TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF
Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma yangu, wala sina ID nyingine za kujificha.
Nimejiunga na JamiiForums kwa lengo la kujifunza...
Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana
Naona mnakazana sana, ila tambueni yaani ndo mnanifanya nione kazi ya kuwanyoosha inazaa matunda maana vilio...
Mzuka wana jamvi ?
Wanadamu tonatofautiana mitizamo na misimamo , Mimi kama 'Gengis ' katika maisha yangu ya hapa jukwaani nina Misimamo ifuatayo ;
1. Siwezi kuwa na multiple ID . Kwangu naona ni udhaifu na uwoga kivipi mtu ujifiche kwenye vichaka tofauti hauwezi kuFace uhalisia kujiamini...
Aliniomba nimchagulie dini bora , nikapendeza awe binti wa kiislamu kama bibi yake zamani hizo , sikupenda awe mchristo kama mimi japo now sina dini yeyote 🤣
Mimi siamini Mungu kabisa wala simtaki kwenye maisha yangu, mimi nimezaliwa kama mkatholic nimesoma marangu kama mlutheri,.
Katika ukristo bora ulio nipa nafasi ya kusoma nakujua dini zote ni wa Lutheran baba wa wa protestant 🤔
Asili yangu kwa mama ni mpalestina na baba ni mmatumbi...
INASIKITISHA SANA WENGI WANAJUA NI KUSAFISHA MIJI ILA UKWELI NI KWAMBA WANAOGOPA MAANDAMANO.
SUBIRI IVUKE HII 29 OCTOBER VIZURI WATU WQTAANZA KIREJEA KWENYE MAENEO QALIYO JIPANGIAGA MPAKA WANAJAA UPYA.
Katika ulimwengu wa habari, sheria, na uchambuzi wa kina nchini Tanzania, jina la Jenerali Ulimwengu halihitaji utambulisho. Ni gwiji na sauti ya hekima inayotazama mambo kwa jicho la mbali sana. Hivi karibuni, katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Habari Duniani (IDUAI)...
Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi;
Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi!
Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa;
1. Wenyeviti wa mitaa
2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa
3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima.
Mimi hii naiona kama cult kwa sababu hainiingia akilini kuona mtu anachagua kuchomwa, badala ya kuzikwa ambayo mwili mzima kama ilivyo asili...
Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia.
Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es salaam kwa sasa, Nina skills zifuatazo:
1. Ni Mwalimu wa mathematics na chemistry kwa Taaluma
2. Ni...
Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake.
Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi.
Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje?
Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani...
Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo.
Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya...
Mimi ni mwafrika "utamaduni wetu ni hela" ungependa kuhisi kuwa ipo siku utavaa mavazi ya asili yetu...
Jamii ya kitanzania itabadilika na kuanza kupenda Asili yao?
Hisi umebeba kitu kizito kichwani
Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?.
Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino.
min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe.
adriz de...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.