asimamishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanafunzi India 🇮🇳, Polisi asimamishwa kazi kwa kufyatua risasi hewani.

    https://youtube.com/shorts/jof90QKuFB0?si=hclAlCCqaPicJ6CD
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Chadema Morogoro asimamishwa uongozi

    Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kanda ya Kati Inadaiwa Katibu huyo huku akijua utaratibu wa CHAMA chake ameamua kuvunja Sheria makusudi na kujiropokea uongo Natoa Onyo kwa Mamluki wengine waliohongwa Kwamba, wakiendelea n.a. Usaliti wao tutaendelea kuwafyeka kwenye CHAMA bila huruma yoyote...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taharuki Mpimbwe: Katibu wa Hospitali Asimamishwa Baada ya Kuibua Maswali ya upigaji wa Fedha

    Katibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe amesimamishwa kazi na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe baada ya kuhoji masuala yanayohusu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya pamoja na matumizi ya fedha za ujenzi wa njia za watembea kwa miguu (walkway) katika hospitali ya wilaya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi

    Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za haraka za kumsimamisha kazi mtumishi huyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo. Aidha Tunawahimiza...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola kukosa mechi mbili

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola hataruhusiwa kuwa kwenye benchi la ufundi katika mechi dhidi ya Chelsea FC na West Ham United FC baada ya kupata kadi sita za njano. Hata hivyo, Guardiola anatarajiwa kurudi kwenye benchi kwa ajili ya fainali ya EFL Cup Final (Carabao Cup) dhidi ya Arsenal...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea CHADEMA? Charles Odero asimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili

    Katibu wa Kamati ya Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kanda ya Kaskazini, Charles Odero amesimamishwa na chama hicho ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Taarifa ya kusimamishwa kwa Odero imetolewa jana, Julai 30, 2025 na katibu wa CHADEMA Kanda...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Thailand Paetongtarn Shinawatra asimamishwa kazi Kufuatia kuvuja kwa mazungumzo ya simu na Hun Sen kiongozi wa Cambodia

    Mahakama ya Katiba ya Thailand imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Paetongtarn Shinawatra, ambaye anakabiliwa na shinikizo kubwa la kujiuzulu baada ya tukio la kuvujishwa kwa mazungumzo yake ya simu na kiongozi wa zamani wa Cambodia, Hun Sen Klipu hiyo, ambayo Paetongtarn alimwita "mjomba" na...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Polisi asimamishwa kazi kwa kumshambulia mtuhumiwa uwanja wa ndege

    Polisi ameonekana akimshambulia "mshukiwa" katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza. Baada ya video ya hilo tukio kusambaa mitandaoni; 1. Kulisababisha "wananzengo" wa Manchester kuandamana hadi kituo cha Polisi kuonesha hasira zao (ila hawakufanya fujo) 2. Kuliwaibua wabunge...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Meneja wa MORUWASA asimamishwa kazi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya...
  10. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM asimamishwa kazi.

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, imemsimamisha kazi Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bw.Jonathan Agustino Madete ,kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu. Maamuzi ya Kikao hicho yametolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi, mkoa wa...
  11. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi. Alitoa kauli kuyapinga maandamano ya CHADEMA

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mganga Mfawidhi asimamishwa kazi kwa kuwaambia Wagonjwa yeye ana Roho Mbaya kuliko wanavyofikiri

    https://www.instagram.com/reel/C1rIUPsi23K/?igsh=ZWI2YzEzYmMxYg%3D%3D Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Abeid Abeid Kafunda, amemsimamisha kazi Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mkwajuni Isabella Renatus kutokana na madai ya kutokuwa na kauli nzuri kwa Wagonjwa huku akijisifu kuwa ana...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake

    Mwalimu Japhet Maganga ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) amesimamishwa kazi na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Ikumbukwe kuwa mwalimu huyu ana tuhuma nyingi zinazomkabili kwenye Chama cha Walimu Tanzania. Sehemu ya barua hiyo imesema ''Mkurugenzi wa Halmashauri ya...
  14. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania DED Uvinza asimamishwa kazi na Waziri Mkuu kwa kuchelewesha miradi ya Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza mkoani Kigoma, Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo Majid Mabanga ili kupisha uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU), kwa madai ya kuchelewesha utekelezaji wa miradi...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano asimamishwa kazi kwa Kujikopesha Tsh. Milioni 460

    Siku moja baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) kutoa taarifa ya kumsimamisha Kazi Ezra Chiloba, imebainika sababu ni ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 11.2, ambazo ni Fedha za Akiba za Mradi wa Nyumba za Wafanyakazi. Ripoti ya Kamati Maalum ya Ukaguzi na Kamati ya Dharura...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mpira asimamishwa kwa kumpatia ujauzito mchezaji

    Mkurugenzi Mtendaji wa Fountain Gate Academy, Japhet Makau ametolea ufafanuzi kuhusiana na tuhuma zilizotolewa kuhusiana na aliyekuwa Mchezaji wa Fountain Gate Princess, Peris Oside Raia wa Kenya kuwa amepewa ujauzito na mmoja kati ya Viongozi wa Timu hiyo. Makau amesema Mchezaji huyo...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Paul Pogba asimamishwa kucheza kwa kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli

    Kiungo wa timu ya Juventus, Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 30, amesimamishwa kucheza kandanda kwa muda baada ya kukutwa na kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli. Uamuzi huo umechukuliwa na Mahakama ya Kitaifa ya Italia yenye dhima ya kupambana na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma za kunyanyasa Wanafunzi Kingono

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam imemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za kuwanyanyasa wanafunzi kingono. Hatua hiyo imekuja siku nne tangu Mwananchi imeripoti tuhuma hizo zinazodaiwa kufanywa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu amtengua Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kukiuka maagizo ya Mkutano Mkuu wa BAKWATA

    Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuber Bin Ally amemsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Simiyu, Mahamoud Salum Kalokola kutokana na kukiuka maamuzi halali na maagizo ya mkutano Mkuu ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Mkoa uliofanyika Juni 10, 2023. Baada ya maamuzi hayo Khadhi wa Mkoa wa Simiyu, Issa...
  20. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Video: Aweka Rekodi mpya ya Riadha, Afisa asimamishwa kazi

    Somalia imemsimamisha kazi afisa wa ngazi ya juu wa riadha baada ya mmoja wa wanariadha wake kuweka rekodi mpya ya mbio za mita 100 - ambayo ni ya polepole zaidi kuwahi kutokea katika mashindano ya kimataifa. Mwanariadha huyo Nasra Ali Abukar, alikimbia na alivuka mstari wa kumaliza kwa sekunde...
Back
Top Bottom