The Shahada (Arabic: ٱلشَّهَادَةُ aš-šahādah [aʃ.ʃa.haː.dah] (listen), "the testimony"), also spelled Shahadah, is an Islamic creed, one of the Five Pillars of Islam and part of the Adhan. It reads: "I bear witness that there is no deity but God, and I bear witness that Muhammad is the messenger of God."
The Shahada declares belief in the oneness (tawhid) of God (Allah) and the acceptance of Muhammad as God's messenger. In Shia Islam, a statement of belief in the wilayat of Ali is added. A single honest recitation of the Shahada in Arabic is all that is required for a person to become a Muslim according to most traditional schools.
TAARIFA KWA UMMA
KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZΑ ΚΑΤΙΚΑ ΤAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027
1.0 UTANGULIZI
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu...
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja...
Anonymous
Thread
chuo
gani
hii
kutoka
miaka
shahada
tofauti
vingine
1.Truck driving.
2. Heavy Duty machine operator
3.Tafsiri na mkalimani(Chinese)
4.Ufundi Bomba
Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo zitakufanya uishi vizuri huku ukisubiri kazi ya Taaluma yako(academic qualifications)
Ahsante
Ina maana tunakuwa na wasomi wenye shahada 3,200,000
Basi tufanye na diploma 3,200,000
6.4M
Idadi ya watu ni milion 70
Au basi takwimu zinaonesha mambo mengii
Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au kumi ijayo.
Wakati sisi hapa Tanzania bado tunapambana kuongeza udahili wa wanafunzi kwenye kozi...
Huu ni mjadala huru :
Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao.
Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
https://www.youtube.com/watch?v=aZJigFrAukU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026
Ile shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣
Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika..
Aibu sana umewatia Wazanzibar...
Kwa wanao pitia Barbara ya king'ara hii sura si ngeni, mwamba anaitwa Alex, huyu mwamba inasemekana baada ya mkewe kupoteza maisha jamaa aliishia kuchizi kutokana na mawazo.
Haija julikana kama Kuna kitu kipo NYUMA ila tatizo lilianza kutokana na msongo wa mawazo kisa mkewe.
Ni msomi wa...
Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi.
Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla.
Akipokea Tuzo hiyo, Samia amesema
"Napokea utambuzi huu kwa unyenyekevu mkubwa na shukrani...
Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6
Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna.
Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
Ajira zikitangazwa na sisi tutangazwe au TAMISEMI watupe majibu kwa nini hatuajiriwi, kwa fani tuliosomea wanaajiriwa wengine tu.
Ni sisi Walimu tuliosomea BACHELOR OF EDUCATION IN PRIMARY EDUCATION, yaani Mwl IIIC Shule ya Msingi
Serikali itukumbuke jamani.
Wanaajiriwa Watu waliosoma...
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Lusetula (Mbunge), amewatunuku shahada ya uzamili wahitimu 2,250 wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), wakiwemo maafisa na askari 90 wa Jeshi la Magereza, waliosajiliwa katika mwaka wa masomo 2024/2025 katika fani mbalimbali zikiwemo amani na usalama pamoja na...
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute – SI).
Ufadhili huu unatolewa katika zaidi ya programu 400 za masomo katika nyanja za utawala...
Habari wanajukwaa
Naomba ushauri wenu hapa
Kuna mdogo wangu ananiomba ushairi kati ya Architecture technology au ualimu wa mathematics na economics unaweza mshauri huyu dogo asome coz gani kati ya hizi
Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate).
Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.