Freeman Mbowe na Tundu Lissu washiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Kweka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,730
218,292
Screenshot_2023-12-06-17-42-33-1.png

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Viongozi wakuu wa CHADEMA, Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka .

Akizungumza kwa Taabu kwenye ibada hiyo kutokana na kujawa na Majonzi makubwa, Freeman Mbowe amemtaja Askofu Kweka kama sehemu ya familia yake, kutokana na kuwa karibu mno na Wazazi wake, huku akimtaja kwamba ndiye aliyemfungisha ndoa na ndiye aliyeongoza Mazishi ya Mama yake na Baba yake.

Mbowe amemtaja Baba Askofu Dr Kweka kuwa mfano wa kuigwa na kwamba matendo yake yatadumu milele.

Pia soma: TANZIA - Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia
 
Hongera kwao. Wamalize chap tunawasubiri Hanang. Wasisahau magodoro na blankets kwa ajili ya waathirika
Michango ni kwa ajili ya Mbowe na siyo wananchi wa hanang na ndio maana kuna picha ya Mbowe mwenyewe na namba ya simu aliyo sajili kwa ajili ya kupokelea michango yake.
 
View attachment 2834847

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Viongozi wakuu wa Chadema , Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 , Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka .

Akizungumza kwa Taabu kwenye ibada hiyo kutokana na kujawa na Majonzi makubwa , Freeman Mbowe amemtaja Askofu Kweka kama sehemu ya familia yake , kutokana na kuwa karibu mno na Wazazi wake , huku akimtaja kwamba ndiye aliyemfungisha ndoa na ndiye aliyeongoza Mazishi ya Mama yake na Baba yake .

Mbowe amemtaja Baba Askofu Dr Kweka kuwa mfano wa kuigwa na kwamba matendo yake yatadumu milele .
Kila mtu aliruhusiwa kuhudhuria, hakukua na mwaliko.
 
Hongera kwao. Wamalize chap tunawasubiri Hanang. Wasisahau magodoro na blankets kwa ajili ya waathirika
Wewe umechangia kiasi gani? Kwenye misiba kwenu unatoa sh.500/=! Kanisani na msikitini haujawahi kutoa hata siku moja na huwa hauendi, acha hizo.
 
Uongo hautakusaidia
Nani atakaa na laini inayopokea michango? Kwanini hamkufungua akaunti benki? Hiyo laini uwezo wake wa kupokea pesa ni shilingi ngapi kwa siku? Kwanini mmeweka picha ya Mbowe kwenye tukio la kuchagia wahanga? Je yeye ndiye mhanga? Ndiye anayechangiwa pesa? Nani msimamizi wa miamala inayoingia? Vipi akitoa au kuhamisha pesa kinyemela? Nani wakufuatilia hayo?

Pesa za join the chain zipo wapi? Zilipatikana kiasi gani? Zilitumika kiasi gani? Zilibaki kiasi gani? Zipo wapi? Zilifanya kazi gani zile zilizotumika? Kwa utaratibu upi?
 
View attachment 2834847

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Viongozi wakuu wa Chadema , Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 , Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka .

Akizungumza kwa Taabu kwenye ibada hiyo kutokana na kujawa na Majonzi makubwa , Freeman Mbowe amemtaja Askofu Kweka kama sehemu ya familia yake , kutokana na kuwa karibu mno na Wazazi wake , huku akimtaja kwamba ndiye aliyemfungisha ndoa na ndiye aliyeongoza Mazishi ya Mama yake na Baba yake .

Mbowe amemtaja Baba Askofu Dr Kweka kuwa mfano wa kuigwa na kwamba matendo yake yatadumu milele .
PoleBaba Askofu Kweka lakini huue ndiyo ukabila wa CHADEMA. Kule Ukerewe mwaka ule meli ilizama wakafa 30 Mbunge wa CHADEMA wala hawakwenda. Sasa hivi kuna Hanang kwa Dr Slaa na Paulina Gekur vigogo wa CHADEMA wala hawatoi pole. Ndiyo maana Mbunge wa Ukerewe na Dr Slaa na Gekul wote wakakimbilia CCM kwenye utu.
 
View attachment 2834847

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Viongozi wakuu wa Chadema , Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 , Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka .

Akizungumza kwa Taabu kwenye ibada hiyo kutokana na kujawa na Majonzi makubwa , Freeman Mbowe amemtaja Askofu Kweka kama sehemu ya familia yake , kutokana na kuwa karibu mno na Wazazi wake , huku akimtaja kwamba ndiye aliyemfungisha ndoa na ndiye aliyeongoza Mazishi ya Mama yake na Baba yake .

Mbowe amemtaja Baba Askofu Dr Kweka kuwa mfano wa kuigwa na kwamba matendo yake yatadumu milele .
Sad news mbona habari za kuugua na kufa chake hazijasikika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom