mtuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi mtuhumiwa wa uhaini, yoyote yule duniani alie korokoroni, anaweza kua anatafakari au kuwaza nini hasa kabla ya siku yake ya hukumu?

    Au atakua anajutia kilichomfikisha hapo alipo sasa, na kujutia kushindwa kutimiza ndoto zake za kisiasa kidemokrasia lakini pia kimapinduzi? Au anaweza kua amekata tamaa kabisa ya maisha na anajiskia changanyikiwa? Najaribu kuwaza kisiasa tu, na ninatamani kuona maoni yako kwenye hili...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Eti kuna mtuhumiwa anajaribu kuukana ukweli huu ambao ni wake mwenyewe

    hivi anatuanaje kwanza? Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70? Halafu eti ng'we ng'wee ng'wee uachwe tu? who are you among others? You beter watch your back, sheria na katiba ya nchi...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hali ya kizimbani siku ya hukumu ya kesi ya uhaini, ikawa kama ya huyu muungwana kwenye video.

    Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana. Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania.
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Waziri Gwajima aingilia hoja ya Mdau aliyedai mtuhumiwa aliyemfanyia ukatili mtoto anatamba mtaani

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya kuchapishwa kwa hoja ya Mdau aliyeelezea tukio la mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kufanyiwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je Kumsimamisha Mtuhumiwa Kwa Muda Mrefu wakati Waendesha Mashtaka wanabadilishana na kukaa

    There is no fixed legal time limit for how long an accused person must continuously stand in the dock during a court session, but standard practice dictates that a defendant should not be forced to stand for unreasonably long periods that cause physical distress or compromise a fair hearing...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wana Muharakisha Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi Bila kutoa Uamuzi wa Mashahidi Muhimu

    Baada ya mtuhumiwa kuanza kutoa ushahidi , wake inaonekana Waendesha Mashtaka na Meza Kuu Wana tashwishwi ya Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi wake , mapema kadiri inavyo wezekana bila kuzungumzia Ushahidi muhimu ya Baraza la Ulinzi na Usalama wa Njia, kama Aliyekuwa Makamu wa Raisi na wengineo
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

    Je, ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa? Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia, anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

    Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia. Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Kila mtuhumiwa wa uhalifu akiwa anataka Rais awe Shahidi wake tutaweza kutekeleza??

    Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Maduhu: Sheria za Tanzania hazimruhusu afisa wa polisi kumuadhibu au kumtesa Mtuhumiwa

    Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Agosti 17, 2026, Wakili William Maduhu, amesema Sheria za Tanzania, za kitaifa na kimataifa zinaweka zuio na marufuku kwa afisa wa polisi kutaka kupata ukweli au kutaka kumshinikiza mtuhumiwa akiri kosa kwa kupitia njia ya kumuadhibu au kumtesa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kudharau amri ya mahakama ni kosa dogo ambalo mtuhumiwa hapaswi kuhojiwa polisi. Kosa likifanyaki hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kuadhibiwa

    Utamhoji vipi mtu polisi kwa kosa kama hili ambalo kiuhalisia hufanyika kwenye viunga vya mahakama mbele ya jaji au hakimu. Hata kama ni nje ya mahakama Jaji au hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kisha kuhukumiwa.
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IGP Douglas Kanja aagiza kusimamishwa kwa Maafisa wa Polisi watakao kuwa kazini wakati Mtuhumiwa akifariki kizuizini

    Inspekta Jenerali wa Polisi Kenya, Douglas Kanja, ameagiza maofisa watatu waliokuwa kazini wakati mtuhumiwa anapofariki akiwa kizuizini kusimamishwa mara moja (interdiction) ili kuruhusu uchunguzi kufanyika. Maofisa hao ni anayerekodi taarifa katika Occurrence Book (OB), askari wa seli (cell...
  16. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa ulawiti ni sahihi kupewa adhabu ya viboko 7?

    Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa sheria na ustawi wa jamii kuhusu uhalali wa adhabu hiyo kwa mtoto...
  17. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtuhumiwa kutoroka kituo cha polisi?

    Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mpimbwe, Katavi: Inakuwaje DMO anayechunguzwa kwa ufisadi na matumizi mabaya ya nafasi, anahamishwa kimyakimya?

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali. TAKUKURU wilaya walikuwa tayari wameanza uchunguzi kuhusu tuhuma hizo, lakini cha kushangaza mtuhumiwa amehamishwa kabla...
  19. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa hakutakiwa kujibu chochote kwakua mahakama hii haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo.

    Naomba kujuzwa ,kwanini kesi ipelekwe kwenye mahakama ambayo haina uwezo wa kusikiliza kesi husika ? Au utaratibu na protocol za kisheria ndio unataka hivyo. Naombeni wataalamu nisaidie majibu.
  20. U

    JamiiForums Tanzania Trump amtoa hadharani mtuhumiwa wa kupiga risasi ikulu ya Marekani

    Anaitwa Cole Allen ni Mwalimu na Dini yake MKIRISTO . 10 minutes ago White House dinner shooting suspect was California teacher - CBS News The man who opened fire outside the White House Correspondents' Dinner in Washington, where US President Donald Trump was attending, was identified as a...
Back
Top Bottom