Zambia: Serikali yaagiza Ibada zisizidi Masaa Mawili ili kudhibiti Kipindupindu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
Nyumba za Ibada zimetakiwa kufanyika kwa muda usiozidi Saa 2, agizo linalolenga kupunguza kuenea kwa Ugonjwa 2a Kipindupindu nchini humo

Pia, biashara za Vyakula ambavyo vimeshapikwa tayari kwa kulipwa imepigwa marufuku pamoja na Waumini kutakiwa kutosalimiana kwa kushikana Mikono ili kuepusha hatari ya kupata Maambukizo

Zaidi ya Wagonjwa 7,800 wameripotiwa nchini humo tangu Oktoba 2023 huku Wengine zaidi ya 400 wakipatikana Saa 24 zilizopita vikiwemo Vifo 18. Tanzania ni kati ya Nchi za ukanda huu zilizoripoti Maambukizi kwenye takriban Mikoa 6

=========

Churches in Zambia have been ordered to limit worship time to two hours as part of measures to curb the spread of cholera.

No sale of perishable and ready-to-eat foods in all churches, Ndiwa Mutelo, a senior official in charge of religious affairs, said.

Worshippers have also been urged to avoid handshakes and hugs in order to reduce the risk of contracting the disease.

Mr Mutelo in a statement also ordered worship centres to provide safe drinking water, hand washing points as well as alcohol-based hand sanitizers to their members.

More than 7,800 cholera cases have been reported nationwide since last October.

In the last 24 hours, there were more than 400 new cases and 18 deaths, the health ministry said.
 
Back
Top Bottom