mchapakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ed Kawiche

    Anatafuta kazi ama shughuli yoyote, inayohitaji vyeti ama isiyohitaji vyeti.

    Habari wakuu. Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa. Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.) Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi...
  2. wanzzuki

    Kwani utajiri unamfuata mtu mwenye bahati au mchapakazi?

    Habari zenu wakubwa, Naomba kuuliza hivi mpaka mtu anafanikiwa kwenye biashara zake na kuwa tajiri mkubwa kama akina Mo, Bakresa huwa inatokana na uchapakazi huu huu tulionao ata sisi au ni bahati tu ya mtu inahusika kumwinua aufikie utajiri?
  3. R

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono

    Salaam, Shalom!! Tuliiona Kasi ya Kassim Majaliwa kiutendaji chini ya Hayati Magufuli, lakini baada ya kufariki Kwa Magu na Kuingia kiongozi mwingine, alijaribu kuendeleza Kasi hiyo lakini ghafula akaanza kuwa mpole, Amepitia misukosuko kadhaa akishutumiwa Kwa tuhuma zisizo na UKWELI wowote...
  4. Replica

    Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
  5. GENTAMYCINE

    Albert Chalamila ni 'Makonda Type', ila ana Umakini, Utu, Akili na Mchapakazi hivyo wana DSM tumpeni Ushirkiano mkubwa

    Mapungufu yake ni machache kuliko Ufanisi (Uwezo) wake mkubwa wa Kiutendaji ambao GENTAMYCINE naupenda na naukubali. Mkoa wa Dar es Salaam unawataka Watu Chakaramu (Watundu) ambao pia ni Watoto wa Mjini, Wasomi sana halafu Wasela mno na Wanaojua Kujichanganya na Waru wa kila Rika, Wathubutu na...
  6. Corner of cool

    Valentine is coming, waspoil wapendwa wako kwa saa za kijanja

    Hello Dears, ▫️New Stock ya Saa za Mike ▫️Hizi za mikanda ya ngozi ni Unisex mwanaume au mwanamke anaweza vaaa, hizi za chuma ziko in couple kubwa ya kiume ndogo ya kike, tho its Oky Mwanamke akivaa kubwa kulingana na choice yake. ▫️Material ni Uhakika Kwa hizo zote mikanda ni Genuine Leather...
  7. U

    Tabia 6 za buibui zinazotofautisha kati ya maskini mchapakazi na tajiri mchapakazi

    1. Uwezo wa kukamata wadudu au fedha. Maskini na watu wapambanaji huwekeza muda wao wa kazi kuzipata fedha wakati tajiri huwekeza muda huo huo wa kazi kujenga mali itakayomsaidia kutengeneza fedha kwa ajili yao. Kivipi? Buibui hufanya kazi kubwa kutengeneza utando utakaomsaidia kudaka wadudu...
  8. Suzy Elias

    Bado tunaaminishwa/ tunaamini Aweso ni mchapakazi?

    Katikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya. Ajabu iwe mijini na hata huko vijijini hali ya upatikanaji wa maji ni ya kusuasua. Binafsi siyo muumini wa mawaziri wapenda camera kama huyo Mtanga! Ukimfutilia kwa kina ni aina ya mawaziri wanaopenda sifa za...
  9. Eric Cartman

    Kipimo cha dharau ni kumuweka Bashungwa TAMISEMI na mchapakazi kama Jaffo mazingira

    Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala. Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane. Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa. Hawa jamaa wanatudharau sana,
  10. K

    Bashe ni Waziri mzuri na mchapakazi

    Ni lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Hussein Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji. Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni kwamba sehemu nyingine hakuna ubunifu wa kutosha. Huyu anajitahidi sana hasa ukizingatia ni kijana...
Back
Top Bottom