Ni dhambi kwa Wakatoliki kuimba au kucheza nyimbo za injili kutoka kwa madhehebu mengine (ikiwemo za walokole) toka TAG, kama zina ujumbe unaompa Mungu utukufu.
Kanisa Katoliki linakataza kusikiliza au kuimba nyimbo za Wakristo wengine mradi tu mashairi yake hayaendi kinyume na imani na...
Android na iOS.
Tafakari nasi- hii ni shajara, Ina masomo yote ya mwaka husika, novena, tafakari ya siku na sala. Pia inafanya kazi bila mtandao.
Shajara- hii pia Ina masomo na sala ila haifanyi kazi bila internet.
Radio Maria- hii ni radio na podcast.
Auxilium Christianorum- hii Ina sala na...
Kwanza tunaamin hiki kitabu kikiandikwa na MUNGU kupitia mkono wa binadam...na mara ya kwanza kilkuwa na vitabu vingi... lkn zinazochapwa kwa sasa zimenyimwa baadh ya vitabu... na wala sisikii vikitumika ktk mafundisho.... mf SIRA...BARUKU..SUSANA...BELI NA JOKA..WAMAKABAYO..
JE hii n kwan...
Kuna tabia ya watu kuinua mikono juu wakati wa sala ya baba yetu. Si sawa ile mi kwa ajili ya makuhani tu . Eleweni. Kwa muktadha zaidi nimewawekea link.
https://x.com/UcheMaryOkoli/status/2083671223939281311/video/1
Jana jumamosi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Tunu Zetu radio Amani ya jimbo katoliki Arusha. Padri alikuwa na mada ya Utatu Mtakatifu ambayo aliianza na ataendelea nayo. Niliwahi kupeleka hoja kwa Madrid, maaskofu na wanateolojia wakatoliki kwamba Mungu ni mmoja aliyejidhihirisha katika...
Papa Leo XIV amewandoa kundini na kuwanyang'anya Sacramenti zote Wakatoliki wa SSPX wenye makao makuu Switzerland baada ya kuwasimika Maaskofu wanne wapya wa order yao kinyume na katazo la papa Leo.
SSPX ni Wakatoliki wanaoshikilia msimamo mkali na WA kale zaidi wa dini wakiendesha misa zao...
Uu, sio udini jamani narudia tena sio udini wakatoliki tunashambiliwa mno na tupo kimnya,
Faza kitima alishambuliwa hatukuchukua HATUA na mpaka Leo hakuna TAARIFA yoyote iliyotolewa dhidi shambulio ilo sio jeshi la polisi, sio uchunguzi wa kanisa sio uchunguzi wa chombo chochote ili maana yake...
Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa.
Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe mfumo wa upatanisho usioonekana kabisa.
Zaidi ya miaka elfu moja kabla ya Kristo, Mungu aliwaamuru...
Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.
Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti...
DeletedMember281674
Thread
feki
hii
mahali
mtaa
mwisho
script
temeke
wakatoliki
yombo dovya
Fanyeni utafiti namna vijana wanavyomchukuia. Nendeni vyuoni na kwenye mashule mfanye tafiti.
Wazee pia hawamkubali.
Mlidhani kutukana kuwakejeli wakatoliki mtapata sapoti ya wakristo wengine?
Mmelamba mchanga.
Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande...
Tunahitaji kuona makundi ya kijamii yenye mitazamo tofauti yakionyesha mshikamano na undugu pia. Tunahitaji mechi zifuatazo;
1. Wasabato vs Wakatoliki
2. CCM vs CHADEMA
3. Maustaadh vs Wamiliki wa mabucha ya kitimoto
4. Wives vs Sidechicks
5. Sukuma Gang vs Msoga gang
6. Walokole vs Wanywa...
Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa.
Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.