Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali jumamosi na wanaosali jumapili. Wapo wanao amni utakatifu duniani na wapo wanao amni utakatifu ni mpaka ufe, na uombewe ili uwe mtajkatifu.

Ipo hivi: ‘Divinity’ ni dini, Islam is included in divinity. Sasa unapo singleout kuweka tahasusi yenye Kiislam wakati dini zote zingine unazirundika kwenye divinity inaleta maswali mengi. Lutheran, Anglican, Catholic nk nao wakitaka kuwe na Tahasusi yao, utawapa?In a nutshell, kuweka combination ya Islam wakati kuna divinity it doesn’t make sense.

Islam, Catholic, Lutheran, Bible etc were taught under divinity.Tatizo la watu wetu wanafanya mambo kwa kumfurahisha boss, hawatumii merit kufanya maamuzi na mipango ya nchi. Mbona sioni tahasusi za Catholic, Anglican, Lutheran nk?Watu wamekaa kwenye wizara na vikao wanaona Rais ni Muislam wanaamua kumfurahisha kwa kumpa tasusi za Kiislam. Unfortunately. Sawa na kipindi cha Jiwe hadi wakamjengea mbuga za wanayama na uwanja wa ndege Chato. Futeni hii kitu, sio sahihi na ipo kinyume cha katiba ya nchi.
 
🔹 Zumaridi naye ana Imani yake na ana wafuasi wanaosoma

🔹Mwamposa naye ana Imani yake na ana wanafunzi. Wanaosoma

🔹 Wahindi Wana Imani Yao nao Wana wanafunzi wanaosoma
 
Divinity mnasoma bible
Islamic unasoma quran

Hatusomi madhehebu
Nadhani labda kutakua na mabadiliko kwenye mtaala.

Sijawa na hakika sana kwanini serikali ingependa baadhi ya wanafunzi wasome Quran na Biblia kama somo. Sijaju lengo hasa ni Nini.

Divinity na Islamic Knowledge zilikua zinafundishwa na mimi nilisoma kama somo la ziada sio kwenye tahasusi.

Ni dini na Imani inafunfishwa kwasababu huwezi kufundisha Quran na ukawa hufundishi uislam na huwezi kuwa unafundisha Biblia na usiwe unafundisha ukristo.
 
Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali jumamosi na wanaosali jumapili. Wapo wanao amni utakatifu duniani na wapo wanao amni utakatifu ni mpaka ufe, na uombewe ili uwe mtajkatifu.

Ipo hivi: ‘Divinity’ ni dini, Islam is included in divinity. Sasa unapo singleout kuweka tahasusi yenye Kiislam wakati dini zote zingine unazirundika kwenye divinity inaleta maswali mengi. Lutheran, Anglican, Catholic nk nao wakitaka kuwe na Tahasusi yao, utawapa?In a nutshell, kuweka combination ya Islam wakati kuna divinity it doesn’t make sense.

Islam, Catholic, Lutheran, Bible etc were taught under divinity.Tatizo la watu wetu wanafanya mambo kwa kumfurahisha boss, hawatumii merit kufanya maamuzi na mipango ya nchi. Mbona sioni tahasusi za Catholic, Anglican, Lutheran nk?Watu wamekaa kwenye wizara na vikao wanaona Rais ni Muislam wanaamua kumfurahisha kwa kumpa tasusi za Kiislam. Unfortunately. Sawa na kipindi cha Jiwe hadi wakamjengea mbuga za wanayama na uwanja wa ndege Chato. Futeni hii kitu, sio sahihi na ipo kinyume cha katiba ya nchi.
Kwa wakati huu hatutumii katiba, tupo likizo.
 
Pia kwenye uislam kuna madh- heb,

Kuna sunni, shiyya, ibadh, qadiria.

Wote wanaitwa waislam.

Kinachosomwa ni dini sio dhehebu, mbona akili yako imelala sana kama ya mtoto.
 
Nadhani labda kutakua na mabadiliko kwenye mtaala.

Sijawa na hakika sana kwanini serikali ingependa baadhi ya wanafunzi wasome Quran na Biblia kama somo. Sijaju lengo hasa ni Nini.

