hedhi

  1. M

    Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7 na Kupata Ujauzito

    Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili mimba iingie. Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote akijua yeye ni mgumba. Credit: Dr. Kala
  2. S

    Kufanana kwa hedhi ni Imani tu

    Wanawake wamekuwa wakielezwa kuwa kuishi au kukaa na wanawake kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mizunguko yao ya hedhi kufanana. Lakini wakunga wanapambana kuvunja imani hio, wakionyesha kwamba imani hizo ni za zamani na haina msingi thabiti katika sayansi. Daktari Jen Gunter, daktari wa...
  3. W

    UZUSHI Kunyanyua vyuma kunaweza kuleta dalili za mapema za kukoma hedhi

    Kukoma hedhi ni wakati ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke hukata. Ki kawaida hutokea mwanamke anapokaribia umri wa miaka hamsini. Wakati hedhi inapokaribia kukata, wanawake hupitia dalili mbalimbali kama mzunguko wa hedhi usio wa kawaida, matatizo ya kihisia na ya kimwili ambayo hawajawahi...
  4. sky soldier

    KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu? Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada. 1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
  5. Nengay

    KWELI Inawezekana kuwa kwenye siku za hatari ukiwa kwenye siku za hedhi

    Nina swali ndugu zangu hivi inawezekana siku za hatari zikaangukia katika mzunguko kuingiliana na siku za hedhi? Mfano, siku za hedhi ni tano ile siku ya 4 au 5 ikiwa siku ya hatari?🤔
  6. Papaa Mobimba

    UZUSHI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Kuna tafiti za hivi karibuni zimethibitisha kwamba hata wanaume hupata hedhi, ingawa wanaume hawana alama za nje za kuwaonesha kwamba wako kwenye hedhi, kama walivyo wanawake ambao hutoka damu siku zao za hedhi zinapofika na kukamilika. Dalili za mwanaume aliye kwenye hedhi ziko akilini...
  7. Loimata

    Msaada: Period (hedhi) inanitesa

    Habari zenu wakuu. Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi. Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini. Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata...
  8. cold water

    Sijaona hedhi yangu ya mwezi huu July, nitakuwa na mimba?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa saba nilikutana na baba watoto tarehe 4/7/2023 na tarehe 5/7/2023 Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative ila nikitumia tochi...
  9. OCC Doctors

    Hamu ya tendo la ndoa wakati wa hedhi

    Homoni ya 'Estrogen' hupungua mwanzoni mwa mzunguko wa hedhi na kisha huanza kupanda kwa kasi kwa siku ya pili au ya tatu. Hii hupelekea mwanamke kupata hisia na hamu kali ya tendo la ndoa akiwa katika siku za kukaribia kupevuka kwa yai. Ikiwa mwanamke atapata hamu na hisia ya tendo wakati...
  10. Mkulungwa01

    Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

    Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana. Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
  11. comte

    Republican kuzuia masuala ya HEDHI kuzungumzwa wazi katika jamii kwa sababu ya ufaragha wake

    As local bills on gender, sexuality and diversity make their way through Florida’s state legislature, new legislation would ban any discussion of menstrual cycles in school before sixth grade. That breaks from the advice of medical providers who recommend talking to children about puberty and...
  12. Sildenafil Citrate

    KWELI Mwanamke anaweza kupata ujauzito akiwa ananyonyesha, kabla hajaona hedhi yake ya kwanza

    Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa ukomo wa hedhi. Kwa maana rahisi, mwanamke hawezi kupata ujauzito ikiwa hapati hedhi. Hata hivyo...
  13. S

    Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

    Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi: 1. Endometriosis. 2. Uterine fibroids. 3. Adenomyosis. 4. Pelvic inflammatory disease. 5. Cervical stenosis. (Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada) Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke...
  14. OCC Doctors

    Kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa matone

    Kiasi na muda wa kutokwa na damu ya hedhi kwa ufanisi wa homoni ya ''estrogen'' kunaweza kutofautiana sana, kulingana na muda na kiasi cha homoni ya 'Estrogen'' kilichopokelewa na tabaka la ndani la mji wa uzazi (endometrium). Sababu kuu ya mwanamke kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa...
  15. Miss Zomboko

    Shirika la Bunge la Morocco lapendekeza wanawake kupewa likizo ya hedhi

    Kundi la Bunge la Morocco limependekeza mswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi yenye malipo. Katika kile ambacho kitakuwa sheria ya aina yake kwa eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika, pendekezo la kikundi cha haki za kijamii cha shirika la Bunge la Morocco...
  16. Andrew Ikingura

    SoC02 Sintofahamu juu ya hedhi na mahudhurio ya wasichana mashuleni

    Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
  17. BARD AI

    Bidhaa za taulo za kike kutolewa bure kwa Wanawake wote Scotland

    Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
  18. T

    SoC02 Bado upo umuhimu wa mtoto wa Kiume kuelimishwa kuhusu hedhi ya mtoto wa Kike

    Nini maana ya hedhi, Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147. Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
  19. biancaabdu

    Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?

    Habari Naomba kuliza, Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?
  20. T

    #COVID19 Wanasayansi: Chanjo ya Covid 19 huharibu mzunguko wa Hedhi kwa wanawake

    Wanasayansi huko nchini Marekani wamesema chanjo ya Covid 19 inaharibu mzunguko wa hedhi kwa wanawake kwa zaidi ya 55% ya wanawake wote waliochanjwa. Utafiti huo umefanywa na University of Illinois na Washington University School of Medicine umebaini kua 56% ya wanawake waliochanjwa covid 19...
Back
Top Bottom