,

Nikiwa ndani ya kanisa mojawapo maarufu hata kwa hapa duniani kuna binti aliingia kiukweli nilistushwa kwa namna ya vazi alilovaa lilivyomchora maumbile yake...
Sema kanona
 
Usihukumu wewe hata mmoja coz kipimo upimacho na wewe utapimiwa.Sioni ajabu huyo muumini kuvaa hivyo kama alikwenda kutafuta maslahi yake yakuhusu Nini wewe .

Mbona wewe Nia Yako ya kwenda kanisani ilikuwa ni kumpa rafiki yako kampani na sio kwenda kula chakula Cha kiroho?
imeipenda hii comment
 
Baadhi ya Watanzania ni washamba sna,mentality za kijima zimetutawala tulio wengi,Ushamba,Lucky of exposure nk

Wewe alivyovaa hvyo amevunja amri ya ngapi? Amevunja kifungu gani cha sheria za kanisa?

Lengo Lako wewe ni kwenda kusali au kuangalia makalio,Nenda club,,Hiyo sio shule au jeshini,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom