Wasaalam ndugu zangu wa Jf mhali Gani wakuu, ni Mimi kijana, mtoto wenu natafuta kazi ya kufanya iwe yoyote Ile halali ellimu yangu stardard 7 nipo ujuzi wowote unatakiwa kama kuongea vizuri, na kazi yoyote Ile ya kufanya
Mfano usafi, kufyweka kupalilia majani kuangalia mji na ofisi makazini...