ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. Melki the Storyteller

    Hivi ni haki kweli kupiga nyimbo za ibada kwenye nyumba za kulala wageni?

    Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao Imeibuka tabia mbaya ya kucheza nyimbo za dini pamoja na mahubiri kutoka redioni ama runingani. Msimamizi huyo wa...
  2. Mhafidhina07

    Tujitahidi kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada

    Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini, kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu, masheikh na wahubiri kufanya kazi kwa kiasi kikubwa ili kujiihudumia. Ukweli ni kwamba Ukitoa sadaka...
  3. sky soldier

    KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu? Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada. 1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
  4. Roving Journalist

    Sagini ashiriki ibada ya mazishi ya Mjukuu wa Baba wa Taifa

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Novemba 14, 2023 ameshiriki Ibada ya mazishi ya Marehemu Edward Magige ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika Kijijini kwao Wilayani Butiama Mkoani Mara...
  5. matunduizi

    Fanya haya kuongeza thamani ya ibada yako katika mikusanyiko ya kiroho

    1: Ingia kwenye ibada ukiwa na ajenda. Usiende kwa sababu watu huwa wanaenda. Jitahidi uwe na hoja na ajenda siriasi ukizopanga kuwasilisha kwa Mungu wako. 2: Usipende kukaa nyuma au mwisho. Ili kuwa mzingativu jitahidi ukae kuanzia siti za katikati kuelekea mbele kwa mnenaji. Usiulize nyuma...
  6. kali linux

    What's your morning ritual? / Nini ni ibada yako ya asubuhi?

    Hello bosses and roses... Kuna mambo madogo madogo ambayo watu huwa tunajisahau lkn yana umuhimu sana kwa masaa 24 yatakayofuata. Mfano mtu unaamka tu asbh hapo hapo unapiga mswaki na kutafuta usafiri uelekee kituo chako cha kazi lkn ukifuatilia ikifika saa tano asbh tyr ushaanza kuchoka na...
  7. Mganguzi

    Katika vitu ambavyo hutakiwi kusahau katika maisha yako ni kutoa Zaka, uwe Mkristo, Mpagani au Muislam

    Kama wewe unajua kwamba Mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA. Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na kuchoma sindano 120, lakini Bado hali yake haikubadilika ,naikumbuka siku...
  8. Erythrocyte

    Freeman Mbowe ahudhuria Ibada Maalum katika Kanisa la TAG Kinondoni

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni . Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe...
  9. Plaintiff

    Ibada ya Wakristo kuabudu Jumapili imeanza Karne ya nne. Ni kwanini Karne 3 za kwanza watu waliabudu Jumamosi?

    Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu. Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je...
  10. Mjukuu wa kigogo

    Tuhudhurieni ibada wakuu

    Huyu ni pastor wa kike kule Nairobi Kenya akiendelea na huduma za uinjilisti.
  11. A

    DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa watanzania

    Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu ya waumini kisha kujipatia fedha kwa mgongo wa sadaka. Uchunguzi ulioufanywa na kikundi cha...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Nini kimelekea Spika Tulia kutengwa kwenye ibada?

    Katika hali ya kushangaza Spika Tulia amejikuta peke yake kwenye bench wakati ibada ikiendelea. Nimejiuliza nini kinapelekea hali hii kutokea? Ni sakata la Bandari au kuna kingine
  13. GENTAMYCINE

    Tafadhali Wakatoli wa Ibada ya Kwanza tuliowahi Makanisani ili Kuusikiliza na Kuutii Waraka wa TEC tutambuane tafadhali

    GENTAMYCINE tayari nimeshawahi na nimekaa zangu Siti za mbele mbele kabisa nikitanguliwa na Kwaya yetu nzuri yenye Nyimbo za Kukufanya uwe karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na akupunguzie Dhambi zako japo hatozifuta zote ili Akakuadabishe vyema Mbinguni Siku ya Hukumu. Leo Makanisani ( kwa wenye...
  14. Mwande na Mndewa

    Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

    Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37, Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hizi ni ibada ambazo Mkristo mnazishiriki halafu mnalalamika mambo yenu yamefungwa

    Ibada ni utamaduni wa kiroho kati yako na kile unachokiabudu kwa kujua au kwa kutokujua. Mungu wa Wakristo aitwaye Jehova amekataza watu wake wasifanye ibada zisizompendeza ambazo hizo kwake ni ibada za kishetani. Jehova aliye Mungu Mkuu kati ya miungu wote, amekataza Watu wake wasishiriki...
  16. M

    Kwa dhati nalipongeza Kanisa Katoliki Parokia ya Msimbazi kwa kudhibiti maadili wakati wa ibada

    Wakati fulani kwenye maisha yangu ya dhambi nilitokea kumpenda msichana aliyekuwa akiabudu kwenye kanisa moja la katoliki pale Msimbazi. Huyu binti alikuwa mkatoliki safi aliyenyooka. Ikawa ananisihi sana hata kama mimi sio mkatoliki niwe najiunga nae mara moja moja kwenye ibada kanisani kwao...
  17. S

    Ikiwa Mazishi ni Ibada, basi usiingilie ibada za wafu . Waache wafu wawazike wafu wenzao

    Ikiwa Mazishi ni Ibada , Basi Usiingilie Ibada za Wafu . Waache Wafu Wawazike Wafu Wenzao.. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Wana Heri wafu wafao katika Bwana. Naam asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa Matendo yao yafuatana nao ( ufunuo 14:13). Maana wafu wote...
  18. Nsanzagee

    Kuna viongozi wa dini kwenye nyumba za Ibada, wanaongoza sala ya kuzuia mkataba wa DP, ajabu wakitoa maoni mbele ya makamera, wanaunga mkono

    Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli, Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD Ajabu ukiitwa...
  19. O

    Ibada zarejea kanisa walimokutwa wakifanya mapenzi

    Uganda. Waumuni wa Kanisa la Bunyonga, kaunti ndogo ya Kayonza wilaya Kayunga nchini Uganda ambapo mwanaume na mwanamke walikutwa wakifanya mapenzi katika madhabahu ya kanisa hilo, wamefanya ibada kanisani humo kwa mara ya kwanza baada ya kufanyiwa maombi ya utakaso. Kiongozi wa Kanisa hilo...
  20. BARD AI

    Mume wa Mtu afumaniwa akifanya Ngono Kanisani

    Wapenzi hao wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa hilo lililopo Wilaya ya Kayunga. Tukio limewahusisha Kijana muumini wa Kikatoliki mwenye miaka 23 ambaye ni mume wa mtu na Binti wa Dhehebu...
Back
Top Bottom