Hivi albadil inafanyaje kazi?

Hivi albadil inafanyaje kazi?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,989
Reaction score
22,062
Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko.

Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama anavyoamini Pascal Mayalla Na Mshana Jr.

WEMA USIO MIPAKA, WEMA USIO KIFANI.
 
Ilikuwa ni vita vya Badr (jisomee)
Enzi za Mtume SAW na wapiganaji wengi waliokuwa nae kwenye vita walikuwa wanasoma Dua hiyo kwa kumuomba Mungu sana
Haihusiani lolote na uchawi wala kumroga mtu, waswahili ndio wamebadili na kuwa mengine
Hao ni washirikina kama washirikina wengine tu
 
Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko.

Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama anavyoamini Pascal Mayalla Na Mshana Jr.

WEMA USIO MIPAKA, WEMA USIO KIFANI.
ACHANA NA ALBADIL NDUGU YANGU NI JAMBO AMBALO HALIMPENDEZI MUUMBA.
 
Ilikuwa ni vita vya Badr (jisomee)
Enzi za Mtume SAW na wanapiganaji wengi na waliokuwa nae kwenye vita walikuwa wanasoma Dua hiyo kwa kumuomba Mungu sana
Haihusiani lolote na uchawi wala kumroga mtu, waswahili ndio wamebadili na kuwa mengine
Hao ni washirikina kama washirikina wengine tu
Kwahiyo mungu amekubaliana nao na namna walivyo ibadilisha hiyo dua?
 
Back
Top Bottom