Habari wakuu, ninatarajia kufungua kiwanda kidogo cha utengenezaji wa vyakula vya mifugo hivyo nipo kwenye utafiti wa kuwatqmbua suppliers wa ingredients mbalimbali za kuchanganya kutengeneza cha Mifugo.
Moja ya ingredient ninayotaka kujua naweza kuipata ni Fishmeal au tuseme dagaa omena wenye...
Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
Kwa mda mrefu nimeishi katika maisha ya kuunga unga sana chumba kimoja zile nyumba za kupanga za mabehewa ya train yaani mnakuta milango yote imejipanga ivi kama mabehewa.
Ilikuwa ngum kuleta demu maana palijaa wa mama wa kiswahili wanapikia nje muda wote kelele uwezi letq demu usiwape mada ya...
Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
White South African business owner reportedly refused to reopen his company after being confronted by members of March and March, who demanded that he employ South African citizens.
According to the owner, he will not make hiring decisions under pressure or intimidation. #"""He argued that...
Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji.
Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900.
Petrol - 4000 kwa lita
Gesi - 1545 kwa Kg
Sasa tuangalie upande wa gesi.
Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
gari
gesi
gharama
gharama za mafuta
kila mwezi
kubadili
kuokoa
kutumia
mafuta
matembezi
matumizi
mbili
mfumo
mjini
msingi
muhimu
mwezi
naomba
naweza
sababu
sababu za
shilingi
wakati
yangu
zaidi ya
Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo.
Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio bidhaa ambayo naogopa kuingiza mada hapa.
Je wale ambao wamenusurika au kuomba uchunguzi wa...
Kauli za Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shamsa Mohammed kuhusu uwezo wake wa kifedha pamoja na nafasi ya viongozi wastaafu ndani ya chama zimeibua mjadala miongoni mwa wanachama wa CCM na wadau wa siasa.
Katika video inayosambaa mitandaoni, Shamsa alizungumza kuhusu uchaguzi ujao wa ndani wa...
Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini...
Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea...
Wadau wa michezo habari zenu.
Nauliza kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata mashine ya kumfanyia mazoezi ya kukimbia au kutembea kama zile zinazopatikana gym.
Naomba kuelekezwa mahali na duka lilipo.nahitaji kua nafanyia mazoezi nyumbani badala ya kwenda gym.
Msaada tafadhari.
Mtu akiniambia bei na...
Wajuzi wa hizo kazi naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu au kuwa na taarifa.
Baada ya kumaliza kazi zangu za Kila siku huwa nakuwa na muda kidogo ambayo naona kama unapotea.
Sasa nahisi kama ninaweza kuutumia muda huo kujiongezea kipato kwa kuutumia ujuz na maarifa niliyojaaliwa na mungu...
Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania.
Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.