IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 3,174
- 3,827
Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom.
Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.
1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya juu. Hakuna movement zisizo za msingi wala milio ya simu hapo nina wapongeza.
2) Nilisikitika sana maana nimejiandaa vizuri kuja Ibadani lakini cha ajabu kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kukaribisha wala kutambua wageni waliohudhuria siku hiyo. Makanisa mengine kama kwetu MZee wa kanisa anasimama anasoma majina ya wageni na walipotokea tena ikibidi wageni wanapewa Microphone wasalimie kanisa. Huu ni utaratibu mzuri kwa mgeni anajisikia yupo nyumbani.
Wakatoliki mgeni hawakutambui kabisaaaaa wala hawakutaji jina ili ukaribishwe. Kwa hili naomba mjifunze mboreshe hapa.
Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.