wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. S

  Wahuni Mungu hutubariki na wachumba wazuri ila sisi ndo tunazingua

  Wazee kwema! Kuna shemeji/wifi yenu ukiachana na huyo bikra anayebana kutoa uroda ila yeye anataka kuhudumiwa. Huyu mchumba bhana anamalizia chuo mwaka huu nafikiri mwezi wa 8 au wa 7. Huyu mtoto ananipenda na mimi nampenda ila sijawa tayari kwa kuoa. Mtoto ni kind, honest pia ni loyal sana...
 2. Pdidy

  Yule Jaji aliyetajwa kusapoti wahuni wanaoiba ardhi za watu bado yuko kazini?

  Naomba kujua kilichotokea baada ya Mheshimiwa Waziri wetu mpendwa wa Ardhi Jerry Silaa kusema kuna jaji anayeunga mkono wahuni kushinda kesi wanapoiba ardhi za watu. Je, mpaka sasa Tume ya Maadili mmemwita huyu mtu? Je, mpaka sasa bado yuko kazini na hamuoni madhara makubwa kama ataendelea na...
 3. Pdidy

  Kampuni za mikopo ya mtandaoni zinatoa wapi namba zetu kwa sisi ambao hatujawahi kukopa?

  Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty. Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa. Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba...
 4. Tate Mkuu

  Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

  Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
 5. T

  Mwendesha mashtaka wa ICC: Niliambiwa hii Mahakama ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kama Putin.

  Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimatiafa Bwana Khan kwenye kipindi cha CNN anasena alionywa mwanzoni kabisa kwamba mahakama ya ICC ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kina Putin. Hivyo mahakama ya ICC hairuhusiwi kuwashtaki watu wa ulaya. Msikilize hapa...
 6. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

  Hongera Ally Hapi kwenda kata ya Loya- uyui, lakini wahuni walikuzidi mbinu!

  Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana! Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni nyingi kuliko ulivyoambiwa eti mambo ni safi Samiah hadaiwi! Samiah ataachaje kudaiwa wakati zahanati...
 7. 1

  Wale wale wahuni waliopo nje ya mfumo wa Simba wanampandisha mabega Kibu ili wale 10%

  Lile kundi la wahuni ambalo liko nje ya mfumo ndani ya klabu ya mnyama ambalo limesababisha uongozi ushindwe kufikia malengo kwa kuharibu mipango na mikakati yote ya uongozi wa Simba limeanza usanii, utapeli, hadaa na wizi waziwazi. Wao ndio walimleta Kibu ndani ya Simba na kwa vile Kibu...
 8. Burkinabe

  Siku hizi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanateta Serikali na kuweka pembeni maslahi ya Wafanyakazi

  Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
 9. Nyankurungu2020

  Wahuni wa CCM wana nguvu kuliko nguvu ya umma? Mbona kama wao ndio wanaamua mustakari wetu?

  Ziara za makonda alipokuwa bado ni mwenezi wa CCM ziliibua mambo mengi. Kero na uonevu wa kila namna. Ambao kimsingi ni aibu kwa serikali tawala ya rais Samia. Rais Samia mwenyewe akatoa tamko kuwa sababu kuna uonevu na madudu mengi dhidi ya Wanannchi basi atakuwa akisikikiza kero za kila...
 10. chiembe

  Padri Silvio Mnyifuna, ataka 2025 Samia aendelee ili wahuni wasipate nafasi

  Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia, sasa kishindo cha Samia kimefika katika kanisa katoliki. Watumishi wa Mungu ni moja kati ya watu...
 11. S

  Wasenegal wameikabidhi nchi kwa vijana Faye na Sonko. Wacha tuone kama wamebutua au wameupiga mwingi

  Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye. Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi. Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia CCM. Sasa...
 12. Bujibuji Simba Nyamaume

  Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

  Huyu jamaa Kwa kutambua kwamba nchi Sasa Ina mbululaz wengi wanaojipendekeza Kwa watu maarufu huku wakijiita machawa akaanzisha kundi la kukimbia mchakamchaka barabarani. Mazoezi ni muhimu Kwa afya ya mwili na akili, lakini yasifanywe kihuni, yafanywe mahali sahihi na salama Kwa wafanya mazoezi...
 13. Mbogo_beichee

  Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

  Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana. Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi. Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi...
 14. Msanii

  Wahuni huuliza Katiba itakuletea maji, umeme na barabara?

  Hawana tofauti na wafuasi wa shetani ambao wanapotosha Neno la Mungu kwa maslahi yao binafsi. Tunataka KATIBA mpya na siyo hisani za rais
 15. C

  Yanga ni kikundi cha wahuni

  Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
 16. M

  Kwa hali hii atagombea tena 2025?

  Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti. Je, atagombea tena 2025?
 17. Poppy Hatonn

  Viongozi wa serikali wanatukanana kama wahuni wa Kariakoo

  Labda ipo njia ya kistaarabu zaidi ya kuandika haya mambo. Tunashangazwa wote nadhani katika haya maneno yanayosemwa kati ya Katibu Mwenezi Makonda na Waziri Bashe. Na pia wapo wengine. Haya ni mambo mabaya. Kama Mbunge Gwajima alivyokuwa anasema jana kwamba mtoto wa tajiri wa Unguja alitoweka...
 18. Robert Heriel Mtibeli

  Mambo ya kuzingatia utapoamua kujiunga na Wahuni au genge la Wanywa Damu za Watu

  MAMBO YA KUZINGATIA UTAKAPOAMUA KUJIUNGA NA WAHUNI ÀU GENGE LA WANYWA DAMU ZA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sasa umekua Mkubwa. Ni kama maisha huyaelewi hivi. Umejaribu kufuata sheria na formula ulizopewa na wazazi au walezi wako lakini umeona hazifanyi kazi yaani ni useless kama sio...
 19. G

  Unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali?

  Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza kutokana na ugumu wa maisha. Ajira za kujuana hata kama una vigezo hupati. Mfano kuna jamaa baba...
Back
Top Bottom