(Temporary post)
Kwa wakazi wa Dar.
Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe.
Wamefukuzwa katika nyumba waliyokuwa wamepanga Kwa sasa meomba hifadhi ya kuishi kwa muda kwa rafiki yake wakati...
Habari wakuu bila shaka humu Kuna watu wa Aina mbalimbali naomba tumsaidie huyu dada anatafuta kazi!! Alikuwa anafanya kazi Suma JKT kutokana na matatizo ya nyumbani kwao mwanza aliacha! Kwa sasa anatafuta kazi yoyote ilimradi yenye kuheshimu utu wa mtu!
Kama upo serious kumsaidia huyu dada...
Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
Natengeneza id card za plastic kwa ajili ya matumizi mbali mbali
1. Id card
2. Visitors card
3. Coupon
4. Business canrd
5. Wedding card
Karibuni tupo kariakoo 0717470234
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
our value is speed and acuracy
Ibenge ni Coach wa hadhi ya juu barani Africa alifanya makubwa akiwa na As Vita akaenda Al Hilal akacheza semi final ya CAFCL
Kwa CV ya Ibenge haikufaa kuja kufundisha Azam
Leo yupo Azam kujimaliza, timu haina uelekeo
Leo Azam wamenikera mno
Naheshimu maamzi yake labda alifata fedha
List of Professions
Doctor
Nurse
Pharmacist
Dentist
Teacher
Professor
Lawyer
Accountant
Engineer
Architect
Software developer
Data scientist
Graphic designer
Journalist
Writer
Photographer
Pilot
Air traffic controller
Police officer
Firefighter
Soldier
Electrician
Plumber
Carpenter
Mechanic...
Kuwa na mali si hoja issue ni mali amezipataje? Kuwa na mahusiano na wafanyabisashara si hoja, issue ni wafanyabiashara wa namna gani.
Hii ni critical moment tunapigania uhai na uhuru wa Lisu, lipandikizi linaleta mvurugano. Fukuza hili CCM au lifuasi la Mbowe.
@)@$ heche hakuna makamu...
Habari, naomba nianze kwa kuomba radhi kwa usumbufu. Ningependa kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye uhusiano wa kikazi au mtandao unaoweza kunisaidia. Naomba msaada wenu, wakuu. Nina miaka 23, na nina elimu ya chuo kikuu
"Kwa Sasa kuna muda naamka asubuhi nime vimba kichwa, mara naamka upande mmoja wa mwili wangu hauna nguvu, nimeenda hospital dakitari kaniambia nina dalili zote za Kupalalaiz Kuna mishipa haifanyi kazi, namuwaza sana mwanangu nitamuachaje.
Lakini watu hawajali napitia nini wananihukumu tu Kila...
Toka amekuja tuliamini ni international striker ambaye atatoa quality ambayo huwezi kuipata Kwa local players matokeo yake imekua ni tofauti
Kapewa muda,katiwa moyo na mashabiki alipelekewa mpaka kuku + mabango ya kwamba tuko pamoja lakini wapi goli ambalo katengenezewa leo kakosa ambalo...
Kama huna connection lazima ubebeshwe vyombo na wale wahuni wanaoweka matangazo ya kazi kwenye nguzo za umeme.
Hivi umewahi kujiuliza mwonja chakula cha Rais kasomea kozi gani na ana elimu gani?
Kama huna connection subiri matangazo ya kazi ya SEKRETERIETI YA AJIRA, na hicho Kiingereza chako...
Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Nchi hii ina wasomi wengi sasa.
Zamani ukiwa Daktari au Daktari bingwa unaweza kuchagua uajiriwe na taasisi gani na unaweza kuwaringia kuwa kazi utaanza muda unaoutaka wewe.
Nakumbuka zamani ukiwa na degree ya afya ukiingia tu JWTZ moja kwa moja unaenda kwenye kozi ya uafisa Monduli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.