99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,131
35,164
Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema wewe ni mgeni/mtalii umekuja kuponda raha zote safi na chafu basi kwa haraka sana utauziwa kila kitu unachokitaka kuanzia pombe, ngono mpaka madawa ya kulevya. Cha kushangaza sana waratibu wa hayo yote ni washika dini wazuri.

Hutasikia danguro likichomwa moto wala klabu ya pombe ikivunjwa Zanzibar. Mpaka sasa hakuna kumbukumbu zozote za wazi zinazoonyesha teja, mlevi, malaya au shoga kupigwa, kuteswa au kuuawa Zanzibar, lakini kuna kumbukumbu za wazi za viongozi au waumini wa dini fulani kuuawa, kupigwa, kunyanyaswa na kuteswa huku mali zao zikiharibiwa.

Kuna kitu bado sijakielewa vizuri Zanzibar. Nadhani pia Zanzibar inapaswa ibadilishe mitazamo yake.
 
Angalia akili zako za kitoto ,wakianza kuwapiga walevi utasema tena ,🤣🤣yaani useme kila anayefanya kosa wampige mpaka wamuue ...Mtakujw tena kusema waislamu ni makatili wana hukumu watu.

Zanzibar hawawezi kukubali kujengwa makanisa ya kitapeli kama hawa manabii huleta ujinga kwa watu.🤣🤣

Zanzibar kuna makanisa na wakristo acha uongo wako juzi kati tu hapa walikuwa na mgogoro juu ya viongozi wao, yaani wakristo wanagombana wenyewe.

Hakuna mtu kauliwa kisa dini yake hii ni hostility tension baina ya bara na zenji , wale wanashangaa wakiitwa wao ni mashoga na wale wanajua wabara sisi ndio tunaharibu mji wao.

Angalia unachoandika leo hata mikoani hapa Tanzania watu wanasemana kutokana na ukanda na mikoa ,jambo la kawaida .
 
Bisha tu hapa JF, lakini ukweli unaujua. Chuki ya wazanzibar iko dhidi ya imani fulani tu lakini haiko dhidi ya uovu mwingine wowote.

Nani asiyejua kuwa Zanzibar ni kitovu cha utalii wa madawa ya kulevya katika ukanda huu wa Afrika Mashariki?

Kuna mtaa gani hapa Unguja uliokosa nyumba ya ibada, walevi, malaya, mateja na mashoga? Sasa kwanini huo uovu ushamiri?

Ni sheria gani hapa Zanzibar inayokataza uwepo wa imani zingine za dini? Kwanini chuki dhidi ya imani nyingine ishamiri?

Ni sheria gani hapa Zanzibar inayobariki biashara ya umalaya, utumiaji wa madawa ya kulevya, ushoga?

Ni vipi utamaduni wa kijamii au kidini wa kizanzibar unaweza kujenga chuki dhidi ya imani zingine za kidini na hapo hapo ukaweza kuvumilia na kuukumbatia ushoga, ungese, ulawiti na umalaya?
Kuna kitu hakipo sawa Zanzibar.
 
Dini ile inalindwa kwa hofu. Waumini wengi hawajui wanachokifuata hivyo akija mtu wa kuwafungua anaweza kubadili upepo ndio maana wanapingwa.

Nakumbuka niliwahi kumpelekea injili mmoja akajifanya hajui kusoma na hasikii vizuri. Lengo ni asisikilize maana hajui kitu na amepigwa biti asisikilize vitu vipya asijekugeuzwa.
 
Back
Top Bottom