sala

Šaľa (pronunciation ; Hungarian: Vágsellye, German: Schelle) is a town in south-western Slovakia.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    Mimi sifanyi maombi yoyote zaidi ya kusali sala ya baba yetu uliye mbinguni kila baada ya lisaa limoja

    mimi ni mkristo nishaamuaga sifanyi maombi yoyote sijui kuombea taifa sijui kuombea mambo mbalimbali mara kulia sijui kunena kwa lugha sijui kusali rozali mimi huwa nasali sala moja tu..ya baba yetu uliye mbinguni na huwa nasubiri ifike saa fulani kamili..07;00,08;00 n.k kwa hiyo kwa siku...
  2. R

    Sala ya Leo: Usiku Mwema Mungu atatenda

    Wote tusali kwa pamoja kadri ya maandishi kwenye picha hapa chini na wimbo wake. Mods niwekee hiyo clop vema
  3. R

    Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

    Watanzania, mmelala? Mimi sijalala hadi sasa! Hii si leo, hii si kesho – hii ni vita ya maisha na uhai wangu! Niko hapa peke yangu, njaa inaungua ndani yangu, sina chochote kinywani, wala sijui nini kinachoendelea kuhusu hatima yangu! Mimi si jambazi, si gaidi. Kama ni hivyo, nipelekeni mbele ya...
  4. Yoda

    Kwa nini waumini wa dini huwa wanafanya dua, sala au maombi?

    Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu? Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama alivyopanga kwa sababu tunaambiwa kila jambo alishalipanga?
  5. Jidu La Mabambasi

    Sala ya Leo: Mithali 29:2- Mamlaka na Haki

    Mithali 29:2* “Watu wa haki wanapokuwa na mamlaka, watu hufurahi; Bali waovu wakiwatawala, watu huugua.” Uhafanuzi Neno hili linaonyesha kwamba uongozi wa haki huleta furaha na amani kwa watu, lakini uongozi wa waovu huleta mateso na huzuni. Tuombe Ee Mungu tunakushukuru kwa neema hii ya...
  6. funaku

    Wakatoliki wa kweli hawaropoki hadharani wanatenda kwa Sala!

    Huu ni ukweli muhimu na mchungu kwa wote walioonekana kwenye media kisiasa ...katika uzoefu wangu hakuna mkatoliki mwenye haiba ya kikatoliki awaye yoyote...Papa,Kadinali,askofu,paroko,katekista,mlei au mwanajumuiya wa katoliki anayeenda kwenye media kuongelea siasa. Wote waliofanya hivyo nina...
  7. President of China

    PostGE2025 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania - Abubakar Zuber bin Ally aagiza Dua ya Qunuti kusomwa baada ya kila Sala

    AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA "Assalaam alaikum. Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee...
  8. Beira Boy

    Aliyemwandikia sala Mufti mkuu ndo huyo huyo aliyemwandikia hotuba Mama kizimkazi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Alikuwa ni mtu mmoja SAYUNI BOY
  9. Kitimoto

    Sala ya Kuwaombea Viongozi na Waathirika wa Hali ya Kisiasa Tanzania

    Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha. 1...
  10. eli -DEFIANT- cohen

    Eti leo jumapili umejifanya kutuongoza sala wakati jana juma mosi ulikuwa juu ya meza🤣

    Anyway kila mtu na maisha yake..😂
  11. D

    Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

    Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never. Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
  12. Ubaya Ubwela

    Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  13. Chibike

    Wakristo, waislamu, na wapenda HAKI wote kesho tuungane na Wakatoliki katika SALA NZITO ya kuombea taifa

    Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona...
  14. J

    Sala ya Bwana ni nini

    Sala ya Bwana ni nini Sala ya Bwana Sala ya Bwana ni sala ambayo Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake, kabla ya kuondoka kwake. Na kwa kupitia sala ile, hakuwafundisha tu wanafunzi wake bali alitufundisha na sisi pia. Maana yake ni kwamba, nasi pia tunapaswa tuombe kama vile Bwana...
  15. figganigga

    Sala ya Mwana CCM katili pale anapotaka kufa

    Wana-CCM wote wanaaomuombea Mabaya Lissu, inapofika siku ya kifo wanakuwa wapole kama wananyolewa. Wanajuta sana.. Pamoja na Ukwasi wao na kutunga Sheria zinazowalinda wanapofanya ufisadi lakini saa ya kifo ikifika wanajuta. Dakika ya kifo wanasema, "Roho yangu imezimika, siku zangu...
  16. Setfree

    Waziri wa Usalama wa Israel afanya sala katika eneo takatifu la al-Aqsa. Awaudhi Wapalestina

    Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir ametembelea eneo la Msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem na kusali huko, na kukiuka mpango wa miongo kadhaa unaohusu mojawapo ya maeneo nyeti zaidi katika Mashariki ya Kati. Picha na video za ziara yake zinaonyesha Ben-Gvir akiongoza maombi ya Kiyahudi...
  17. M

    Sala yangu ya leo, kesho na kesho kutwa

    Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika, nakusifu, nakushukuru, nakuabudu, nakutukuza, nakuheshimu . Nakuomba:- 1. Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, ukaharibu njia zao, akili zao, fikra zao, mbinu zao, vyombo vyao, miili yao, ukalaani ardhi waikanyagayo, vyakula walavyo...
  18. Montania

    Sala au maombi gani ambayo uliwahi kusali yakaleta matokeo tushirikishe

    Kama wewe ni Mkristo mkatoliki ni sala, Novena, Rozali au uliwahi funga kuombea kitu na kikafanikiwa? Mfano kwenye kuomba kazi, mke au mume au masomo n.k tushirikishe Pia madhehebu mengine karibuni kushuhudia kulingana na MUNGU alivyokutendea.
  19. Yoda

    Mtume bora angekubali kuomba sala 3 tu kwa siku, kusimamisha swala 5 kwa siku ni mtihani mzito kwa waumini.

    Katika hadithi ya jinsi waumuni walivyopatiwa kuswali sala 5 kwa siku inasemwa kwamba mtume akiwa katika safari yake mbinguni alipokutana na Allah alianza kwa kupewa sala 50 kwa siku, mtume aliposhuka mbingu inayofuata akakutana na mtume Musa akamwambia kwa jinsi anavyowafahamu binadamu hizo...
Back
Top Bottom