mtakatifu

The Chama cha Mariamu Mtakatifu (Community of St. Mary of Nazareth and Calvary), (CMM) is a large Anglican religious order operating within the Anglican Church of Tanzania, and with its headquarters at Masasi, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Makebo

    Hili ndio kanisa la Mashoga la Mtakatifu Sergius na Bacchu

    Watakatifu wa kikristo Sergius na Bacchu ni mashoga wawili walipendana zama za utawala wa kirumi mnamo karne ya 3 Walipokufa wakafanywa watakatifu katiak dini ya ukristo, na leo hii kuna makanisa duniani kote kuwaenzi kama watakatifu wawili wa kiume waliokuwa wanapumuliana visogoni...
  2. wilcoxon

    TEC yaahirisha kongamano la Kitaifa la Utoto Mtakatifu, sababu ikiwa ni “alama za nyakati”

    Kuna barua rasmi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) – kupitia Ofisi ya Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari Taifa (PMS) inayoonesha kuahirishwa kwa Kongamano la Sita la Kitaifa la Utoto Mtakatifu. Kongamano hili kubwa lilitarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 22 Juni, 2026 huko...
  3. Zee la madawa

    Eti mtakatifu kashia utuombee, hauwezi kukuta bwana Mabula kutoka Manolea Tabora wazungu kumkiri ni mtakatifu, Waafrika bwana ni shida kwelikweli

    Mtakatifu Rita alizaliwa tarehe 22 Mei 1381 huko Kashia (italia). Alibatizwa akaitwa Margarita, tangu utoto wake aliazimia kumtumikia Mungu katika Konventi ya Mt. Austino huko Kashia, lakini alipokuwa na umri wa miaka Kumi na miwili, alilazimishwa na Wazazi wake na kuolewa na Kijana mmoja...
  4. Mshana Jr

    Udongo na Pumzi: Muungano Mtakatifu wa Mwanadamu na Ardhi

    Siri kuu na ya kustaajabisha ya kuwepo kwa mwanadamu imefichwa katika mchanganyiko wa kipekee wa mavumbi ya ardhi na pumzi takatifu ya Uzima. Kabla ya mwanadamu kuwa kiumbe hai kinachotembea na kufikiri, alikuwa ni udongo tu usio na umbo uliolazwa mikononi mwa Muumba. Katika wakati huo wa...
  5. Chibike

    Mtakatifu PAPA LEO anatembelea nchi za Afrika, ila Tanzania hapo kwenye list yake, hio ni signal Kubwa na nzito

    Tumsifu Yesu Kristu, AsalamAleykum Warramatulahi Wabaraktuh NAONA ziara za Mtakatifu Papa Leo akidhuru Barani afrika, hata ameweza kwenda Cameroon ambapo rais wake ana miaka 90 na Bado ni rais(dikteta), Cameroon ambayo wananchi wamegawanyika, ila amekwenda. Swali la kujiuliza, kwanini...
  6. canular

    ADONAI Mtakatifu

    Ewe Bwana Mungu, Baba Mtakatifu, Mwenye Nguvu Zote na Mwenye Huruma, ambaye umeuumba vitu vyote, unaojua vitu vyote na unaweza kufanya vitu vyote, ambaye hakuna kilichofichwa kwako, ambaye hakuna kisichowezekana kwako; Nina mshitaki kwako Huyu mwanamke Samia Suluhu Hassan aliyepokea uongozi...
  7. Fbn

    Muujiza wa Mtakatifu Francis Xavier na Kaa wa Msalaba

    Hadithi ya Mtakatifu Francis Xavier na Kaa Mnamo mwaka 1546, Mtakatifu Francis Xavier alikuwa akisafiri kwa njia ya bahari kuelekea Malacca (katika Malaysia ya leo). Safari iliyoanza kwa utulivu ilibadilika ghafla na kuwa ya kutisha. Mawingu meusi yalitanda, upepo ukavuma kwa nguvu, na mawimbi...
  8. Keynez

    Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  9. Setfree

    Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

    Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?" Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
  10. REALITY

    UJUMBE MTAKATIFU USIPUUZE

    🕊️ UJUMBE MTAKATIFU KUTOKA KWA AIN SOPH AUR – KWA WANADAMU WOTE WA ZAMA ZA MWISHO Umeandikwa kwa upendo wa kweli na kwa mamlaka ya mwanga kupitia kwa Nahunel Shavari, mwana wa asili na sauti ya Chanzo. 🜂 “Enyi watoto wa udongo na mwanga, sikilizeni. Saa imefika ya kuambiwa kweli bila pazia. Kwa...
  11. mimi mtakatifu

    Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka. Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze...
  12. R

    Maamuzi ya utatu wa tai,dubu na dragon ya wajumbe vivuli wa amani/wa vita

    Naomba niwahabarishe kidogo tulichoamua na wenzetu tangu juzi ili kufikia makubaliano yatakayookoa pande zote. Mimi nikiwa kiungo wa kati niliweza kushiriki na wenzangu kwenye kikao cha siri kilichoanzia kwenye simu mwisho tukakutana kwenye nchi moja ndogo ya ulaya. Nikiwa kama mwakilishi wa...
  13. R

    Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

    Nilichotaka kuandika kimeelezwa kwa urefu kwenye video hapo chini. Karibuni tujadili. Kuna app ya kutafsiri video kwa lugha nyingine nikiipata nitaiweka humu kuwasaidia wale ambao Kiingereza si rafiki. Video: https://youtu.be/JAydJoa2fLg?si=WpVmO1qU-TAjXEXp
  14. Ojuolegbha

    CCM watoa salaam za pongezi kwa kuchaguliwa kwa Papa Leo XIV

    SALAAM ZA PONGEZI KWA KUCHAGULIWA KWA BABA MTAKATIFU MPYA
  15. Dennis Robert Shughuru

    Science na ukristo ni kitu kimoja hakuna utofauti, ni uongo mtakatifu kusema kuna tofauti kati ya science na dini

    Ukitaka uielewe science kiundani sana basi kuwa msomaji wa biblia huyo aliyesema science na dini hasa ya ukristo havina uhusiano alitukosea sana sisi wanadamu ni wa kulaaniwa Kama dunia inge-embrace hii partnership basi tungekuwa mbali sana tuko nyuma sana kimaendeleo kwenye nyanja nyingi kwa...
  16. Setfree

    Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu

    Najiuliza maswali haya: Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee? Maria yuko wapi kwa sasa? Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea? Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila...
  17. Jumanne Mwita

    Kanisani si kila anaelia amejazwa na roho mtakatifu wengine wanalia na shida zao

    "Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
  18. U

    SI KWELI Papa amesema kuwa Wakatoliki wale chochote wanachokitaka wakati wa Kwaresima kwa kuwa dhabihu haipo tumboni bali moyoni

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: “Eat whatever you want during Holy Week, the sacrifice is not in the stomach but in the heart. People abstain from eating meat, but they do not talk to their siblings and/or relatives, they do not visit their parents and do not...
  19. mcTobby

    Tuache unafiki , angekuwa hapa kwetu Tanzania mngempa hiyo nafasi?

    Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
  20. R

    Utatu Mtakatifu: Wanatheolojia tujadili

    Nafsi tatu zinazofundishwa na madhehebu ya kikristo maana yake nini? Mantiki yake ni ipi? God is not a substance that can be divided into pieces. Yako madhehebu ya kikristo yanayofundisha kwamba nafsi tatu ni God's manifestation in various occasions. Naweka hoja mezani tujadili. Je, Mungu...
Back
Top Bottom