kazi yoyote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  3. Agent Smith

    JamiiForums Tanzania Mwenye fursa au information ya kazi yoyote msaada wako unahitajika

    Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika. Kuuza duka, storekeeper, kufanya kazi godown, kazi inayohusu taaluma niliyosemea procurement and logistic management, saidia...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kazi yoyote nafanya

    Habari za humu ndugu zangu,Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mmekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote mradi nijipatie kipato ,japo nmesomea ualimu Nina degree ya kufundisha biology Hiyo siyo case naombeni kazi yoyote Ile iwe ni site au kokote unakoona unaweza nisaidia maji yamenifika shingoni wakuu...
  5. bless on

    JamiiForums Tanzania Hautakiwi kulipua Kazi Yoyote Maishani Mwako

    Zamani kidogo, kulikuwa na fundi ujenzi mzee aliyekuwa na ujuzi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa miaka zaidi ya 30, alijenga nyumba nyingi nzuri na za kifahari kwa moyo wake wote. Siku moja, akiwa amechoka na umri umekwenda, alimfuata bosi wake na kumwambia: "Bosi, umri umenitupa mkono...
  6. Mributz

    JamiiForums Tanzania Kijana anatafuta kazi yoyote ile

    Anaitwa mohammed Anaishi mbagala mbande Anatafuta kazi ya aina yoyote ile yupo tiyali Kwa jinsi alivyonielezea shida zake nkaona vyema kumleta hapa jamvini Namba ya 0693 166 490
  7. Holota

    JamiiForums Tanzania Maisha yamebana wakuu, natafuta kazi yoyote ya halali

    Habari wakuu, Naomba msaada wa connection ya kazi yoyote halali, hasa kwenye viwanda, maghala, site za miradi au sehemu yoyote yenye uhitaji wa wafanyakazi. Nina Degree ya Finance lakini imekuwa ngumu kupata nafasi ya kazi ya fani yangu, hivyo kwa sasa niko tayari kufanya kazi yoyote ya halali...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Naomba KAZI yoyote

    Nina miaka 25 Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii. Mahali ni Dar es salaam Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu. Ya kutumia nguvu akili nk Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza. Ahsante sana
  9. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Nipeni kazi yoyote nipo kahama 0715670870

    Nipeni kazi yoyote ya kufanya nipo kahama, Manzese 0715670870 Nitakufa na njaa.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Iringa

    Natafuta kazi yoyote halali nipo IRINGA,nina miaka 26. Mawasiliano yangu 0740189881
  11. G

    JamiiForums Tanzania Natafta kazi yoyote

    Habari ndugu natafta kazi yoyote niko dodoma umri (25) kijana mawasiliano yangu 0777638200 Ntashukuru nikipata .niko tayar wakati wowote unaofaa
  12. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi yoyote Mtwara

    Habari zenu wakuu, Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya nilichosomea zote napokea, nina umri wa miaka 29 na elimu yangu ni DIPLOMA IN INFORMATION...
  13. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote Mbeya

    Natafuta kazi yoyote Mbeya kama kuuza duka, stationary na kazi zingine 0756704145 Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
  14. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo wilaya ya kahama mjini

    Mimi ni kijana wa miaka 22 ,natokea wilayani kahama , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya kwa anaye hitaji mfanyakazi au connection ya kazi mimi nipo tayari kufanya , namba zangu ni 0715308721
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  16. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote nipo kahama

    Habari wana jf , mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nipo kahama mjini elimu yangu ni kidato cha nne , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya . namba yangu ni 0715308721
  17. B

    JamiiForums Tanzania KAZI YOYOTE YA IT ITANIFAA

    Wakuu, mnaendeleaje humu? Naamini Mungu anaendelea kuwapigania. Kuhusiana na mada tajwa hapo juu, natafuta kazi katika sekta ya IT. Nina ujuzi katika Linux Server Administration, Database Administration, Computer Networking, na misingi ya Usalama wa Mfumo (System Security Basics). Ikiwa kuna...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  19. Gweny

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
  20. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Naitwa Jerald, nina miaka 26. Nipo Dar es salaam, natokea mkoa wa Mwanza. Natafuta kazi yoyote halali iwe ulinzi, dukani au usafi. Nina elimu ya kidato cha sita.
Back
Top Bottom