kwaya

for the commune of Niger see Kwaya, NigerThe Kwaya are a Bantu ethnolinguistic group based in the Mara Region of northern Tanzania, on the southeastern shore of Lake Victoria. In 1987 the Kwaya population was estimated to number 102000.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Hizi media house zinazopiga kwaya asubuhi hawaoni kuwa ni udini? Wakristo wengi tunachukizwa sana

    Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo...
  2. Roving Journalist

    Dar: Mlinzi wa Kanisa anayetuhumiwa kumlawiti Mtoto Muimba kwaya kwenye vyoo vya Parokia apandishwa kizimbani

    Mtuhumiwa Baraka Benedicto ambaye kabla ya kutiwa mbaroni alikuwa mlinzi katika Kanisa Katoliki la Sinza, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi-Sinza, amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kumuingilia mtoto kinyume na...
  3. K

    Walimu wa kisasa kwaya za ibada za kikatoliki wanaua ladha halisi ya ibada za kikatoliki

    Zamani ilikuwa kwaya za kiibada zinavutia na kusisimua lakini wamekuja vijana wa hovyo wanajiita walimu wa kwaya yaaji Wana edit kila kitu mwisho wa siku kwaya za ibada hazigusi mioyo na kusisimua, ilikuwa kawaida mwanakwaya wa Bukoba kuimba kwaya Mtwara bila shidaa yoyote ila sasa ni ngumu...
  4. Mto Songwe

    Wakatoliki kwa kwaya na ufundi wa vinanda ni sawa na samaki na maji

    Hawa Wakatoliki kwaya na ufundi wa upigaji vinanda kwao ni sawa na samaki na maji ni ngumu kuwatenganisha. Kwa kweli RC ni mafundi haswa katika upande huu wa uburudishaji kwa nyimbo zao za gospel ukichanganya na vinanda vyao. Ukikutana na mpiga kinanda fundi wa RC mpaka kichwa anatikisa huwa...
  5. Msishangae

    Gideon Kasozi, Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni hivi sasa yuko wapi?

    Wakuu humu ndani nakumbuka miaka ya tisini kuna Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni alifanya kwaya hii kuwa maarufu sana hivi sasa hivi yuko wapi?
  6. dubu

    Walioimba Kwaya kwenye Msiba wa Magufuli mbona siwasikii huu wakiimba kuhusu DP World Msiba wa Taifa?

    Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi? Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
  7. B

    Huyu Manzi kila nikikutana naye Guest ananiwekea Nyimbo za kwaya na Injili. Nimechoka sasa!

    Hii sijui niiteje au Ndio Wokovu unanifata fata kila niendako. Je nikubali mwito wa wokovu au nikaze fuvu? Huyu manzi mama nilivyosema nikifika naye tu ndani kwa ajili ya mnyanduano basi utasikia ameweka kwenye simu yake nyimbo za Injili mara kwaya. Na mimi najifanya kama sisikiii naendelea...
  8. M

    Sijaona Channel yoyote ya Uingereza ikiomboleza kifo cha Malkia kwa kupiga nyimbo za kwaya kama Afrika

    Wenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa wenzetu hii kitu haipo..Sio BBC Wala Manchester tv walioweza kupiga kwaya hata Kwa dk 2... Ni live...
  9. M

    Tetesi: Kwaya ya Mt. Kizito yaalikwa UK

    Zipo tetesi Kwaya hii maarufu inajiandaa kukwea pipa mpaka London kufuatia mwaliko ili kuwafariji wafiwa huko! Tunashukuru IEBC kwa kutupaisha kimataifa
  10. Faana

    TANZIA RIP Mwalimu John Lusungu Nusurupia Myavilwa wa Kwaya Kuu Habari Njema Arusha

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwalimu Mstaafu wa Kwaya Kuu Habari Njema Arusha Mjini Kati Ndugu John Lusungu Nusurupia Myavilwa. Atakumbukwa kwa kazi ya kutunga na kufundisha nyimbo za Injili Kwaya mbalimbali nchini ikiwemo Kwaya ya Vijana Makorora Tanga miaka ya 1970+...
  11. Valencia_UPV

    Kwaya zilizotumbuiza BOMAS OF KENYA (National Tallying Centre)

    Zijue kwaya zilizotumbuiza BOMAS OF KENYA (National Tallying Centre). 1. Mtakatifu Kizito Catholic toka Makuburi Roman Catholic, TANZANIA 2. Muungano National Choir 3. Wazalendo Singers Asante.
  12. R

    Kenya 2022 Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi?

    Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi? Just for curiosity! Maana naona kqama hayo yamepitwa na wakati.
  13. Sun Zu

    Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi chukueni hatua za kisheria dhidi ya Diamond & Zuchu

    Sina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha. Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo mzuri katika muktadha wa burudani. Ukakasi unakuja katika video ya wimbo huu. Kile kinachoonekana...
  14. Mohamed Said

    Rajab Matimbwa muasisi wa kwaya ya TANU 1954

    MZEE MATIMBWA KIONGOZI WA KWAYA YA TANU 1954 ANAKUMBUSHA NYIMBO ZA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA CHAMA Mzee Rajab MATIMBWA ni kati ya wanachama wa mwanzo kujiunga na TANU mwaka wa 1954. Licha ya kuwa mwanachama yeye na wenzake waliunda kwaya kuhamasisha Watanganyika kujiunga na TANU...
  15. M

    Waimba kwaya wanaokata miuno na kunengua kanisani wanamsifu Mungu kweli?

    Ibada za pasaka zinaendelea; kwaya mbalimbali zinatumbuiza. Nimeenda kwenye kanisa mojawapo kusali naomba nisilitaje jina. Waimbaji wananengua na kucheza mithili ya ngoma za kienyeji na kidunia. Wengine wananengua miuno kabisa. Sasa huku ni kumsifu Mungu kweli?
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Vituko vya madereva: Wimbo wa Umoja wa Vijana Tanu na Mzee Makongoro

    Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
  17. Grey256

    Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

    Shaloom wakuu, Tasnia ya muziki wa injili kwa vikundi vya kwaya hapa Tanzania ni tasnia kongwe na iliyotawala zaidi kwenye chati za nyimbo za dini ya Kikristo mpaka ilipofikia miaka ya 2000's ambapo walianza kuibuka waimbaji wa kujitegemea wa nyimbo za injili na kwa wingi wao imepelekea...
  18. Wilson Gamba

    Hongereni sana wanakwaya

    Ee bwana unifadhili-by Aloyce Goden Huu wimbo una fikirisha na kunibariki sana. Hongereni sana wanakwaya wote mliohusika katika wimbo huu. Kweli mliutendea haki, Mungu awabariki sana ni wimbo wenye kuishi muda mrefu. Licha ya kuwa siwajui lakini kazi zenu zinaniweka katika uchaji/mstari na...
Back
Top Bottom