Divinity na Islamic Knowledge zilikua zinafundishwa na mimi nilisoma kama somo la ziada sio kwenye tahasusi.

Ni dini na Imani inafunfishwa kwasababu huwezi kufundisha Quran na ukawa hufundishi uislam na huwezi kuwa unafundisha Biblia na usiwe unafundisha ukristo.
Ongezeko la kina mwamposa wengi, linafanya serikali ianze kufundisha watu dini waelewe wasipigwe na vitu vizito
 
Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali jumamosi na wanaosali jumapili. Wapo wanao amni utakatifu duniani na wapo wanao amni utakatifu ni mpaka ufe, na uombewe ili uwe mtajkatifu.

Ipo hivi: ‘Divinity’ ni dini, Islam is included in divinity. Sasa unapo singleout kuweka tahasusi yenye Kiislam wakati dini zote zingine unazirundika kwenye divinity inaleta maswali mengi. Lutheran, Anglican, Catholic nk nao wakitaka kuwe na Tahasusi yao, utawapa?In a nutshell, kuweka combination ya Islam wakati kuna divinity it doesn’t make sense.

Islam, Catholic, Lutheran, Bible etc were taught under divinity.Tatizo la watu wetu wanafanya mambo kwa kumfurahisha boss, hawatumii merit kufanya maamuzi na mipango ya nchi. Mbona sioni tahasusi za Catholic, Anglican, Lutheran nk?Watu wamekaa kwenye wizara na vikao wanaona Rais ni Muislam wanaamua kumfurahisha kwa kumpa tasusi za Kiislam. Unfortunately. Sawa na kipindi cha Jiwe hadi wakamjengea mbuga za wanayama na uwanja wa ndege Chato. Futeni hii kitu, sio sahihi na ipo kinyume cha katiba ya nchi.
Umechanganya ma file. Divinity kwa high school na Bible Knowledge kwa o level like wise Islamic knowledge kwa o level in swahili(Edk) elimu ya dini ya Kiislam) na Islamic knowledge kwa English

Hakukuwa na somo la wasabato... you guys you misleading us
 
Pia kwenye uislam kuna madh- heb,

Kuna sunni, shiyya, ibadh, qadiria.

Wote wanaitwa waislam.

Kinachosomwa ni dini sio dhehebu, mbona akili yako imelala sana kama ya mtoto.
Tufafanulie kidogo, hiyo dini moja ndani yake kuna madhehebu kadhaa na yana mafundisho tofauti tena kwamujibu wa biblia.

Unaitenganisha vipi dini na madhehebu?
 
Screenshot_20240324_220802_Chrome.jpg
 
Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali jumamosi na wanaosali jumapili. Wapo wanao amni utakatifu duniani na wapo wanao amni utakatifu ni mpaka ufe, na uombewe ili uwe mtajkatifu.

Ipo hivi: ‘Divinity’ ni dini, Islam is included in divinity. Sasa unapo singleout kuweka tahasusi yenye Kiislam wakati dini zote zingine unazirundika kwenye divinity inaleta maswali mengi. Lutheran, Anglican, Catholic nk nao wakitaka kuwe na Tahasusi yao, utawapa?In a nutshell, kuweka combination ya Islam wakati kuna divinity it doesn’t make sense.

Islam, Catholic, Lutheran, Bible etc were taught under divinity.Tatizo la watu wetu wanafanya mambo kwa kumfurahisha boss, hawatumii merit kufanya maamuzi na mipango ya nchi. Mbona sioni tahasusi za Catholic, Anglican, Lutheran nk?Watu wamekaa kwenye wizara na vikao wanaona Rais ni Muislam wanaamua kumfurahisha kwa kumpa tasusi za Kiislam. Unfortunately. Sawa na kipindi cha Jiwe hadi wakamjengea mbuga za wanayama na uwanja wa ndege Chato. Futeni hii kitu, sio sahihi na ipo kinyume cha katiba ya nchi.
Hao mambwa walioleta hii vurugu ni maiti kabisa, kipimo cha huyu mwanamke ni mambo kama haya ameweka akili matope kwenye wizara ya tamisemi, najiuliza hivi Mkenda amebariki utumbo huu au waislam wameuteka serikali yote?
 
Back
Top Bottom