Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,428
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya .

Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa Parokia hiyo , amewahamasisha Matajiri wenzake wa Mbeya na Kwingineko kujitokeza kuchangia ujenzi wa Nyumba za Mungu kwa lengo la kuchota baraka, ambako amedai wingi wa nyumba za ibada utapunguza dhambi za walimwengu kwa kuchochea mema kwenye jamii .

Screenshot_2023-12-10-17-10-51-1.png
Screenshot_2023-12-10-17-12-20-1.png
 
Sugu anayejulikana na wana Mbeya kwa ubahili wake mkubwa wa kikinga hawezi kuchangia kitita zaidi ya kutoa vipesa mbuzi. Kama nasema uongo embu weka kiasi alichotoa. Pia napenda kukwaambia kuwa jimbo la Mbeya ni la Dr Tulia ambaye amepewa hati miliki na wana Mbeya. Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kumpa kura ya ndio Sugu
 
Vaa kanga utapata pesa...Nani duniani anagawa pesa?
 
Duuuh🤣🤣

maada ni kuchangia ujenzi wa kanisa , Nyie endeleeni na ushirikina wa kutembea na Majeneza
 
Back
Top Bottom