walokole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Wasabato na walokole Kwa aina zenu. Ni kwanini ni wachungaji pekee ndio wenye mamlaka ya kubatiza tofauti na agizo la yesu?

    Injili zote ukianza na mathayo na zingine zote yesu alitoa mamlaka Kwa wanafunzi wake akisema... Mathayo 28:19-20 (KJV) Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu kuna kanisa la walokole

    Nifanyeje? Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani. Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo. Kuna shule karibu nao wanaipata Pata. Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh, walokole mnatuchosha - mnatuboa na mada zenu!

    Nyimbo za matusi na uasherati zikichezwa kwa sauti mitaani, watu wanacheka tu. :D :D Harusi zenye pombe na mabinti waliovaa nusu uchi zikifanyika kila wiki, watu wanasema "ndiyo maisha." Filamu za mapepo na uchawi 'zikipamba' TV kila siku, watu wanasema "ziongezwe." Mtu akijenga bar kila...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

    Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka? Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?

    Kama umekuwa ukijiuliza maswali kama hayo, leo ni siku yako ya kujua maana ya kuokoka na pengine ndiyo siku yako na wewe ya kuokoka. Kuokoka ni neno tu la kawaida la Kiswahili lenye maana ya kusalimika au kunusurika kutoka katika janga, maafa makubwa au hatari yoyote inayokuijia. Mfano mzuri ni...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Yajue maajabu 20 ya maisha ya "walokole"

    Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:” Hawalogeki. Wachawi...
  7. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Walokole

    P.O.Box ..... Kwa ustaarabu nasema walokole mnatufedhehesha sisi WAKRISTO. Inakuwaje mtu unaanza kuropoka kwenye bus halafu unalazimisha watu wakupe pesa la si hivyo basi halitofika salama? WALOKOLE ACHENI UTAPELI.... Nimefurusha tapeli mwenzenu mmoja, Ile ameanza tu kujifanya anaomba...
  8. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
  9. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

    Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga. Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka. Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Walokole siasa kali wanamuona Joel Lwaga hana tofauti na Diamond

    Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200. Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk. Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Walikuja walokole kutaka kuniombea eti niwe tajiri

    Jana wakati nipo nimekaa wakaja walokole 5 na mgeni 1. Wakaniuliza nina matatizo gani? Yaani changamoto gani ktk maisha inanisumbua. Nikawaambia sina pesa . Jamaa wakaniambia nifumbe macho tuanze kuomba kwa jina la Yesu nitakuwa tajiri. Nikiwatizama wenyewe wamevaa yebo yebu , mguu kuku mguu...
  12. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hapana Uchawi kwa Walokole kindakindaki. Haina haja ya ndumba

    Hapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi, kuvunjiwa nazi mlangoni, kuchinjiwa ndege sijui vyote hivi haviwapati kamwe.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Walokole kwanini wako hivi?

    Habari. Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka. Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au ulokole. Mungu anisamehe maana now natimiza mwaka sijui mlango wa kanisa yalinisubu ni mengi ila...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Uislam umegawanyika kama Ukristo, Wapo walokole wa kiislamu!

    Dini ya Uislamu ina madhehebu kadhaa makuu, ikiwa ni pamoja na Sunni, Shia, na madhehebu mengine madogo. Kila dhehebu lina imani na mafundisho yake maalum ambayo wafuasi wake wanaamini kuwa ni sahihi. Madhehebu Makuu ya Uislamu: Sunni: Hili ni dhehebu kubwa zaidi katika Uislamu, likiwa na...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

    My Take Wale mliooa walokole njooni mtoe uzoefu wenu Kwa Vijana 👇👇
  16. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Walokole hapa ndipo tunapokwama!

    Hatujasema maombi sio muhimu! Maombi ni ya kiroho! Lakini roho iko ndani ya mwili! Na mwili una mahitaji yake kama chakula, mavazi, na malazi! Ebu tuwe na busara!
  17. Girland

    JamiiForums Tanzania Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

    Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ndio ishara ya kumpenda Yesu

    Ujumbe wenu leo
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

    Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu? Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada. 1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
Back
Top Bottom